Mkuu
PHES nimemsoma toka mwanzo. Chagua maneno ya staha, maana hiyo comment haikukulenga wewe. Naamini Hutopungukiwa na kitu. Nami nikitumia maneno yasiyo hapa nitakuharibia siku.
Naamini kuna watu wameanza Fx miaka mingi sana. Mimi nimeanza miaka saba sasa. Najua wengi huwa na mihemko wakidhani FXtrading ni utajiri wa haraka. Kichwa cha thread kitafanya watu wasiwe na maamuzi sahihi. Hata
ONTARIO pamoja na uzoefu wake, lazima anapata loss; lakini ana minimize loss kwa ku maximize gain/win kisha kuwa na net profit. Lakini onyo honest, Forex si utajiri wa haraka. Na pia si kila raia anapaswa kujiunga na Forex trading.