Hutaelewa hata akiweka number! Kama tu maagizo aliotoa hapa hujaelewa! Mambo ya forex yalivo complicated na ya kizungu utaelewa??? Au unapenda kusumbua watu tu mkuu?Mbona hujajibu message bosi nimekutumia. Weka na namba ya simu.. coz ushaamua kusaidia watanzania wnye uhitaji so malizia kutupatia namba ya simu ili tukucheki vzr
Mkuu JembeNaNyundo asante kwa tahadhari unayotoa. Ni kweli inapaswa kwenda kwa tahadhari sana. Ila naomba nikuulize kwa nia njema tu. Unaposema si kila raia unamaanisha nini Kwa nia njema tu. Unaposema si kila raia kwa kweli sijakupata. Manake ninavyoelewa mimi mtu yoyote akijifunza chochote vizuri anaweza kukifanya kwa mafanikio. Please dadavua ujumbe wako ili wengi tunifaike. Again asante kwa ushauri.Mkuu PHES nimemsoma toka mwanzo. Chagua maneno ya staha, maana hiyo comment haikukulenga wewe. Naamini Hutopungukiwa na kitu. Nami nikitumia maneno yasiyo hapa nitakuharibia siku.
Naamini kuna watu wameanza Fx miaka mingi sana. Mimi nimeanza miaka saba sasa. Najua wengi huwa na mihemko wakidhani FXtrading ni utajiri wa haraka. Kichwa cha thread kitafanya watu wasiwe na maamuzi sahihi. Hata ONTARIO pamoja na uzoefu wake, lazima anapata loss; lakini ana minimize loss kwa ku maximize gain/win kisha kuwa na net profit. Lakini onyo honest, Forex si utajiri wa haraka. Na pia si kila raia anapaswa kujiunga na Forex trading.
Tumeunda study group,tunasoma kitabu kwa pamoja whatsapp[/QUOTED.
Tumeunda study group,tunasoma kitabu kwa pamoja whatsapp[/QUOTED.
Mkuu hujakapata tu?jamani samhani nilisema sitojibu PM yeyote ya mtu so plz msijisumbue saana. hapa naangaika kutafta ka kitabu flani nilikanunua mwaka 2011 kutoka dow jones. Ni kazuri saaana kanasaidia beggeners pamoja na pros. aisee kako poa mnoo hata uwe nesi ukikasoma kale na kalivyosimple (maana jamaa wanaelezea forex market kama wanamfundisha mtoto wa darasa la saba toka kishumundu) kana njia zoote za kukuepusha wewe na risk pia maswali kadhaa kwa forex dealer waako nk. Aisee nikazur saana. sasa jamani nakatafta sikapati kabisa sijui kako waapi na jini sikakukmbuki maani ni kama ka hand book. Niombeeni nikakumbuke jamani mimi nitakatoa hapa bure japo nilikanunua $1100.
Hatupo kwenye kampeni zenu za ccm, watu wanapata risk yakuzamia meli itakuwa kupoteza dola 300? Chama chenu hadi leo kina madeni wasanii hawajalipwa, shigongo katolewa nduki na 'baba' yake kinana out. Uchuro wa ccm hatuutaki humu.Nazidi kusisitiza Forex sio kitu rahisi na wala si utajiri mwepesi. Ungekuwa utajiri mwepesi hata wale wanaotoa mafunzo ya Forex wangeyatumia kujijengea utajiri mkubwa, badala yake wamekuwa ni walimu wazuri wa kukupa skills ambazo nyingi hazifanyi kazi kwa ujira wa kununua vitabu vyao au kugharamia mafunzo yao. Forex ina faida lakini tread softly.
Mshkaji anazingua sana. Maisha yenyewe ni risk sasa anataka risk gani tena?Hiyo sentensi yako ya mwisho na avator yako naona vina uhusiano kabisa! Wala sijashangaa!!