Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Kabisa kaka, na tusisahau kumshukuru ONTARIO. Matter of fact, ONTARIO owe us bigly 🙂 He should open up a charity to underprivileged and we deposit whatever we gain from trades. I think trades are contagious as well.
 
Did anyone bet on Pound? Massive rally south side.

Election results..
Mimi nilisema sitaingia sokoni kwa siku ya jana, sikuwa nimefanya analysis afu sikutaka kudandia fundamentals... lakini nikahakikisha leo nacompensate muda wa jana.

Nilikua nasoma kitabu fulani kinaitwa Understanding Bitcoin - Cryptography, engineering, and economics, mida kama ya Saa 7 usiku nikasema nifungue charts. Nikamkuta GBP kadondoka yupo sakafuni, kifo cha mende, nikasema sasa nijilipue na lot size ya tembo nipande nae juu kidogo. Sekunde 5 tu, tayari nipo kwenye blues, nikagonga zangu mshahara wa Bank manager wa mwezi. Nikafunga kitabu, nikazima taa, nikalala.
 
Moja ya matamanio yangu baada ya mwaka mmoja tunakuwa na Forex Club of Tanzania.
Tunasafiri popote duniani kukutana na Forex Traders toka nchi mbalimbali kubadilishana uzoefu..
Hata kuenjoy, maisha yenyewe ndo hayahaya..
Word
 

Unatisha mkuu, ngoja tuendelee na msuli tunaweza siku moja tukafika levo hizo.
 


Jana pesa ilikuwa njenje aisee. Ni vile tuu sisi bado ni wanafunzi na tunasubiri green light.

Halafu kuna kitu katika candlestick nahisi sijakielewa vizuri, Je wick (utambi) wa candle, nimechunguza nikaona say candle moja ina tambi mbili, Juu na chini. Nilipoangalia zaidi nikagundua mara nyingi urefu wa hizi tambi/Wick hazipo sawa kuna candle zina tambi za juu ndefu kuliko za chini ama vice versa.

Katika kile kitabu hakuna walipoandika kirefu zina maana gani hizi tambi, Ila katika kuzururazurura kwangu mitandaoni nimekutana na hii concept. Kuwa Urefu wa utambi ni kama unatabiri uelekeo wa next candle utakuwaje. Say current candle ikiwa na utambi wa juu mrefu kuliko wa chini, ni kwamba next candle itakuwa bullish candle, na vice versa.

Pia kuna sehemu nikakuta sehemu nyingine wameelezea kwamba Wick ya candle ni kama vile kuonesha how candle closing/open rate resisted/support with time and as time goes on. Maana nimechunguza pia nikaona treend lines zinaanzia kuchorwa katika tip ya utambi na siyo katika end/start ya real body ya candle.

Je hapa which is which.? Je nipo wrong.?

CC Bavaria
 
 

https://www.youtube.com/watch?v=1-XX3UOIM4c

mkuu pitia hiyo tutorial utapata mwanga anaeleza kila kitu kuhusu candlestic...japo sauti ya huyo jamaa haivutii ila anaeleweka vizuri
 
Hii kitu ni addictive. Achilia kwamba inahusisha hela lakini yenyewe Kama yenyewe inaleta uchizi Fulani, una enjoy kufanya speculations

Naona pia kuna watu wameibuka huko kwenye magrupu ya whatsap wanajifanya wanatoa service ya kufundisha watu. Sijui walikuwa wapi siku zote mpaka Leo baada ya kuona Ontario kahamasisha watu ndio wanajitokeza [emoji848]
 


I will be among those 300 first member to begin with.
 

Sema hapo katika kusambaa mtaani ndo pagumu. Kwa maana ili forex isambae kwa kiwango hicho, Hakuna budi watu wassome vitabu haswa na waelewe walichokisoma. Sasa kwa waliowengi ukishaingiza issues za kusoma tuu, Ni kama umewafukuza. Hahahahahahaaa.
 
Knowledge kubwa nimeipata kwenye kitabu cha naked forex. Natumia hasa price action na kuangalia trend ya currency kwa masaa kadhaa nyuma to make any decisions. Kitabu hiki kimo kwenye threads humu sijui ipi ila ngoja niweke hapa
Asante sana boss..
 
Unatakiwa ujue kuna watu walishaanza kujifunza kabla ya Ontario kuleta mada humu,usikariri........
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…