Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hhaha.. Upo fast mkuu..

Hizo lot size zinatisha mkuu..

Tengeneza strategy ya kumanage hizo lot size..

Stop Loss na Take Profit ziwe sala yako ya asubuhi unapo open position zako..
Nahisi am comfortable with what am doing! I gain much and sometimes i incur loss!! As far as i get profit i don't care about about stopping loss or profit! In fact i will consider them soon!

Kuna kipindi natumia lot size ya 500!

Naona kama mfumo nnaotumia ntaufanya kama strategy yangu!
 
Unatakiwa ujue kuna watu walishaanza kujifunza kabla ya Ontario kuleta mada humu,usikariri........

Sijakariri mkuu. Hao walioleta mada humu mbona hawajawahi kuongelea kuhusu kufundisha watu. Humu jukwaani nilionaga training moja tu ya forex nayo ilikuwa miaka ziadi ya mitatu nyuma huko
 
Aisee huyu jamaa sijaona sababu na sijaelewa kwa nini same currency pair ameifungulia more than 10 trades within short span of time.
Uko sahihi! Ila nimetokea kuipenda pair ya EURUSD so mara nyingi naitumia! What matters is...do i get profit regardless of my pair!!??
 
Mimi nilisema sitaingia sokoni kwa siku ya jana, sikuwa nimefanya analysis afu sikutaka kudandia fundamentals... lakini nikahakikisha leo nacompensate muda wa jana.

Nilikua nasoma kitabu fulani kinaitwa Understanding Bitcoin - Cryptography, engineering, and economics, mida kama ya Saa 7 usiku nikasema nifungue charts. Nikamkuta GBP kadondoka yupo sakafuni, kifo cha mende, nikasema sasa nijilipue na lot size ya tembo nipande nae juu kidogo. Sekunde 5 tu, tayari nipo kwenye blues, nikagonga zangu mshahara wa Bank manager wa mwezi. Nikafunga kitabu, nikazima taa, nikalala.
c9a6e9fb75a0c81da5000d8b8da94c38.jpg
Hahahaa unetisha arifu!
 
Hii kitu ni addictive. Achilia kwamba inahusisha hela lakini yenyewe Kama yenyewe inaleta uchizi Fulani, una enjoy kufanya speculations

Naona pia kuna watu wameibuka huko kwenye magrupu ya whatsap wanajifanya wanatoa service ya kufundisha watu. Sijui walikuwa wapi siku zote mpaka Leo baada ya kuona Ontario kahamasisha watu ndio wanajitokeza [emoji848]

Hao watawakamata wale wanaotaka kukusanya vitu ambavyo hawakuvitawanya. Nilichogundua katika hii kitu, hata uje ufundishwe na malaika ama George Soros himself, Kama hutotenga muda wako kusoma juu ya mambo ya FOREX ni kazi bure.
 
CURRENT TREND ON GBP/USD

Kutokana na hizo red trend lines nilizochora, Je nimepatia kuchora.? Je hii naweza kuiita inverted/Bearish Flag.?

Capture.PNG

je kama ni flag, Inamaana hapo ikibreak tutegemee bearish move ya last candle itakayobreak.? Maana kwa mujibu wa concept ni kwamba mara nying candle itakayotoka nje ya Flag basi hufuata trend ya Pole ya hiyo flag.

CC: Ontario, Bavaria.
 
Jana pesa ilikuwa njenje aisee. Ni vile tuu sisi bado ni wanafunzi na tunasubiri green light.

Halafu kuna kitu katika candlestick nahisi sijakielewa vizuri, Je wick (utambi) wa candle, nimechunguza nikaona say candle moja ina tambi mbili, Juu na chini. Nilipoangalia zaidi nikagundua mara nyingi urefu wa hizi tambi/Wick hazipo sawa kuna candle zina tambi za juu ndefu kuliko za chini ama vice versa.

Katika kile kitabu hakuna walipoandika kirefu zina maana gani hizi tambi, Ila katika kuzururazurura kwangu mitandaoni nimekutana na hii concept. Kuwa Urefu wa utambi ni kama unatabiri uelekeo wa next candle utakuwaje. Say current candle ikiwa na utambi wa juu mrefu kuliko wa chini, ni kwamba next candle itakuwa bullish candle, na vice versa.

Pia kuna sehemu nikakuta sehemu nyingine wameelezea kwamba Wick ya candle ni kama vile kuonesha how candle closing/open rate resisted/support with time and as time goes on. Maana nimechunguza pia nikaona treend lines zinaanzia kuchorwa katika tip ya utambi na siyo katika end/start ya real body ya candle.

Je hapa which is which.? Je nipo wrong.?

CC Bavaria
Mkuu nimependa concept uliyoleta! Nilivyopitia ni kwamba...

Kwanza lazima ujue candle yoyote ina tail na body...bahati mbaya sina pc ningeweka mfano!!

Candle ikiwa ndefu...ina maana tofauti kati ya opening price na closing price ni kubwa...mfano kama candle mpya ilianza at a price of 1.2222 alafu ikafunga at a price of 1.2229 tarajia candle itakua ndefu...body ndefu!

Ila ikianza katika price ya 1.2222 alafu ikafunga katika 1.2222 hapo candle itakua ndogoooo yani isiyo na body kabisa!!

Case ingine ni kwamba candle mpya imeanza na price ya 1.2222 alafu ikafika mpaka 1.2229 then mda huo huo ikafunga ikiwa kwenye price ya 1.2226 tarajia hii candle ikifunga itakua na body kubwa kiasi pamoja na ka mkia...tail kwa juu!!

Tail inaonyesha maximum au minimum price ya pair!

Body inaonyesha closing na opening price ya pair!

Karibu!
 
Mimi nilisema sitaingia sokoni kwa siku ya jana, sikuwa nimefanya analysis afu sikutaka kudandia fundamentals... lakini nikahakikisha leo nacompensate muda wa jana.

Nilikua nasoma kitabu fulani kinaitwa Understanding Bitcoin - Cryptography, engineering, and economics, mida kama ya Saa 7 usiku nikasema nifungue charts. Nikamkuta GBP kadondoka yupo sakafuni, kifo cha mende, nikasema sasa nijilipue na lot size ya tembo nipande nae juu kidogo. Sekunde 5 tu, tayari nipo kwenye blues, nikagonga zangu mshahara wa Bank manager wa mwezi. Nikafunga kitabu, nikazima taa, nikalala.
c9a6e9fb75a0c81da5000d8b8da94c38.jpg
Kaka ONTARIO nimecheza na GBP/USD asubuhi hii return yake no kubwa kuliko ya Jana kwa lot size ile ile. I am so happy I wish this could be real cash but let me keep practising.
Big up ONTARIO for this idea.
Screenshot_20170609-103917.png
 
Mkuu nimependa concept uliyoleta! Nilivyopitia ni kwamba...

Kwanza lazima ujue candle yoyote ina tail na body...bahati mbaya sina pc ningeweka mfano!!

Candle ikiwa ndefu...ina maana tofauti kati ya opening price na closing price ni kubwa...mfano kama candle mpya ilianza at a price of 1.2222 alafu ikafunga at a price of 1.2229 tarajia candle itakua ndefu...body ndefu!

Ila ikianza katika price ya 1.2222 alafu ikafunga katika 1.2222 hapo candle itakua ndogoooo yani isiyo na body kabisa!!

Case ingine ni kwamba candle mpya imeanza na price ya 1.2222 alafu ikafika mpaka 1.2229 then mda huo huo ikafunga ikiwa kwenye price ya 1.2226 tarajia hii candle ikifunga itakua na body kubwa kiasi pamoja na ka mkia...tail kwa juu!!

Tail inaonyesha maximum au minimum price ya pair!

Body inaonyesha closing na opening price ya pair!

Karibu!

More clarification

baf9c0792edd6e1edec633312e0937cf.jpg
71f92232c7ecb087ee12814f61b339f0.jpg
 
Kaka ONTARIO nimecheza na GBP/USD asubuhi hii return yake no kubwa kuliko ya Jana kwa lot size ile ile. I am so happy I wish this could be real cash but let me keep practising.
Big up ONTARIO for this idea.View attachment 521572
mkuu hebu kuwa muwazi tupe knowledge zaidi,swala langu hii App unatumia,tufahamishe umecheza kivipi,thanks
 
Kuweni makini sana na biashara ya Forex.. Kwa Sabb ni miongoni mwa biashara inayotaka uta
ratibu na kutulia.

Isitoshe katika biashara hii ukifanya mistake kdg unaweza ukajikuta umepigwa hela zote na ukabaki mtu.

Licha ya kuwa na faida kubwa, biashara imeshawaliza watu wengi, sio kwmb naponda wazo la mleta Mada, Hapana.

Nitawapa mfano mdg wa Kijana aliyetolewa mfano humu ajulikanaye kama Sandile Shezi.

Huyu Sandile ni raia wa afrika kusini isitoshe ni kijana mdg aliyeweza kupata mafanikio makubwa kupitia biashara ya Forex.

Ana chuo chake kinachoitwa Global Forex Institute, ambacho hutoa kozi na semina kuhusiana na uwekezaji katika soko la Forex.

Wahenga walisema kizuri hakikosi kasoro, kampuni yake GFI ilituhumiwa kufanya udanganyifu kupitia broker wake aitwaye Amc Gold ambao wana ofisi zao Sandton city.

Tuhuma hizi zilikuja baada ya kampuni nyingine ya brokers kudai kwamba imeinunua AMC Gold na hivyo kupelekea huduma kusitishwa.

Alipoulizwa Shezi alisema kwamba ni kweli ishu imetokea, na kudai kwamba wamewasimamisha baadhi ya watu waliotaka kudeposit kwa broker wao huyo na kuwahamishia kwa broker wao mpya aitwaye IronFx.

Kama hiyo haitoshi hata notes walizokuwa wanatoa kwenye semina zao zinadaiwa walizikopi na kupaste kutoka kwenye kampuni nyingine inayojihusisha na biashara ya forex.

Mwisho Kabisa hawa Global Forex waliwahi kuweka tangazo lao na kudai watu wanakaribishwa kwenye semina zao na mafunzo ili waje waelekezwe kutengeneza zaidi ya faida kama waliyotengeneza ya Randi milioni 30, kitu ambacho sio cha kweli licha ya hapo baadae sandile kupinga vikali ishu hiyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom