Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
goforex - Forex Trading for BEGINNERSShukran sana mkuu!
Je hii ni app gan??
Utaipata Playstore: Forex Trading for BEGINNERS - Android Apps on Google Play
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
goforex - Forex Trading for BEGINNERSShukran sana mkuu!
Je hii ni app gan??
>> Kwa sasa tuna assignment mbili zilizojiri kupitia hii thread.Hello guys am new here but would like to know much about forex trading infact nataka kuifanya iwe ndo ajira yangu naomba msaada wenu
Nimeona lazima niwe mkali ktk hili
Dear traders,
Jana jioni nilikua nina appointment na jamaa yangu wa faida, rafiki yangu wa muda mrefu hapa JF na subscriber wa huu uzi. Tukazungumza sana kama masaa mawili hivi, akaona napiga live trade mbele yake, macho yakamtoka kweli kweli, kidogo azimie, hahaaa!! Jokes[emoji23]
Nifupishe habari, baada ya maongezi nikaingia Mary brown kupata msosi then niingie church. Sasa nilivyokuwa pale Mary Brown kuna jambo la ajabu sana nililiona na lilinishangaza mno. Very coincidentally!!
Kulikuwa na jamaa mmoja, amekusanya wadada wa2 na wakaka 6, anazungumza kuhusu forex. Kadri alivyozidi kuzungumzo ndipo alipozidi kuniattract. Kilichonishangaza ni hiki -
kuna mdada mmoja pale akauliza, hii forex unayozungumza ni real kweli ama ni blah blah. Basi huyo jamaa alichokifanya akasema ngoja niwaoneshe kitu, akatoa simu yake akaanza kusema "Unaona huu uzi, niliupost kwenye mtandao mmoja unaitwa JF, nilipost kuhusu hii habari ya forex, na mpk sasa huu uzi umesomwa mara 170,000".
Mimi sikuamini macho yangu, jamaa akaja kwenye post fulani ya jana ambayo nilipost withdraw ya £500, jamaa anawasisitizia hao watu wake kua ile ni faida yake ya siku 1.
I was so shocked, sikutaka kuleta timbwili ama kumdhalilisha mtu, ni mtu anayetokea humu humu. Anafahamu mpk operations zng nje ya forex. Yani nilishangaa mno. Sikatazi mtu kumfundisha mtu mwingine kuhusu forex, that's non of my concern, lkn kwanini mtu atumie jina langu.
Sijajibu PM yoyote ya mtu kuhusu Forex, sijatoa number yoyote ya simu zangu ama mawasiliano yoyote, sijaunda group lolote lile kuhusu forex. Fanya chochote huko nje at your own risk. Usidanganye/usidangamywe kwa mgongo wa jina la Ontario.
Mimi nikimaliza process zote tutataarifiana, kila kitu kitafanyika ofisini, classes zote zitafanyika ofisini, sitoi personal appointment sehemu yoyote nje ya office. Let's take care.
Salute!!
Ndo maana tunashauriwa tufanye biashara kama graph utakuwa UPTRADE or Lower trade na si katika considerlation (no difinitive Direction)Leo nimekaa nikawa najiuliza! INAKUAJE MTU UNACHOMA ACCOUNT?? yaani unapata hasara?!!
So far nnavyojua huwezi kuuza bila wewe mwenyewe kwa kichwa chako kubonyeza kitufe cha SELL au BUY!
Ivi kama nikiona nachezea negative red which means ni hasara....nikaacha mpaka ije ipande au ishuke irudi kwenye blue then ni excute order kwa faida...inakua kosa??
Sasa kwann mtu uuze au ununue kwa hasara?? Wakati unaweza kuacha ukashuka weee then badae ikapanda thamani ili uuze kwa faida??
Cheki huu mfano...![]()
Hizi ni positions kama tatu hivi na zote zina loss ...ziko kwenye red!
Kwa hapo sintauza wala kuuza mpaka thamani ipande au ishuke ili niuze kwa faida...ikiwa kwenye blue!!
Embu nielewesheni wakuu...INAKUAJE UNAPATA LOSS AU UNACHOMA ACCOUNT???
Labda nakosea...naomba mnieleweshe wadau!!
ANKO ELLY HAMTUMFUATI MTU TUNAIFUATA BIASHARA,JIULIZE HII BIASHARA DUNIANI IPO ? JIBU IPO,WATU WANAPATA PESA ? JIBU NDIYO WANAPIGA KWANINI MIMK NA WEWE TUSIPATE?JIBU WOGA WAKO NDIYO UMASIKINI WAKO JIFUNZE KWA WALIOFANIKIWA,JE IPO TAASISI AU MTY YOYOTE WA KARIBU ANAYETOA MAFUNZO KUHUSU BIASHARA HII ? JIBU HAKUNA ISIPOKUWA KUNA MSAMARIA MWEMA ANAITWA ONTARIO KAJITOLEA KUANZISHA MAFUNZO HAPA DAR NA HIVI SASA KATUFUMBUA MACHO TUENDELEE KUSOMA VITABU ,MITANDAO NA KUJADILIANA BEFORE CLASS TRAINING,SASA NAKUULIZA WEWE SISI NA ONTARIO TUMEKOSEA WAPI? NAKUONYA ACHA KUKURUPUKA SISI SIO WATOTO WADOGO
Nimekuelewa mkuu!!Ndo maana tunashauriwa tufanye biashara kama graph utakuwa UPTRADE or Lower trade na si katika considerlation (no difinitive Direction)
na kama utazingingatia higher high na higher low katika uptrade
Lower higher lower low katika downtrade.. Huwezi pata loss kirahisii
MkuuJana pesa ilikuwa njenje aisee. Ni vile tuu sisi bado ni wanafunzi na tunasubiri green light.
Halafu kuna kitu katika candlestick nahisi sijakielewa vizuri, Je wick (utambi) wa candle, nimechunguza nikaona say candle moja ina tambi mbili, Juu na chini. Nilipoangalia zaidi nikagundua mara nyingi urefu wa hizi tambi/Wick hazipo sawa kuna candle zina tambi za juu ndefu kuliko za chini ama vice versa.
Katika kile kitabu hakuna walipoandika kirefu zina maana gani hizi tambi, Ila katika kuzururazurura kwangu mitandaoni nimekutana na hii concept. Kuwa Urefu wa utambi ni kama unatabiri uelekeo wa next candle utakuwaje. Say current candle ikiwa na utambi wa juu mrefu kuliko wa chini, ni kwamba next candle itakuwa bullish candle, na vice versa.
Pia kuna sehemu nikakuta sehemu nyingine wameelezea kwamba Wick ya candle ni kama vile kuonesha how candle closing/open rate resisted/support with time and as time goes on. Maana nimechunguza pia nikaona treend lines zinaanzia kuchorwa katika tip ya utambi na siyo katika end/start ya real body ya candle.
Je hapa which is which.? Je nipo wrong.?
CC Bavaria
Nilijua tu!!! lazima watu watapigwa kupitia ID yako!!!Nimeona lazima niwe mkali ktk hili
Dear traders,
Jana jioni nilikua nina appointment na jamaa yangu wa faida, rafiki yangu wa muda mrefu hapa JF na subscriber wa huu uzi. Tukazungumza sana kama masaa mawili hivi, akaona napiga live trade mbele yake, macho yakamtoka kweli kweli, kidogo azimie, hahaaa!! Jokes[emoji23]
Nifupishe habari, baada ya maongezi nikaingia Mary brown kupata msosi then niingie church. Sasa nilivyokuwa pale Mary Brown kuna jambo la ajabu sana nililiona na lilinishangaza mno. Very coincidentally!!
Kulikuwa na jamaa mmoja, amekusanya wadada wa2 na wakaka 6, anazungumza kuhusu forex. Kadri alivyozidi kuzungumzo ndipo alipozidi kuniattract. Kilichonishangaza ni hiki -
kuna mdada mmoja pale akauliza, hii forex unayozungumza ni real kweli ama ni blah blah. Basi huyo jamaa alichokifanya akasema ngoja niwaoneshe kitu, akatoa simu yake akaanza kusema "Unaona huu uzi, niliupost kwenye mtandao mmoja unaitwa JF, nilipost kuhusu hii habari ya forex, na mpk sasa huu uzi umesomwa mara 170,000".
Mimi sikuamini macho yangu, jamaa akaja kwenye post fulani ya jana ambayo nilipost withdraw ya £500, jamaa anawasisitizia hao watu wake kua ile ni faida yake ya siku 1.
I was so shocked, sikutaka kuleta timbwili ama kumdhalilisha mtu, ni mtu anayetokea humu humu. Anafahamu mpk operations zng nje ya forex. Yani nilishangaa mno. Sikatazi mtu kumfundisha mtu mwingine kuhusu forex, that's non of my concern, lkn kwanini mtu atumie jina langu.
Sijajibu PM yoyote ya mtu kuhusu Forex, sijatoa number yoyote ya simu zangu ama mawasiliano yoyote, sijaunda group lolote lile kuhusu forex. Fanya chochote huko nje at your own risk. Usidanganye/usidangamywe kwa mgongo wa jina la Ontario.
Mimi nikimaliza process zote tutataarifiana, kila kitu kitafanyika ofisini, classes zote zitafanyika ofisini, sitoi personal appointment sehemu yoyote nje ya office. Let's take care.
Salute!!
Ndo maana tunashauriwa tufanye biashara kama graph utakuwa UPTRADE or Lower trade na si katika considerlation (no difinitive Direction)
na kama utazingingatia higher high na higher low katika uptrade
Lower higher lower low katika downtrade.. Huwezi pata loss kirahisii
Lakini mkuu wewe umeshakua mkubwa sasa hasa kwenye mambo ya kuinsipire watu kwenye biashara na mungu akisaidia hilo darasa la forex litakaloanza soon before 15,june mungu akijalia kwa muamko huu kinaweza kuja kua chuo kikubwa cha forex tanzania mbeleni mi nashauri utumie tu jina halisi na picha uwe verified kuepusha watu wengine kufanya utapeli kupitia jina lako, MWISHO KABISA NAOMBA USINISAHAU KWENYE HAO 150 KWANZA NAIMANI NTAKUA BALOZI MZURI WA FX.
Kweli, Ontario sasa ni muda wa kuwa verified user.Lakini mkuu wewe umeshakua mkubwa sasa hasa kwenye mambo ya kuinsipire watu kwenye biashara na mungu akisaidia hilo darasa la forex litakaloanza soon before 15,june mungu akijalia kwa muamko huu kinaweza kuja kua chuo kikubwa cha forex tanzania mbeleni mi nashauri utumie tu jina halisi na picha uwe verified kuepusha watu wengine kufanya utapeli kupitia jina lako, MWISHO KABISA NAOMBA USINISAHAU KWENYE HAO 150 KWANZA NAIMANI NTAKUA BALOZI MZURI WA FX.
Na chakuongezea mkuu,hiyo miradi ya kupiga watu so rahisi ukute vitabu vinavyoelekeza jinsi ya kushiriki,tena vitabu zaidi ya 500,course ambayo inafundishwa vyuo vikuu(kwa wanaosoma biashara),na unashiriki kila hatua unapigwaje?DECI,D9 unaambiwa tu weka hela utafuata faida baada ya muda fulani,ni tofauti mno na Forex. Kabla mtu hujabisha tafiti.ANKO ELLY HAMTUMFUATI MTU TUNAIFUATA BIASHARA,JIULIZE HII BIASHARA DUNIANI IPO ? JIBU IPO,WATU WANAPATA PESA ? JIBU NDIYO WANAPIGA KWANINI MIMK NA WEWE TUSIPATE?JIBU WOGA WAKO NDIYO UMASIKINI WAKO JIFUNZE KWA WALIOFANIKIWA,JE IPO TAASISI AU MTY YOYOTE WA KARIBU ANAYETOA MAFUNZO KUHUSU BIASHARA HII ? JIBU HAKUNA ISIPOKUWA KUNA MSAMARIA MWEMA ANAITWA ONTARIO KAJITOLEA KUANZISHA MAFUNZO HAPA DAR NA HIVI SASA KATUFUMBUA MACHO TUENDELEE KUSOMA VITABU ,MITANDAO NA KUJADILIANA BEFORE CLASS TRAINING,SASA NAKUULIZA WEWE SISI NA ONTARIO TUMEKOSEA WAPI? NAKUONYA ACHA KUKURUPUKA SISI SIO WATOTO WADOGO
mkuu wangu naona mambo yanazidi kunyooka..najuta kwa nini sikufaham kuhusu forex mbeleni kabla sijapoteza hela zangu katika biashara za kawaida...nashukuru sana mkuu..."It's ain't fun, Am ain't happy until my whole team is winning". Wiki inaisha kwa amani kabisa. Enjoy the weekend big Bosses in Town. # Faith # Hope
"It's ain't fun, Am ain't happy until my whole team is winning". Wiki inaisha kwa amani kabisa. Enjoy the weekend big Bosses in Town. # Faith # Hope
Mkuu ninavyokufatilia kwa karibu acha tu"It's ain't fun, Am ain't happy until my whole team is winning". Wiki inaisha kwa amani kabisa. Enjoy the weekend big Bosses in Town. # Faith # Hope
Duh sio mashara!!Mimi nilisema sitaingia sokoni kwa siku ya jana, sikuwa nimefanya analysis afu sikutaka kudandia fundamentals... lakini nikahakikisha leo nacompensate muda wa jana.
Nilikua nasoma kitabu fulani kinaitwa Understanding Bitcoin - Cryptography, engineering, and economics, mida kama ya Saa 7 usiku nikasema nifungue charts. Nikamkuta GBP kadondoka yupo sakafuni, kifo cha mende, nikasema sasa nijilipue na lot size ya tembo nipande nae juu kidogo. Sekunde 5 tu, tayari nipo kwenye blues, nikagonga zangu mshahara wa Bank manager wa mwezi. Nikafunga kitabu, nikazima taa, nikalala.![]()
kivipi mkuu?Mkuu nnachanganya sana hapao kwenye long and short