Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu ivi kwenye kitabu na demo kuna kitu kinaitwa pips sijakielewa ni nini haswa
Kaelezea unaeza kuwa umeweka pips 10:1 sijaelewa anamaakisha nini mkuu
Afu pia ni wakti gani utapata faida pale pesa inapopanda na ukauza ama itaposhuka na kununua maana anasema "when u buy u make money and when u sell u make profit "
Na pale kwenye market order mkuu kuhusu stop ndo unaiweka kwenye pips ama!!
Regard!
 
Mkuu, ntakutafuta na mie unifundishe ku trade... Niko vizuri kwenye haya mambo afa bado nakufa njaa hapa town! this is unacceptable!
 

Huyu broker umemtumia toka lini?

Reliability yake ipoje?
 
Huyu broker umemtumia toka lini?

Reliability yake ipoje?
Best ever so far. Nimetumia brokers wa 4 hadi sasa :- Xm, Etoro, Hot forex na hawa JP Markets. Hawa jamaa sikutegemea, mwanzo niliwaunderate coz hawana jina kiivyo, na ni kampuni ya SA, lkn nikasema let me give them a try. Nilichokipata kutoka kwao nikafunga account ya Etoro na Hot forex, hata ya XM soon naipiga chini. Jamaa wana spread za kijanja sana, leverage ya 500:1, afu kubwa zaidi ni 1 day withdraw. Hapa ndio patamu zaidi, nachomoa pesa asubui mchana saa 6 ninayo mkononi tofauti na hao wengine unaeza subiri hata 5 working days.
 
Hongera mkuu Ontario sio haba kabisa
 
I thought XM na HotForex are much better. Maana nimefanya utafiti sana mtandaoni kujua the best broker, nikaangukia kwa XM na HotForex. Naona JPMarket wako vzr kwa vigezo hivyo; spread za kijanja na faster withdrawal.
Hapa I should also go for JP Market naona ndio habari ya mjini.
 
Huyu broker haruhusu scalping
Samahani mkuu Kabanga...

Umeshawahi kutrade with JPmarkes?
Ama ni kwamba umesahau maana ya scalping? Ngoja nikukumbushe - scalping ama skimming ni strategy ya kufungua positions kisha unazihold kwa muda mfupi, sana sana dakika 5,10, 15 au nusu saa, then ukipata faida unatoka kwa market... tofauti na day trading ambapo unaeza fungua position ukakaa nazo hata masaa 8 au 10 huko. Afu scalping unakua unafanya mara nyingi nyingi ndani ya siku.

Unaposema JPM hawaruhusu scalping basi labda ni miaka ya nyuma sana, maana hii ndio mbinu yangu. Screen shots nyingi nilizoweka hapa nilikua ninascalp saa zingine 1 hour, 2 hours inategemea na soko lipoje. So, ili kupunguza confusion hapa hasa kwa newbies, ni vzr tuwe tunatoa our own live experience, sio kusoma vitu vilivyopo google.


Hizi trades zinarun na ninafanya scalping, nazifunga nikigonga $800+, ni Live JP Markets
 
I support this.. Since you personally use this book and we've all seen how u do ur magic, no one will take this for granted.
We nenda tu kaache stationary uone watu tutakavyokizukia.
Ts a good way.. U jus name the stationary we'll handle the rest.
Njia nyingine ni kuchukua hicho kitabu kukiscan kwa kutumia O.C.R program. Hapo utascan kama letter not as picture.
Yaan output from the scanner ni letter format not Jpg. After that kinakuwa arranged tayari ni kitabu, ready fir printing.
Lakini kama kitabu ni kikubwa hivyo page 260 itabidi kukiharibu ili kila page iwe scanned moja moja.
 
Ndiyo nimesoma leo uzi huu. Contacts please Sir. Kama kupoteza nilishapoteza vingi
 
Kuna mdau anauliza ajajua Pip ni nini, A pip is the smallest increment of price fluctuation in currency price.
 
Impressive.
Natumia hotforex natamani kuwatoroka.
Nimejaribu demo ya TDMarkets bado nawaza kujiunga nao.
 
VITABU + PRACTICE HUWA HAVIDANGANYI, Indicator ya kwanza Moving avarage (short and long inafanya kazi) nimeielewa in practice

WABARIKIWE wote wanaotoa mawazo yao KUNIELIMISHA hata wale wanaoelimisha ya kipuuzi kwangu ni elimu pia
 
nina imani hivi karibuni nitakuwa nauliza maswali kama haya.."broker yupi mpoa wa kufanya mambo ya transaction chapchap"ama tunavyopenda kusema FASTA FASTA[emoji383]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…