sijui nani
JF-Expert Member
- Jan 5, 2016
- 297
- 308
Mi naendelea kujifua mdogo mdogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapotea sana mkuu,naona co learner tena unakua mkufunziwadau hali vipi?hapo ndipo maujanja ninayoyachota humu yamenifikisha..hebu nizidi kujikakamua...![]()
haya..tupe maana ya hiyo deviation..View attachment 522901
Mi naendelea kujifua mdogo mdogo
Hiyo ni real au demoWakati nafungua akaunti nimekutana na kipengele kimeandikwa "Tax Identification Number" hapo nimeshindwa kuelewa hiyo namba. KAMA KUNA MTU ALIPITA HICHO KIPENGELE ANITOE VUMBI KICHWANI
Hiyo ni TIN no mkuuWakati nafungua akaunti nimekutana na kipengele kimeandikwa "Tax Identification Number" hapo nimeshindwa kuelewa hiyo namba. KAMA KUNA MTU ALIPITA HICHO KIPENGELE ANITOE VUMBI KICHWANI
mi nipo kaka..ndio nimezama kisawasawa kwenye vitabu..mwendo wangu nauita [HASHTAG]#mwendo[/HASHTAG] wa vipara..yani taratibu..sitaki jambo lolote linifutu..nategemea na wewe pia unapiga darasa la uhakika mwenzangu..Unapotea sana mkuu,naona co learner tena unakua mkufunzi
Sure.Nianze kwa kusema kuwa hii biashara inawezekana maana kila kitu ni online so unanunua popote na kuuza popote...
Nilichogundua kwanza inabidi uwe mentally and physically fit kwasababu kuna programming inahusika ili uwe updated mda wote unless unakula hasara ya kutosha
Pia ni siku 5 za wiki ndio unaweza kuwa active sasa kama wewe ni mwajiriwa inabidi ujipange maana mda wote utajikuta unatafuta masomo ya kununua na kuuza, kiujumla hii ni kazi kama hazi nyingine tena inayohitaji mtu makini sana.
Ni kweli mkuu ili na sisi wa mikoani hii kitu isitupite pembeni. Ni bora tukaongeza kiasi cha pesa ili tutumiwe vitabu ikiwa mkuu Ontario ataafiki.Mkuu ONTARIO naamini icons wazo zuri kipelekwe Stationary then sisi wa mikoani tutume pesa ili tuweze kutumiwa hata kwa njia ya mabasi naamini tutakipata kwa usalama.
Demo pembeni kidoogo nimezama kwenye vitabu mkuumi nipo kaka..ndio nimezama kisawasawa kwenye vitabu..mwendo wangu nauita [HASHTAG]#mwendo[/HASHTAG] wa vipara..yani taratibu..sitaki jambo lolote linifutu..nategemea na wewe pia unapiga darasa la uhakika mwenzangu..
Mkuu, tatizo lilokupata ni pale ambapo anaelekeza setting za zone recovery kwani hazionekaniMm nilimwacha kumsikiliza pale tu aliposema usitumie stop loss hapo nilinawa mikono kabisa
I support this.. Since you personally use this book and we've all seen how u do ur magic, no one will take this for granted.Beautiful week ahead traders
Weekend imeisha tumeianza week nyingine. Nina matumaini hii itakua wiki ya mwisho kwangu kukamilisha kila kitu, then week ijayo we take off the ground. Pia naamini wengi wenu mnaendelea kujifunza na kuelewa msitu wa forex - hua tunasema '''Forex forest''' kwa kusoma vitabu.
Nina wazo 1 naomba tushauriane bosses :- Nina kitabu ambacho ningependa wote mkisome, yani hiki naeza sema ni A million dollar book, must read. Ukikisoma hiki unaondoa upupu wote kichwani - ukija class mimi na team yng ni kukupa tu strategy za kudownload pesa kutoka sokoni, na kisha tufanye live trade pa1, yani ukikisoma afu ukaja class ni km utakua unamsukuma mlevi.
Sasa shida ya hiki kitabu ni nilikinunua SA, na ni hardcopy - makumbuka nililipa Rand 650, km 105,000 TZS. Nimejaribu kila niliwezalo kupata soft copy yake lkn hakuna. Sasa ningependa nyinyi wote mkipate, maana strategy zilizopo humu ndani 80% ndizo mimi na team nzima tunazitumia.
Je tunafanyaje?! Mimi nilifikiria nimwagize kijana wangu m1 akichapishe, then tuangalie gharama itakua ngapi, kina page km 270 hivi, kisha dogo avipeleke steshenari fulani, wale watu wa Dar wataenda kukichukua from there.
=========================
Hua nina kawaida siku ya J3 kama leo silikurupukii soko hadi London session uanze - maana soko likitoka weekend hua lina hangover. sasa usiku wa leo nilikua ninakamua kitabu fulani kinaitwa How to profit in Gold, nilivyotaka kulala nokacheki soko kidogo (fx is an addiction), nikaona setup zimekubali, na fursa iko kwenye screen, nikaingia sokoni, nikalamba laki 3 za chap chap nikalala kwa amani![]()
Wakati nafungua akaunti nimekutana na kipengele kimeandikwa "Tax Identification Number" hapo nimeshindwa kuelewa hiyo namba. KAMA KUNA MTU ALIPITA HICHO KIPENGELE ANITOE VUMBI KICHWANI
wanasema *kawia ufike ama *slow but sure..ndio spindi zetu hizoDemo pembeni kidoogo nimezama kwenye vitabu mkuu
C unajua spidi zetu too slow too sure.