Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Account ya Tsh haina shida yeyote. Hela ikitoka au ikiingia inakuwa converted kwenda kwenye required currency.Mkuu Bavaria account yangu ya Tshs naweza itumia kwa ku-deposit au ku-withdraw ela kutoka kwa broker?
Au lazima niwe na account ya dola au euro?
Je apart from FNB ni bank gani wako vizuri kwenye forex?
Bank yeyote inayosupport online transactions.