Account ya Tsh haina shida yeyote. Hela ikitoka au ikiingia inakuwa converted kwenda kwenye required currency.Mkuu Bavaria account yangu ya Tshs naweza itumia kwa ku-deposit au ku-withdraw ela kutoka kwa broker?
Au lazima niwe na account ya dola au euro?
Je apart from FNB ni bank gani wako vizuri kwenye forex?
aisee sasa hii spread inakua covered vipi? mana Risk management ni issue ya kwanza katika trading
Mkuu Bavaria account yangu ya Tshs naweza itumia kwa ku-deposit au ku-withdraw ela kutoka kwa broker?
Au lazima niwe na account ya dola au euro?
Je apart from FNB ni bank gani wako vizuri kwenye forex?
Itabidi nikawatafute maana FNB hapa nilipo hawana branch!!Hata ya shillingi kwa nnavyofahamu, sema ukifanya transaction ya dola, utakatwa shiling zako kutokana na exchange rate ya siku hiyo.
Kuhusu benki nyingine, BankABC kidogo wanajitahidi katika hizi issues za internett banking. Mimi nina kadi ya BankABC ambayo kabla nilikuwa naitumia kulipia/kununulia vitu toka mitandaoni na pia kupokelea malipo kadhaa toka nje ya nchi yaliyokuwa yakitumwa kwangu.
scalping ndio strategy yangu pia...iko poa sana..hata nkipiga mara kumi kwa siku niko vizuri...Hapana ni kuweza tu kutambua market direction.
naajifunza scalping kwa ajili ya short term trading, Labda hii inaweza kuwa na usaidizi.
Ila inawezekana kuna mahali pana tabu kidogo.
mkuu Ontario tunakusubiri wewe utoe go ahead kitu kipandishwe tufaidi wote...Mkuu ONTARIO Salamu tena. Tangu kwenye ule uzi wetu wa Matrekta nakufuatilia sana na hii issue ya Forex naiendeleza japo sipendi kusumbua huu uzi. Does that book of yours resemble this one here??
View attachment 523476
Kama ndio chenyewe nipe go ahead nikipandishe watu wapakue mkuu. Hiki kina page kama 319 hivi.
Tuko pamoja
Spread ni tofauti kati ya bei ya kununua na kuuza. Hizi bei haziwezi kuwa sawa. Kama spread ni 20 pips kwa mfano, Na wewe ukawa umenunua certain pair at certain time T, na assume market haijabadilika na bei zikawa zilezile za wakati unanunua at time T, Hapo ukiamua kuuza maana yaku utakuwa umeuza kwa hasara ya 20 pips. Ambazo hizi 20 pips ni faida ya broker kutokana na wewe kufanya biashara. Broker yeye anachukua commision yake mapema, so huko mbeleni hata ushinde ama uloose, yeye anakuwa ameshapata chake.
Njia pekee ya kukiepika hiki kiunzi ni kwa wewe kufanya analysis yako kwa umakini kabla ya kuingia katika biashara, ili ukiingia biashara ianze kwenda direction yako uliyoichagua wewe na hiyo difference in spread iwe cleared at first beginning.
scalping ndio strategy yangu pia...iko poa sana..hata nkipiga mara kumi kwa siku niko vizuri...
Naamini HII SUALA LA ANALYSIS LINAHITAJI MENTOR Mana nimejaribu kuweza kuidentify Zones ila kuweka Suport Resistance inaniwia tatizo.
ILA NAAMINI NINAWEZA NAANZA NA CANLDESTICK KISHA SCALPING, nitamalizia na training ya ANTARIO mambo yataenda sawa.
Hiyo app inaitwaje mkuu!!
Nimeanza upya leo.
Swala linakuja kwenye kuzifanyia kazi ndio hapo ninapozua mjadalaZones hizo hapo, kifupi ni eneo ambalo graph iligoma kuzidi kupanda(green lines) na kushindwa kuzidi kushuka (red lines)
nilikua napitia notes, kuna chart zina zaidi ya zone moja katika line tofauti, na kuna ambazo zina line moja tu ila inaonyesha support na resistance tofauti.Zones hizo hapo, kifupi ni eneo ambalo graph iligoma kuzidi kupanda(green lines) na kushindwa kuzidi kushuka (red lines)
Zones hizo hapo, kifupi ni eneo ambalo graph iligoma kuzidi kupanda(green lines) na kushindwa kuzidi kushuka (red lines)
kwa hiyo mkuu hapo kunakuwa na signal gan endapo graph itavuka au kugusa hizo zone (red n green)
Mkuu nilikua na swali hapo, kwamfano nimenunua, kwanza kwa uzoefu wako inaweza kuchukua mda gani hadi kupanda bei.. masaa, Siku au..? na pili ninaweza kukaa mda gani mpaka kuziuza tena.. Je kuna limit tyme..?Spread ni tofauti kati ya bei ya kununua na kuuza. Hizi bei haziwezi kuwa sawa. Kama spread ni 20 pips kwa mfano, Na wewe ukawa umenunua certain pair at certain time T, na assume market haijabadilika na bei zikawa zilezile za wakati unanunua at time T, Hapo ukiamua kuuza maana yaku utakuwa umeuza kwa hasara ya 20 pips. Ambazo hizi 20 pips ni faida ya broker kutokana na wewe kufanya biashara. Broker yeye anachukua commision yake mapema, so huko mbeleni hata ushinde ama uloose, yeye anakuwa ameshapata chake.
Njia pekee ya kukiepika hiki kiunzi ni kwa wewe kufanya analysis yako kwa umakini kabla ya kuingia katika biashara, ili ukiingia biashara ianze kwenda direction yako uliyoichagua wewe na hiyo difference in spread iwe cleared at first beginning.
nilikua napitia notes, kuna chart zina zaidi ya zone moja katika line tofauti, na kuna ambazo zina line moja tu ila inaonyesha support na resistance tofauti.
sasa hizi zenye line tofauti kama yako ndio zinanipa wakati mgumu
Standard Chartered?Itabidi nikawatafute maana FNB hapa nilipo hawana branch!!
Very very simple.nilikua napitia notes, kuna chart zina zaidi ya zone moja katika line tofauti, na kuna ambazo zina line moja tu ila inaonyesha support na resistance tofauti.
sasa hizi zenye line tofauti kama yako ndio zinanipa wakati mgumu
Mkuu nilikua na swali hapo, kwamfano nimenunua, kwanza kwa uzoefu wako inaweza kuchukua mda gani hadi kupanda bei.. masaa, Siku au..? na pili ninaweza kukaa mda gani mpaka kuziuza tena.. Je kuna limit tyme..?