Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kuna option. Rahisi sana,
Asome uzi wote atajua kuhusu kupata nafasi anazozungumzia.
Mbona inaeleweka kwamba nafasi zishapunguzwa na hazitogawiwa kama sandakalawe, Ni kwasababu hajapitia uzi wote. Maswali hayo yashajibiwa na kutolewa ufafanuzi.
 
Samahan mkuu, naomba kukusumbua kidgo, huyo zamanizaman n biashara gani anaongelea, au post yake n post namba ngap, nimeitafute wee sijaiona
click kwenye mshale unaoelekea juu uliopo post niliyo quote..itakupeleka unapotaka
 
Aisee hiki kitabu naked FOREX mbona kigumu sanaa. Nakumbuka uliki recommend... kipo tight n tofaut na vitabu vingine nilivyosomaa duhhhhh.
Kitakuandaa kisaikolojia zaidi ndo maana nakwambia anza na part 3 ndo uje part 1 then 2.
 
Kitakuandaa kisaikolojia zaidi ndo maana nakwambia anza na part 3 ndo uje part 1 then 2.
Yaan hiki kitabu hakiamin kbsaa mambo ya indicator.. wakat me nmemeza indicator kibao.. sasa inanibid nizifute kichwani
 
Yaan hiki kitabu hakiamin kbsaa mambo ya indicator.. wakat me nmemeza indicator kibao.. sasa inanibid nizifute kichwani
Kwanini uzifute?
Inabidi uwe kama mwanajeshi au komandoo. Unakuwa 'packed' na different tools for trading. Kwahiyo unakuwa na wigo mpana wa strategies za kutumia in trading.
Sasa ukisoma vitabu vingine si utachanganyikiwa?
 
Njia gani nzuri ya kusoma kitabu,kukisoma kitabu chote then nifanye Kwa vitendo au nisome Kwa vitendo..

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Uwe umefungua MT4 yako pembeni.
Ukisoma kitu unakijaribu kuangalia kama unakiona au kukifanyia kazi..
Ukisoma chote ukifungua MT4 yako utakuwa umeshasahau.
Unless umeshakuwa vizuri.
 
Je kwa indicators hizi, Current trend ya GBP/USD, Je ni muda sahihi wa kusema unananunua GBP/USD pair.?



CC: Ontario, Bavaria.
 
Asante BAVARIA,nitajitaidi kufata hiyo mbinu na Nakuhaidi nitakuwa Bora katika FOREX,na NAOMBA PIA KWA WADAU WENGINE WENYE UELEWA MPANA msisite kutoa mbinu nzuri za kuweza kuelewa hii BIASHARA tusiwe wachoyo,ONTARIO angeweza kukaa na Ukweli aliouweka Wazi kuhusu biashara Hii ila Kwa kuwa sio Mchoyo AmEanzisha Uzi WENYE Faida ulionipelekea KUTHUBUTU KU RISK AJIRA YANGU..
Be Blessed kiongozi nilikua zinanipa tabu sasa hapa knowladge imekuja

bado detailed Scalping

Uwe umefungua MT4 yako pembeni.
Ukisoma kitu unakijaribu kuangalia kama unakiona au kukifanyia kazi..
Ukisoma chote ukifungua MT4 yako utakuwa umeshasahau.
Unless umeshakuwa vizuri.


Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…