Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu ebu naomba jina la hyo demo account..nataka kuanza mazoezi...kama hautajali Mkuu wangu
Meta trade 5 mkuu, humu hatuna hiyana kabida. Ontario amewabadilisha watu kuacha roho za kichawi. Mwanga akiingia humu anabadilika au anahama mazima.
 
Read books mkuu upate maarifa zaidi. Kila kitu kimeandikwa kuhusu Resistance and Support, Retrechments and Revisals.
Kama huelewi kitu si ukimbilie youtube?
Nashangaa mtu anavyosema hawezi kufanya kitu fulani wakati youtube ni hazina ya kutosha kujifunza.
Aisee hiki kitabu naked FOREX mbona kigumu sanaa. Nakumbuka uliki recommend... kipo tight n tofaut na vitabu vingine nilivyosomaa duhhhhh.
 
Aisee hiki kitabu naked FOREX mbona kigumu sanaa. Nakumbuka uliki recommend... kipo tight n tofaut na vitabu vingine nilivyosomaa duhhhhh.
Haha ha,mkuu Mimi hiki ndiyo nimeona ganda la ndizi nateleza,kike currency trading for dummies kuna chapter nimezishindwa kabisa hazipandi
 
mkuu hapa ndipo pahala sahihi pa kuuliza na kufafanuliwa mambo kisawasawa..huko pm naweza nikakosea na hamna mtu atakaenikosoa ila hapa nikikuingisha chaka wadau wananyoosha mambo kwelikweli...

=================================

scalping,Ontario anaiita skimming ni strategy ya kutrade ambapo unafungua positions kwa muda mfupi sana kisha unaclose positions..mfano,umefanya technical analysis yako ukaona ambavyo charts zinabehave hivyo ukaamua ku time ambapo soko linapanda au kushuka na hapo ukafungua position kutegemea na trend..baada ya kufika sehemu ambapo unahisi hapo ndipo soko linabadilisha trend unaexit kwa faida yoyote uliyotengeza kwa muda huo.....kisha,unakula timing yako tena,unaingia sokoni unavuna faida unasepa,hivo hivo..kifupi,ni trading inayochukua muda mdogo sana...

usisahau ukifanya timing yako visivyo utaingia hasara ya uhakika

NOTE: katika scalping ni advisable kutumia stake ndogo ya margin yako...
Shukrani Mtaalam

Umeeleweka vyema sana ila in practice spread inanimaliza.

Naamini nitaelewa kadiri siku zinavyoenda
 
Aisee hiki kitabu naked FOREX mbona kigumu sanaa. Nakumbuka uliki recommend... kipo tight n tofaut na vitabu vingine nilivyosomaa duhhhhh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee unapiga page nzima unaona nyota nyota tu
 
Shukrani Mtaalam

Umeeleweka vyema sana ila in practice spread inanimaliza.

Naamini nitaelewa kadiri siku zinavyoenda
inakubidi uwe accurate sana mkuu..maana uki open position kisha soko likatangulia kuenda kinyume kabla ya kuendana na position yako unakuwa tayari umeingia loss kubwa..
 
Haha ha,mkuu Mimi hiki ndiyo nimeona ganda la ndizi nateleza,kike currency trading for dummies kuna chapter nimezishindwa kabisa hazipandi
Dahhh aisee kwel binadamu tunatofautianA..... kipo tight sana hiki.... tofaut n.a. godfather au forex as bible book
 
Mkuu ONTARIO tunasubiri kwa shauku juu ya issue ya kitabu chenye maujanja ya kupiga wanasema mpunga (a million dollar book) "mastering technical analysis for smarter traders" ili tukitua tu mjengoni uwe kama unasukuma mlevi.

Then December as proposed ndani ya SA Airways to Capetown.

Kwa kidogo nilichojifunza naendelea kuscalp yaani nadonoa donoa taratibu kama mchwa but the overall profit is convincing

Hii ni tangu asubuhi mpaka SAA 7 mchana huu
View attachment 523758
Unaweza kushare namna unavyoanalyse kwa ajili ya scalping mana hapa ni tatizo kubwa sana kwa kila mtu
 
kwa wale ambao wangehitaji fast track katika momentum oscillators/indicators, Video hizo hapo chini

1. Stochastic 2. EMA 3. MA 4. MACD 5.RSI

Be Blessed kiongozi nilikua zinanipa tabu sasa hapa knowladge imekuja

bado detailed Scalping
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom