Kwenye maisha jambo lipi hali involve risking? We ndo akili yako ipo kwa box.. kutoka tu point A to B ni hatar unaweza hata kubutuliwa ukafia mbali, kwenye bzness hasara zipo me nilishafunga maduka mara kadhaa lakini sikukata tamaa sana sana nilijifunza nilipokosea nikasimama tena na bado naendelea, hata kuzaa nowdays ni shida haina gurantee watoto watakuae, kuoa/kuolewa nako yale yale etc etc... we vip? Unaishi dunia ipi mpaka uko na comfort zone kiivo? Utakua unaishi bush huko na probably unafundisha shule ya msingi huko unona umeshamaloza unasubiri @60 upate milion 70 kiinua mgongo [emoji16][emoji16]
Si bure unahitaji maombezi mazito!!
Ushauri:
Maisha si lelemama amka na amsha akili tafta fursa mpya kila siku, jifunze kwa wenzako, jenga mtandao na watu mbali mbali upate mambo mapya i.e kama ontario alivotupatia elimu ya forex etc etc..