Very Simple .Fanya hesabu ya haraka haraka....kuanzia October 2016;
1.Nilianza na Gold Plus 2 @ $2086 = $4172 .Kila moja inagenerate USD 630 kwa mwezi ,lengo kila mwezi niongeze Gold Plus mbili
2.Nika-reinvest faida $630 * 2 =$1260 nikaongeza $2912 Iiliniweze kupata Gold Plus nyingine mbili (1260+2912=$4192)
3.Nikawa na Gold Plus nne kila moja ina generate USD 630 kwa mwezi * 4= 2520
4.Nika reivenst faida $2520 nikaongeza $1652 ili kupata Gold Plus nyingine mbili = $4192
5.Nikawa nina Gold Plus Sita,kila moja inagenerate USD 630 kwa mwezi *6 = $ 3780
6.Nikareinvest Gold Plus moja zadi kwa $ 2086.
7.Hapo utaona Jumla ya investments ni USD 14,994
8.Kuanzia February mpaka leo nina Gold Plus Saba...kila moja inagenerate $ 630 kwa mwezi(sija invest tangu February),hivyo ndani ya miezi minne Feb-May(630 * 7 * 4 = 17,640).- Hii ndiyo hela ambayo nimeitengeneza bila kuizungusha tena.... Nimepanga sehemu ya hela hii nitaiingiza kwenye Forex Trading
NB: Nakubali hii inaweza kuwa biashara kimeo,lakini sijapata mbadala kabisa...nimesha APA sintofanya biashara isiyo na risk milele sababu zimenichosha sana.....longolongo ni nyingi hasa biashara inayohusisha binadamu moja kwa moja .....nimeshaonja tamu ya online platforms sasa naingia mzimamzima kwenye Forex Trading mungu akinijalia nitafunga mkanda hadi South Afirca kwa ajili ya hii mavitu....Kanuni zake nazijua na naziheshimu ikiwemo "DO not invest the money that you can not afford to Loose".....Nimeshapiga misele ya kutosha ,sihitaji ushauri wowote mbadala