Astrofx walikua na live webinar jana. Pamoja na mengine walisema wanamalizia maandalizi ya ku-launch website yao...itaitwa everythingfx.Walionyesha pia demo ya hiyo website ambayo itazinduliwa July 1. Kwa jinsi ninavyoona hizo content za kitabu ni almost similar na content za website, plus other detailed weekly technical analysis...
Toa copy ndo easy way..... bookshops nying havipo.... ..ONTARIO na wengine mtanisaidia...
kwanza nilichelewa kuuona huu uzi kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu (was kinda busy). nimejaribu kukimbizana na kasi ya kutafuta vitabu na kuanza kuvisoma ila kwenye kufungua demo account nilijaribu MT4 na MT5 zote zilikataa ku-install kwenye laptop yangu. Naombeni mnishauri nidownload ipi (laptop ni MAC).
Pia ni bookshop gani nitapata naked forex na forex trading for dummies kwa urahisi maana leo nilikuwa posta mpya kuvitafuta nikapita bookshop kubwa tatu hawakuwa na hard copies hizo.
Msaada wenu wadau.
Brother me bado naona swala la kupeleka stationary ndo the best idea.. Kila mtu atakifata hapo kwa mda wake ila kama utaweza ata ukiacha kwenye stationary mbili tofaut zilizo mbali ili kupunguza msongamano hiyo stationary moja itakua vizuri!!Nacheka sana. Ni furaha kabisa nikipita humu naona discussions zinaendelea. Msione nimekaa kimya, hua nasoma kila post tangia post ya 1 hadi hii ya 3213. Nikiangalia comment kama hii naona mwanga, nilivyokuwa infant trader nilikua nina akili kama zako boss. Yani ulikua ukifungua charts zng unakuta kuna indicators kama 10 hivi, nilikua naziamini sana hizi makitu.
With time zikawa zinapungua. Leo hii ukiona analysis yangu hukuti indicator hata 1. That's being professional, hkn Pro anayetumia indicator, utakachokiona kwenye charts zake ni horizontal na inverted lines. Tena saa zingine mtu anaangalia tu hivi charts anajua nini kinaendelea bila ya mstari wwt. Hiyo ndio maana halisi ya Naked forex, yani charts ziwe uchi, zisizibwe zibwe na indicators. Patterns hazijawahi kumpoteza mtu, floor and ceiling ndio mchawi wa price action.
Na hii ndio strategy nataka team nzima itumie... The winning major keys!!
Kuhusu kitabu
Imenichukua muda mwingi kujibu kuhusu kitabu nilichokizungumza awali, sikutaka kujibu kitu ambacho sina uhakika nacho. Siku zote nipo Dar hapa kushughulikia mambo ya hii forex, kitabu nilikua sina access nacho, nilikiacha Bagamoyo.
Kile kitabu bana hata mimi sikukinunua bookshop, nilikichukua kwa mwanangu mmoja SA. Yeye alipewa alipokua ameenda forex course England kwenye darasa la AstroFX, so ukilipa $5000 kama fees unapewa na hicho kitabu as learning guideline.
Kitabu kimeandikwa na Aman Natt na Shaun Lee, kinaitwa learning guideline by AstroFX - mastering technical analysis. Kimetoka mwaka jana July kama sikosei. Kitabu kitamu sana hiki kwa level yenu - bado sijapata mawazo mazuri kutoka kwenu ili kila mtu ambae yupo interested akipate. Mimi mkiniambia nifanye chochote, I'll just do that kwa roho nyeupe, msiposema kitu pia nami nakausha, sina cha kupoteza, mimi nimeshakisoma mara 4.Hapa screen shot ya cover page
Hapa table of contents.
Zaidi ya yote - mambo yanaenda vizuri, mnaeza kudhani Ontario amelala tu kitandani anatrade account yake, but kiukweli nafight sana ili office iwe up and running ASAP. Msione nachukua muda mwingi, I am preparing the best thing for us all. Mambo yataanza soon. Let's keep the faith.
Wengi wameprint softcopy ili kupata hard copy.Pia ni bookshop gani nitapata naked forex na forex trading for dummies kwa urahisi maana leo nilikuwa posta mpya kuvitafuta nikapita bookshop kubwa tatu hawakuwa na hard copies hizo.
pia mimi indicators nazitumia just for confirmation purposes...yani baada ya ma analysis yangu,mfano nikajua kitu kitapanda hapo ndipo nachungulia indicators kuona kama kweli zinaelekeza in the direction im intending to take..Binafsi natumia indicators kuangalia kama pair ipo oversold au overbought.
Miaka fulani indicator ilinipeleka chaka hadi leo sitaki tena kuziamini.
Nazani ni wazo la msingi sana hajalishi upo mkoani au wapi kama una nia ya dhati basi kitabu utakipata tuSure.
Nimeshasoma literature sana na demo nimefanya kwa muda sasa, nataka kwenda live na kama $100 hivi, ushauri nianzie wapi please???Nikichoka kutumia compyuta navuta copy yangu nakula msuli, Mkuu OTARIO Asante Kwa kunisababishia kiu ili nichimbe kisima cha kupata Maji najua safari ni ndefu ila tutafika tu..NOTE :USIMLAZIMISHE PUNDA KUNYWA MAJI,MSABABISHIE AWE NA KIU. humu ndani watu wameshapatwa na kiu sasa ni mwendo wa kuyatafuta Maji
fungua tena demo, ichome ibaki 100$, ipandishe mpaka 400$ hapo utakuwa umefudhu.Nimeshasoma literature sana na demo nimefanya kwa muda sasa, nataka kwenda live na kama $100 hivi, ushauri nianzie wapi please???
kaswali kamoja karahisi katakufanya urudie vitabu chap chap..Nimeshasoma literature sana na demo nimefanya kwa muda sasa, nataka kwenda live na kama $100 hivi, ushauri nianzie wapi please???
Daah naanza upya kitabu [emoji25]kaswali kamoja karahisi katakufanya urudie vitabu chap chap..
>nini maana ya testing?..
>na je?..spike reversals ndio nini?.
> traders wanamaanisha nini wasemapo safe haven?
>je unajua maana ya backing and fillings.
>je,umeelewa concept ya resistance and support?..
jitazmini kabla ya kuchukua hatua nyingine mkuu..
Ni kweli nimejaribu indicators kadhaa kama EMA, SMA, Parabolic SAR n.k but I have found that haziko effective ikilinganishwa na kucheza na PRICE ACTION na PRICE FLOOR and CEILING kama alivyoshauri ONTARIO. Baada ya kugundua hivyo, indicators zote niliondoa isipokuwa Parabolic SAR ingawa siitumii kwenye analysis kama base ya decisions zangu za kubuy or kusell, ila tu naitumia kama confirmation ya direction ya trend.Nacheka sana. Ni furaha kabisa nikipita humu naona discussions zinaendelea. Msione nimekaa kimya, hua nasoma kila post tangia post ya 1 hadi hii ya 3213. Nikiangalia comment kama hii naona mwanga, nilivyokuwa infant trader nilikua nina akili kama zako boss. Yani ulikua ukifungua charts zng unakuta kuna indicators kama 10 hivi, nilikua naziamini sana hizi makitu.
With time zikawa zinapungua. Leo hii ukiona analysis yangu hukuti indicator hata 1. That's being professional, hkn Pro anayetumia indicator, utakachokiona kwenye charts zake ni horizontal na inverted lines. Tena saa zingine mtu anaangalia tu hivi charts anajua nini kinaendelea bila ya mstari wwt. Hiyo ndio maana halisi ya Naked forex, yani charts ziwe uchi, zisizibwe zibwe na indicators. Patterns hazijawahi kumpoteza mtu, floor and ceiling ndio mchawi wa price action.
Na hii ndio strategy nataka team nzima itumie... The winning major keys!!
Kuhusu kitabu
Imenichukua muda mwingi kujibu kuhusu kitabu nilichokizungumza awali, sikutaka kujibu kitu ambacho sina uhakika nacho. Siku zote nipo Dar hapa kushughulikia mambo ya hii forex, kitabu nilikua sina access nacho, nilikiacha Bagamoyo.
Kile kitabu bana hata mimi sikukinunua bookshop, nilikichukua kwa mwanangu mmoja SA. Yeye alipewa alipokua ameenda forex course England kwenye darasa la AstroFX, so ukilipa $5000 kama fees unapewa na hicho kitabu as learning guideline.
Kitabu kimeandikwa na Aman Natt na Shaun Lee, kinaitwa learning guideline by AstroFX - mastering technical analysis. Kimetoka mwaka jana July kama sikosei. Kitabu kitamu sana hiki kwa level yenu - bado sijapata mawazo mazuri kutoka kwenu ili kila mtu ambae yupo interested akipate. Mimi mkiniambia nifanye chochote, I'll just do that kwa roho nyeupe, msiposema kitu pia nami nakausha, sina cha kupoteza, mimi nimeshakisoma mara 4.Hapa screen shot ya cover page
Hapa table of contents.
Zaidi ya yote - mambo yanaenda vizuri, mnaeza kudhani Ontario amelala tu kitandani anatrade account yake, but kiukweli nafight sana ili office iwe up and running ASAP. Msione nachukua muda mwingi, I am preparing the best thing for us all. Mambo yataanza soon. Let's keep the faith.
hahaa...pia mimi kule mwanzomwanzo wa uzi huu nlikuwa najihisi niko tayari kuingia market live..mkuu Ontario alinizima kwa kaswali kasimple sana..mkuu Bavaria alinisaidia sana maana hata lot size sikuwa nafahamu ni kitu gani..Daah naanza upya kitabu [emoji25]
Mkuu naanza saizi upya kabisaa, vp nikiwa nasoma sana huku demo mdogo mdogohahaa...pia mimi kule mwanzomwanzo wa uzi huu nlikuwa najihisi niko tayari kuingia market live..mkuu Ontario alinizima kwa kaswali kasimple sana..mkuu Bavaria alinisaidia sana maana hata lot size sikuwa nafahamu ni kitu gani..
kaswali kamoja karahisi katakufanya urudie vitabu chap chap..