Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Astrofx walikua na live webinar jana. Pamoja na mengine walisema wanamalizia maandalizi ya ku-launch website yao...itaitwa everythingfx.Walionyesha pia demo ya hiyo website ambayo itazinduliwa July 1. Kwa jinsi ninavyoona hizo content za kitabu ni almost similar na content za website, plus other detailed weekly technical analysis...

If that the case then we should not bother Ontario kutoa copy. Let's wait for the website to be launched while grasping with the rest of the books. Nina imani wengi humu hatujasoma walau vitabu viwili Na kuvielewa.
 
ONTARIO na wengine mtanisaidia...
kwanza nilichelewa kuuona huu uzi kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu (was kinda busy). nimejaribu kukimbizana na kasi ya kutafuta vitabu na kuanza kuvisoma ila kwenye kufungua demo account nilijaribu MT4 na MT5 zote zilikataa ku-install kwenye laptop yangu. Naombeni mnishauri nidownload ipi (laptop ni MAC).
Pia ni bookshop gani nitapata naked forex na forex trading for dummies kwa urahisi maana leo nilikuwa posta mpya kuvitafuta nikapita bookshop kubwa tatu hawakuwa na hard copies hizo.
Msaada wenu wadau.
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Toa copy ndo easy way..... bookshops nying havipo.... ..
 
Nacheka sana. Ni furaha kabisa nikipita humu naona discussions zinaendelea. Msione nimekaa kimya, hua nasoma kila post tangia post ya 1 hadi hii ya 3213. Nikiangalia comment kama hii naona mwanga, nilivyokuwa infant trader nilikua nina akili kama zako boss. Yani ulikua ukifungua charts zng unakuta kuna indicators kama 10 hivi, nilikua naziamini sana hizi makitu.

With time zikawa zinapungua. Leo hii ukiona analysis yangu hukuti indicator hata 1. That's being professional, hkn Pro anayetumia indicator, utakachokiona kwenye charts zake ni horizontal na inverted lines. Tena saa zingine mtu anaangalia tu hivi charts anajua nini kinaendelea bila ya mstari wwt. Hiyo ndio maana halisi ya Naked forex, yani charts ziwe uchi, zisizibwe zibwe na indicators. Patterns hazijawahi kumpoteza mtu, floor and ceiling ndio mchawi wa price action.

Na hii ndio strategy nataka team nzima itumie... The winning major keys!!

Kuhusu kitabu
Imenichukua muda mwingi kujibu kuhusu kitabu nilichokizungumza awali, sikutaka kujibu kitu ambacho sina uhakika nacho. Siku zote nipo Dar hapa kushughulikia mambo ya hii forex, kitabu nilikua sina access nacho, nilikiacha Bagamoyo.

Kile kitabu bana hata mimi sikukinunua bookshop, nilikichukua kwa mwanangu mmoja SA. Yeye alipewa alipokua ameenda forex course England kwenye darasa la AstroFX, so ukilipa $5000 kama fees unapewa na hicho kitabu as learning guideline.

Kitabu kimeandikwa na Aman Natt na Shaun Lee, kinaitwa learning guideline by AstroFX - mastering technical analysis. Kimetoka mwaka jana July kama sikosei. Kitabu kitamu sana hiki kwa level yenu - bado sijapata mawazo mazuri kutoka kwenu ili kila mtu ambae yupo interested akipate. Mimi mkiniambia nifanye chochote, I'll just do that kwa roho nyeupe, msiposema kitu pia nami nakausha, sina cha kupoteza, mimi nimeshakisoma mara 4.
4f5e467eec51868cec4ee1e6defcc8.jpg
Hapa screen shot ya cover page

cc7f2cd523ba7c9344700e16ccbe70.jpg
Hapa table of contents.

Zaidi ya yote - mambo yanaenda vizuri, mnaeza kudhani Ontario amelala tu kitandani anatrade account yake, but kiukweli nafight sana ili office iwe up and running ASAP. Msione nachukua muda mwingi, I am preparing the best thing for us all. Mambo yataanza soon. Let's keep the faith.
Brother me bado naona swala la kupeleka stationary ndo the best idea.. Kila mtu atakifata hapo kwa mda wake ila kama utaweza ata ukiacha kwenye stationary mbili tofaut zilizo mbali ili kupunguza msongamano hiyo stationary moja itakua vizuri!!
 
Pia ni bookshop gani nitapata naked forex na forex trading for dummies kwa urahisi maana leo nilikuwa posta mpya kuvitafuta nikapita bookshop kubwa tatu hawakuwa na hard copies hizo.
Wengi wameprint softcopy ili kupata hard copy.

Iwapo unasisitiza upate kitabu chenyewe na sio print out ya kawaida.

Basi vinapatikana AMAZON .COM

Ukiweka order leo unavipata vitabu next week.

www.bit.ly/101buy4me

Karibu
 
Binafsi natumia indicators kuangalia kama pair ipo oversold au overbought.
Miaka fulani indicator ilinipeleka chaka hadi leo sitaki tena kuziamini.
pia mimi indicators nazitumia just for confirmation purposes...yani baada ya ma analysis yangu,mfano nikajua kitu kitapanda hapo ndipo nachungulia indicators kuona kama kweli zinaelekeza in the direction im intending to take..
 
Nazani ni wazo la msingi sana hajalishi upo mkoani au wapi kama una nia ya dhati basi kitabu utakipata tu
Wazo langu pia cheki stationary inayofikika kirahisi na ya kuaminika mana wapiga dilii hawakosekani unaweza kukuta bei imepanda Kisa demand imekua kubwa so ni jambo la busara kuwahi pia mana tukipata kwa wakati itatusaidia saa
 
Aisee hebu kama inawezekana kuna stationary nzuri pale DIT AU. sarvey pale ili kuokoa muda kila mtu ataenda kwa mda wake ila cha msingi ni kuepuka wpiga dilli mna sio mda utasikia kitabu kinauzwa dollars 800
 
Kuna option yabkumkopy trader nzur uwe unapata chochote kupitia kwake wakati unamfuatilia jinc anavotrade na ukiwa fresh unatrade mwenyewe. Hii imekaaje wataalam? Ni njia nzur hii kwa sisi ma newbies?
 
Nikichoka kutumia compyuta navuta copy yangu nakula msuli, Mkuu OTARIO Asante Kwa kunisababishia kiu ili nichimbe kisima cha kupata Maji najua safari ni ndefu ila tutafika tu..NOTE :USIMLAZIMISHE PUNDA KUNYWA MAJI,MSABABISHIE AWE NA KIU. humu ndani watu wameshapatwa na kiu sasa ni mwendo wa kuyatafuta Maji
 
Nimeshasoma literature sana na demo nimefanya kwa muda sasa, nataka kwenda live na kama $100 hivi, ushauri nianzie wapi please???
 
kaswali kamoja karahisi katakufanya urudie vitabu chap chap..
>nini maana ya testing?..
>na je?..spike reversals ndio nini?.
> traders wanamaanisha nini wasemapo safe haven?
>je unajua maana ya backing and fillings.
>je,umeelewa concept ya resistance and support?..

jitazmini kabla ya kuchukua hatua nyingine mkuu..
 
Daah naanza upya kitabu [emoji25]
 
Nacheka sana. Ni furaha kabisa nikipita humu naona discussions zinaendelea. Msione nimekaa kimya, hua nasoma kila post tangia post ya 1 hadi hii ya 3213. Nikiangalia comment kama hii naona mwanga, nilivyokuwa infant trader nilikua nina akili kama zako boss. Yani ulikua ukifungua charts zng unakuta kuna indicators kama 10 hivi, nilikua naziamini sana hizi makitu.

With time zikawa zinapungua. Leo hii ukiona analysis yangu hukuti indicator hata 1. That's being professional, hkn Pro anayetumia indicator, utakachokiona kwenye charts zake ni horizontal na inverted lines. Tena saa zingine mtu anaangalia tu hivi charts anajua nini kinaendelea bila ya mstari wwt. Hiyo ndio maana halisi ya Naked forex, yani charts ziwe uchi, zisizibwe zibwe na indicators. Patterns hazijawahi kumpoteza mtu, floor and ceiling ndio mchawi wa price action.

Na hii ndio strategy nataka team nzima itumie... The winning major keys!!

Kuhusu kitabu
Imenichukua muda mwingi kujibu kuhusu kitabu nilichokizungumza awali, sikutaka kujibu kitu ambacho sina uhakika nacho. Siku zote nipo Dar hapa kushughulikia mambo ya hii forex, kitabu nilikua sina access nacho, nilikiacha Bagamoyo.

Kile kitabu bana hata mimi sikukinunua bookshop, nilikichukua kwa mwanangu mmoja SA. Yeye alipewa alipokua ameenda forex course England kwenye darasa la AstroFX, so ukilipa $5000 kama fees unapewa na hicho kitabu as learning guideline.

Kitabu kimeandikwa na Aman Natt na Shaun Lee, kinaitwa learning guideline by AstroFX - mastering technical analysis. Kimetoka mwaka jana July kama sikosei. Kitabu kitamu sana hiki kwa level yenu - bado sijapata mawazo mazuri kutoka kwenu ili kila mtu ambae yupo interested akipate. Mimi mkiniambia nifanye chochote, I'll just do that kwa roho nyeupe, msiposema kitu pia nami nakausha, sina cha kupoteza, mimi nimeshakisoma mara 4.
4f5e467eec51868cec4ee1e6defcc8.jpg
Hapa screen shot ya cover page

cc7f2cd523ba7c9344700e16ccbe70.jpg
Hapa table of contents.

Zaidi ya yote - mambo yanaenda vizuri, mnaeza kudhani Ontario amelala tu kitandani anatrade account yake, but kiukweli nafight sana ili office iwe up and running ASAP. Msione nachukua muda mwingi, I am preparing the best thing for us all. Mambo yataanza soon. Let's keep the faith.
Ni kweli nimejaribu indicators kadhaa kama EMA, SMA, Parabolic SAR n.k but I have found that haziko effective ikilinganishwa na kucheza na PRICE ACTION na PRICE FLOOR and CEILING kama alivyoshauri ONTARIO. Baada ya kugundua hivyo, indicators zote niliondoa isipokuwa Parabolic SAR ingawa siitumii kwenye analysis kama base ya decisions zangu za kubuy or kusell, ila tu naitumia kama confirmation ya direction ya trend.
Ninajitahidi kusoma kusoma books recommended by ONTARIO na kusurf mtandaoni ili nipate maujuzi zaidi.

Kuhusu kitabu hicho (a million dollar book) kwa ajili ya faida ya wote walioko Dar na tulioko nje ya Dar, ningependa kushauri kuwa kiwescanned kwa kutumia app inayoitwa CamScanner iko play store, unakuwa kama unapiga picha kwa kutumia app hiyo kisha unaiconvert to PDF. Baada ya hapo unaconnect simu na PC na kuingia kwenye folder la hiyo app kwenye subfolder la Images unaikuta PDF yako hapo inakutolea macho.
Ningeshauri kuwa ONTARIO atusaidie kumpatia mtu yeyote anayemwamini mwenye uwezo wa kuifanya kazi hiyo kwa ubora wa hali ya juu kisha atushirikishe hapa jukwaani ni kiasi gani huyo mtu atataka ili tulipie gharama hizo kwa utaratibu tutakao kubaliana (I see this is efficient and effective)

NAWASILISHA HOJA
 
hahaa...pia mimi kule mwanzomwanzo wa uzi huu nlikuwa najihisi niko tayari kuingia market live..mkuu Ontario alinizima kwa kaswali kasimple sana..mkuu Bavaria alinisaidia sana maana hata lot size sikuwa nafahamu ni kitu gani..
Mkuu naanza saizi upya kabisaa, vp nikiwa nasoma sana huku demo mdogo mdogo
 
kaswali kamoja karahisi katakufanya urudie vitabu chap chap..
>nini maana ya testing?..
>na je?..spike reversals ndio nini?.
> traders wanamaanisha nini wasemapo safe haven?
>je unajua maana ya backing and fillings.
>je,umeelewa concept ya resistance and support?..

jitazmini kabla ya kuchukua hatua nyingine mkuu..

Huku ni kutishana mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]

Anyways, Mimi nadhani there will never be the right time to start real trade. Lazima kuwe na start point ambayo inakuwa defined na wewe mwenyewe confidence yako.

Hizi terminology zipo nyingi mnoo na huwezi kuzijua zote, kwahiyo cha msingi ni master the analysis of graph (to be specific candles) then ukiwa na confidence anza.

Kuna mmoja wa mentor nimempata anasema rafiki yake alienda sehemu kukutana na traders kufika pale Jamaa wanazijua terminology kibao yeye ana zake chache za msingi Ila walivyo anza analysis and speculation Jamaa walikuwa watupu

Mimi sio mtaalamu hata kidogo na sijawahi fanya real trade Ila huu ni mtazamo wangu. Start when u have the confidence in yourself

Usipo chafuka utajifunzaje? Acha watu waunguze accounts hizo za $100 ndio njia ya kuja kuwa pro.

Cheers!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom