Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Mwana wa ngurumo Asante sana. Kimefunguka bila pingamizi lolote. Ubarikiwe sana.
 

Chief asante sana kwa Nondo. Ubarikiwe mno
 
Mku
Mkuu habari mimi nahitaji msaada toka kwako nimekua nikisoma sana na kwavile uzi nimeukutia mwisho nipe mwaongozo japo hizo Link za website mnazotumia kutrade
 
ONTORIO THANKS FOR SHARING VERY CONSTRUCTIVE TOPIC.WERE SO IMPRESSED KUJA KUJIFUNZA ZAIDI LAKINI JE TUNAWEZAJE KUFANYA HIVYO NA HUJAWEKA CONTACTS.PIA WATU MIA 300 NI WENGI I CAN'T IMAGINE NI ENEO KIASI GANI UNA HITAJI KUWEZA KU ACCOMODATE WATU WENGI HIVYO LABDA UNGEWEKA FEE KIDOGO ATLEAST YA KULIPIA ENEO.COUNT ME IN NATAKA KUJUA SANA MAMBO HAYA AS AM STILL EMPTY
 
Mku

Mkuu habari mimi nahitaji msaada toka kwako nimekua nikisoma sana na kwavile uzi nimeukutia mwisho nipe mwaongozo japo hizo Link za website mnazotumia kutrade
Kama unatumia smartphone nenda play store download app inaitwa meta trader 4 kisha kisajili hapo
Kama ni PC nenda websites za aidha XM, HotForex, JPMarkets n.k kwenye platforms jisajili Demo account na utafollow procedures nyingine humo.
 

Wewe wezere hii biashara ya forex siyo nyepesi kwa mvivu kama wewe umeshindwa kusoma post by post katika hii thread ndo utaweza ingia forex forest?
ETI UNATAKA KUJUA SANA MAMBO.....IKAWAJE UKASHINDWA KUSOMA POST ZOTE.......?
 
Mkuu ubarikiwe kwa msaada wako sisi wa mikoani tungepata tabu kidogo kukitafta Dar..
 
Kibali: approval

Kitabu kilichowekwa hapa cha Art of techninal analysis ndicho ninachokizungumzia. Ni kitabu chepesi sana sana sana, yani inabidi hiki ukisome ukielewe.

Kina charts nyingi sana, zielewa vzr maana hizo charts ndizo utakutana nazo ukianza kutrade... hiko kitabu ni kitamu sana, na mm nimetoa --go ahead, kipakue then anza kukisoma pole pole. Hiko ukiwa unakisoma we mwenyewe unasikia utamu.
 
Wewe wezere hii biashara ya forex siyo nyepesi kwa mvivu kama wewe umeshindwa kusoma post by post katika hii thread ndo utaweza ingia forex forest?
ETI UNATAKA KUJUA SANA MAMBO.....IKAWAJE UKASHINDWA KUSOMA POST ZOTE.......?

Umejuaje kama sijasoma mkuu au umejisikia tu kujibu???
Sio lazima ujibu hata ukikaa kimya ni busara pia.Yeye kajitolea kundisha na mimi nimeomba kufundishwa wewe mjuaji tulia sisi tusiojua tujifunze na pia understanding ni tofauti but at the end ultimatum is all matter no matter which method unatumia.kwa taarifa yako nimefungua mpaka demo account kujifunza kupitia DEMO - Mahi FX.
Next time ukiwa huna cha kuandika kaa kimya kaka
 
Tunashukuru kamanda..
 
Hapana simaanishi hivyo nasubiri majibu yake pia sio kwamba nimeacha majibu yako hapana mkuu!!
 

Thanks Ontario
 
Nimeanza kula nondo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…