Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu Ontario ameshakihakiki kua ndio..
Sikumaanisha kitabu kuna kitu aliuliza huyo jamaa ambacho ni binary fisio sasa nilikuwa namwambia ndicho ila ye akawa anasema anasubili mpaka Ontario amjibu
 
Umejuaje kama sijasoma mkuu au umejisikia tu kujibu???
Sio lazima ujibu hata ukikaa kimya ni busara pia.Yeye kajitolea kundisha na mimi nimeomba kufundishwa wewe mjuaji tulia sisi tusiojua tujifunze na pia understanding ni tofauti but at the end ultimatum is all matter no matter which method unatumia.kwa taarifa yako nimefungua mpaka demo account kujifunza kupitia DEMO - Mahi FX.
Next time ukiwa huna cha kuandika kaa kimya kaka
Amejua hujasoma kwa sababu
1. Idadi hiyo ya watu ilishapunguzwa kitambo lakini wewe umeitaja ya mwanzo

2. Ontario amesisitiza kwa nguvu kubwa kuwa usiquote uzi wote lakini wewe umequote...na kuna mtu humu hadi alimtukana mwenzie tusi la nguoni kwa kuquote uzi wote

3. Taratibu zote jamaa amekuwa akiendelea kuupdate mara kwa mara

Ushauri wangu kama unaona post za kusoma ni nyingi basi sort replies tu za ontario...at least utakuwa updated na kinachoendelea humu ndani
 
Lazima tukubali si kila mtu ni expert wa JF and kuna approach ya kumwambia mtu.Hakuna haja ya matusi hatujuani viwango vya elimu na pia kuna wengine tunapenda kujifanya wajinga zaidi ili tujifunze zaidi.Kuna watu wengine humu were expert in other area of finance but forex seems to be something else na inaonekana elimu ya darasani as tulivyosoma kuhusu Arbitragers ni totally different na practice.I think we need to be more of helping kuliko kuharibu.Alichokijibu its so stupid wewe unamuitaje mtu humjui mvivu na wakati perhaps nimesoma vitabu vingi kuliko yeye.Swala ni approach na lazima tujue hatuwezi kuelewa wote kwa muda mmoja.
 
Kibali: approval

Kitabu kilichowekwa hapa cha Art of techninal analysis ndicho ninachokizungumzia. Ni kitabu chepesi sana sana sana, yani inabidi hiki ukisome ukielewe.

Kina charts nyingi sana, zielewa vzr maana hizo charts ndizo utakutana nazo ukianza kutrade... hiko kitabu ni kitamu sana, na mm nimetoa --go ahead, kipakue then anza kukisoma pole pole. Hiko ukiwa unakisoma we mwenyewe unasikia utamu.

mkuu ONTARIO tunashukuru kwa GO AHEAD uliyotupa pia namshukuru aliyetulea hicho kitabu hakika nimeamini TO GETHER WE CAN GO FAR .
 
477141432ed268a48b9691f6b49a0b15.jpg

Utamu unaanziaa hapa..[emoji180]
 
Wakuu Bavaria ONTARIO nilikuuliza swali moja lakini naona labda hukuliona; ni hivi kwa live trading kutumia price action unatumia catalyst (Engulfin candles/pin bars/ Head and shoulders/Double top, Double bottom etc) moja kuingia kwenye position au unatumia multiple catalyst kufanya analyisis? Yani mtu unaweza uka master moja ukawa profitable au lazima uwe master wa Nyingi? Na unatumia ipi zaidi kufanya analyisis yako? Na exit zako unapangaje?
Strategies differ mkuu.
Huwezi tegemea strategy moja kwasababu kuna wakati hiyo strategy won't work to some chart patterns.
I suggest you should equip yourself with various strategies and tools to master the market.
Be versatile.
 
Thanks nimekupata
 
My story so far!

Nilikua offline kama siku mbili tatu nikiwa naugulia maumivu[emoji23]!

Awali ya yote, kwangu hili ni somo naimani kwako pia litakuboresha in a positive way (sio tu katika forex bali na maisha kwa ujumla)!

Juzi kama part ya mafunzo nikaamua kufungua real account!

Yaliyonikuta!

Kwanza nilifungua acc. Kwa xm brokers. Hawa jamaa wana customer care nzuri sana!! Baada ya kufungua account nikapewa bonus ya euro 25 hivi!! Nikaona nisiweke pesa kwanza ili nizitumie hizi euro 25 kama majaribio!

Kazi ikaanza! Nikaisogeza ndani ya masaa mawili au manne niliweza make kama euro 10 au 12 hivi!!

Nikawa na open positions kama nne au tano zina run, kwa kujisahau nika click sell...ikajiuza ikiwa na loss...hapa faida ilishuka!

Huku positions nyingine zikiendelea...nika close ya kwanza (maana ilikua kwenye profit position) nikashangaa zina close zenyewe bila mimi ku comand sell au buy! Mpaka sasa sijui nilikosea wapi duuuh!!

Mpaka hapo acc. Ikawa na minus!! Yaani loss! (hapa nilihisi kichwa kinauma)

Kwa kifupi account imeungua!

Hizi ndio sababu za kupata loss...

1. Kupoteza focus. Natrade huku nafanya mambo mengine!

2. Kuopen positions nyingi

3. Kuto tumia vyema top profit HASA stop loss!

4. Kuto focus hasa baada ya kupata first loss (ambayo ilikua ni kosa langu mwenyewe) !

5. Niliruhusu hisia/emotions zinitawale (hapa sijilaumu maana sisi ni binadamu, japo nitajihidi next time isiwe kama last time)!

Somo nililojifunza...

Kweli faida ipo tena uwezekano wa kupata ni mkubwa kuliko kupata hasara kama ukiweza kuji-control na kufocuss na kuwa na maarifa hasa ya kusoma na ku-analyse candle sticks na soko siku husika!

Unaweza poteza 1mil within a second pia unaweza pata 10mil within a second!

Theory na practical ni vitu viwili vyenye sura inayofanana lakini maana tofauti! You should be good on both though!

Nimeamua ku-retreat na kurudi mezani kujifunza zaidi kulingana na makosa yangu!! Japo imeniuma ila Nitarudi tena kutrade soon as I can!

Nilianguka sasa nimeamka. Ntajitahidi nisianguke tena!

Tuendelee kujifunza...

Tuko pamoja!
 
Kibali: approval

Kitabu kilichowekwa hapa cha Art of techninal analysis ndicho ninachokizungumzia. Ni kitabu chepesi sana sana sana, yani inabidi hiki ukisome ukielewe.

Kina charts nyingi sana, zielewa vzr maana hizo charts ndizo utakutana nazo ukianza kutrade... hiko kitabu ni kitamu sana, na mm nimetoa --go ahead, kipakue then anza kukisoma pole pole. Hiko ukiwa unakisoma we mwenyewe unasikia utamu.
Ahsante mkuu ngoja tuendelee kuchimba
 
".......When it comes to money, I can’t stress enough that trading capital has to be risk capital and that you should never risk any money that you can’t afford to lose. The standard definition of risk capital is money that, if lost, will not materially affect your standard of living. It goes without saying that borrowed money is not risk capital — you should never use borrowed money for speculative trading. When you determine how much risk capital you have available for trading, you’ll have a better idea of what size account you can trade and what position size you can handle...."
 
My story so far!

Nilikua offline kama siku mbili tatu nikiwa naugulia maumivu[emoji23]!

Juzi kama part ya mafunzo nikaamua kufungua real account!

Yaliyonikuta!

Kwanza nilifungua acc. Kwa xm brokers. Hawa jamaa wana customer care nzuri sana!! Baada ya kufungua account nikapewa bonus ya euro 25 hivi!! Nikaona nisiweke pesa kwanza ili nizitumie hizi euro 25 kama majaribio!

Kazi ikaanza! Nikaisogeza ndani ya masaa mawili au manne niliweza make kama euro 10 au 12 hivi!!

Nikawa na open positions kama nne au tano zina run, kwa kujisahau nika click sell...ikajiuza ikiwa na loss...hapa faida ilishuka!

Huku positions nyingine zikiendelea...nika close ya kwanza (maana ilikua kwenye profit position) nikashangaa zina close zenyewe bila mimi ku comand sell au buy! Mpaka sasa sijui nilikosea wapi duuuh!!

Mpaka hapo acc. Ikawa na minus!! Yaani loss! (hapa nilihisi kichwa kinauma)

Kwa kifupi account imeungua!

Hizi ndio sababu za kupata loss...

1. Kupoteza focus. Natrade huku nafanya mambo mengine!

2. Kuopen positions nyingi

3. Kuto tumia vyema top profit HASA stop loss!

4. Kuto focus hasa baada ya kupata first loss (ambayo ilikua ni kosa langu mwenyewe) !

Somo nililojifunza...

Kweli faida ipo tena uwezekano wa kupata ni mkubwa kuliko kupata hasara kama ukiweza kuji-control na kufocuss na kuwa na maarifa hasa ya kusoma na ku-analyse candle sticks na soko siku husika!

Theory na practical ni vitu viwili vyenye sura inayofanana lakini maana tofauti! You should be good on both though!

Nimeamua ku-retreat na kurudi mezani kujifunza zaidi kulingana na makosa yangu!! Japo imeniuma ila Nitarudi tena kutrade soon as I can!

Tuendelee kujifunza...

Tuko pamoja!
Hongera mkuu hiyo ni hatua moja kubwa na muhimu sana!!
 
KIUKWELI HATUJAZOEA KUSOMA VITABU,NILISAFIRI NJE YA NCHI JIRANI TU HAPA KENYA NIKAKUTANA NA VITABU VIMETANDAZWA CHINI VINAUZWA KAMA MNADA WATU WENGI WALIKUWA WANAVICHAGUA MIMI NILIPITA KUSHOTO ILA KWENYE HUU UZI WA ONTARIO UMENIFANYA HADI NIMENDA MAKTABA KUTAFUTA VITABU DUH,WACHANGIAJI WA HUU UZI NI CHACHU YA KUWAFANYA WATU WENGINE WASOME,MIMI HAPA NIMEPRINT KABISA KWENYE HARD COPY NATEMBEA NAYO PEMBENI NIMESHIKA GAZETI NIKIENDA HOTELINI NINACHO,POMBE NIMEIPELEKA LIKIZO IKIRUDI INANIKUTA NIMEBADILIKA NA HAITANIKUTA MAANA NITAKUWA NIMESHAHAMA
Dah mtu wa Baba songa mbele
 
f4da48f280ec79dd6a0bb528c70ef2af.jpg

mpaka hapa naona dalili za asara.. Ila sijui niwe mvumilivu..
5e61d74acdbac2a60557fecdcdf9cd91.jpg

Na hii ndio faida niliopa nakiwa naendelea kucheza na demo..
 
Keep on trying my friend! Unaijitahidi! Jaribu ku improve from there! Monitor your lot sizes, jitahidi kusoma graphs hasa candle sticks... Weka lot size kubwa kama tu una uhakika otherwise kama soko likienda hovyo usiclose market position either kwa kuuza au kununua mpaka hasara iwe ndogo au upate faida!

Jifunze pia kutumia stop loss option!!
 
My story so far!

Nilikua offline kama siku mbili tatu nikiwa naugulia maumivu[emoji23]!

Awali ya yote, kwangu hili ni somo naimani kwako pia litakuboresha in a positive way (sio tu katika forex bali na maisha kwa ujumla)!

Juzi kama part ya mafunzo nikaamua kufungua real account!

Yaliyonikuta!

Kwanza nilifungua acc. Kwa xm brokers. Hawa jamaa wana customer care nzuri sana!! Baada ya kufungua account nikapewa bonus ya euro 25 hivi!! Nikaona nisiweke pesa kwanza ili nizitumie hizi euro 25 kama majaribio!

Kazi ikaanza! Nikaisogeza ndani ya masaa mawili au manne niliweza make kama euro 10 au 12 hivi!!

Nikawa na open positions kama nne au tano zina run, kwa kujisahau nika click sell...ikajiuza ikiwa na loss...hapa faida ilishuka!

Huku positions nyingine zikiendelea...nika close ya kwanza (maana ilikua kwenye profit position) nikashangaa zina close zenyewe bila mimi ku comand sell au buy! Mpaka sasa sijui nilikosea wapi duuuh!!

Mpaka hapo acc. Ikawa na minus!! Yaani loss! (hapa nilihisi kichwa kinauma)

Kwa kifupi account imeungua!

Hizi ndio sababu za kupata loss...

1. Kupoteza focus. Natrade huku nafanya mambo mengine!

2. Kuopen positions nyingi

3. Kuto tumia vyema top profit HASA stop loss!

4. Kuto focus hasa baada ya kupata first loss (ambayo ilikua ni kosa langu mwenyewe) !

5. Niliruhusu hisia/emotions zinitawale (hapa sijilaumu maana sisi ni binadamu, japo nitajihidi next time isiwe kama last time)!

Somo nililojifunza...

Kweli faida ipo tena uwezekano wa kupata ni mkubwa kuliko kupata hasara kama ukiweza kuji-control na kufocuss na kuwa na maarifa hasa ya kusoma na ku-analyse candle sticks na soko siku husika!

Unaweza poteza 1mil within a second pia unaweza pata 10mil within a second!

Theory na practical ni vitu viwili vyenye sura inayofanana lakini maana tofauti! You should be good on both though!

Nimeamua ku-retreat na kurudi mezani kujifunza zaidi kulingana na makosa yangu!! Japo imeniuma ila Nitarudi tena kutrade soon as I can!

Nilianguka sasa nimeamka. Ntajitahidi nisianguke tena!

Tuendelee kujifunza...

Tuko pamoja!
Hongera sana kaka. One step ahead ( kwa kuunguza akaunti). Katika kufuatilia real stories za succesful traders nimegundua demo account is not anywhere near trading with a live account. Kwa maana nyingine experience ya Live account ni priceless.

Kwa hilo suala la positions ku-close automatically nadhani margin level yako ilikua chini sana kwa sababu ulifungua positions nyingi na zote zikawa kwenye loss. So unaona hapo kama unatumia demo account yenye dola laki tano huwezi kukuta margin level yako iko negative
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom