Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kipindi mkuu ontario kaweka huu uzi hapa jukwaani... Nakumbuka nilikuwa kati ya watu 100 au 200 wa kwanza kuomba nafasi ya training.. Lakin kuna watu walinibeza sana kisa niliandika nina miaka 26 lakin bado niko nyumban kwa wazaz nagombania remote na wadogo zangu lakin sikujali kejeli zao nilikazana kusoma vitabu alivoshauri mkuu ontario.. Na haya ndio matunda yake
 
Punguza balance... mpk $50 then ipandishe mdogo mdogo...
 
Punguza balance... mpk $50 then ipandishe mdogo mdogo...
Mapendekezo yako ni sahihi ila ni vyema tukampa pongezi kwa kujitahidi !!
 
The first best book I recommend is this thread, soma yote kuanzia mwanzo mpaka mwisho usiruke hata comment moja then ukimaliza njoo uulize kitabu gani kingine cha kusoma if it will still be a valid question to ask
Katika majibu yote yaliyotolewa humu kwa wakurupukaji nimelipenda hili watu wanauliza maswali ya kivivu hadi wanaboa
 
Naomba uniunganishe kwenye hii WhatsApp group no yangu 0621003284
 
Mmh kazi ipo
 
Hii ni live au demo?
 
Tunakutafuta huko huko ulipo, ila unaweza ukatumia dropbox au google drive kuupakia hapa hapa ama private goole drive na dropbox email yangu ni nzaojr@gmail.com
 
Hebu share hzo link za magrup tena hapa mkuu watu wapate knowledge zaidi
 
Hi there,I'm back again. Natumai wote tunakwenda safi kabisa na tunazidi kuongeza knowledge. Speed yangu ilikuwa kali mno nikajikuta naishi unhealthy & stressful life ukizingatia kuwa natumia soft copy kitu ambacho si salama kwa macho ya mtumiaji. Tuwe makini Dear TRADERS, afya ni muhimu pia. Una study bila ku athiri/kuathiri kwa kiwango kidogo shughuli zako za kila siku. UKiweza kuprint uwe na hard copy inaweza kukusaidia kama unatumia muda mwingi kusoma,hasa usiku. All the best
 
hapo nakubaliana na ww, utumiaji wa softcopy kwa mda mrefu hasa usiku sio mzuri kwa afya ya macho yako...
 
Maui nimejitahidi kuielrwa hiya app inanisumbua kusoma graft zake, Narnia app us go forex, VP waweza nielewesha angalau Kosovo Kama hautajali
 
Salama wakuu wote wapendwa wa uzi huu(Forex),napenda kujua haswa haswa ni lini training inaanza,kwa kuwa leo ni 22,june na mkuu chief Ontario alitu promise kuwa mpaka 15th june atakuwa yuko tayari kwa kuanza darasa kwa watu 150 as offer,ninauliza hivyo kwa kuwa tunausongo sana na forex wadau
 

Contents:
1) Learning Centre – (11 Modules – 150 Videos)
2) Daily Recaps – (Daily Trades Videos/PDFs Dec 2012 – Dec 2013)
3) MT4 Expert Advisor – (12 Instructural Videos, 1 PDF Manual and 3 EAs + Template)
4) Additional Resources – (macd-histo.ex4, 1 XLS and 4 PDFs)

We’ve all heard the famous trading mantra – “The Trend is Your Friend”. But it is often impractical for traders to be manually scanning a long list of currency pairs to find tradable candidates. Traders need a systematic tool they can use to quickly locate trending pairs. Over the last two years, our senior mentor Frank Paul has vigorously tested and analyzed thousands of different scenarios (timeframes, analyses, and indicator combinations) to perfect a trading methodology which pairs the insight of Market Flow analysis with the convenience of a responsive multi-timeframe momentum indicator, yielding a trading system that is simple, effective and robust.

About Frank Paul:

Frank Paul is one of the longest standing and most popular trainers at Forexmentor.com. He joined the Forexmentor Team in 2007, and has assisted thousands of Forex traders with his educational resources and services. They include FX SystemsLab Monthly, Fibonacci Swing Trader, Fast Track to Forex, Forex Profits with MACD, Forex Profits with COT and Forex Master Blueprint.

He has also contributed on a regular weekly basis to the Forexmentor Daily AM Review since April, 2010. Frank has also presented live webinars and trading seminars. Frank’s style is thorough and detailed, yet conversational and relaxed. We’re sure that you will find his easy-to-follow style a real benefit to your trading education.

When not busy helping other traders develop their skills in tackling the global Forex market, Frank enjoys spending time with his family, mountain biking, alpine and cross-country skiing, playing classical piano, and listening to tons of great music.

Frank obtained both his MBA and BA degrees from the University of British Columbia, Canada.

DOWNLOAD
Download FXM Trend Trader – ForexMentor by Frank Paul – Forex Guru
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…