Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kaka Umekianza Tayari, hata Naked trader kinasisitiza kutorely sana kwenye indicators

strategies kama Wommies na Moalahs, Big Shadow, Kandaroo tails zimekaa mkao mmoja hatari namalizia Naked kisha naanza kupractice sasa alafu natembea na AstroFX kisha the bibble mpaka Auust nitakua nimekaa sehemu moja amazing ya hata zaidi ya $100 kwa siku consistency
 
Ni Jibu lakn limekaa kikatill
Mkuu, sio kila kitu yafaa kubembeleza, kapewa maelezo, kuna gharama gani kuyafuata? ... apitie asome taratibu... naona hapo kajibu hakuna post iliyosema hvyo... kwa akil zake yeye.... yaaan comments zote hz, hakuna mtu alie uliza swali alilo uliza yeye
 
Please link ya soft copy kitabu natafuta sijaipata
Halaf naomba uni add ontorio 0768484302
 
KIUKWELI HATUJAZOEA KUSOMA VITABU,NILISAFIRI NJE YA NCHI JIRANI TU HAPA KENYA NIKAKUTANA NA VITABU VIMETANDAZWA CHINI VINAUZWA KAMA MNADA WATU WENGI WALIKUWA WANAVICHAGUA MIMI NILIPITA KUSHOTO ILA KWENYE HUU UZI WA ONTARIO UMENIFANYA HADI NIMENDA MAKTABA KUTAFUTA VITABU DUH,WACHANGIAJI WA HUU UZI NI CHACHU YA KUWAFANYA WATU WENGINE WASOME,MIMI HAPA NIMEPRINT KABISA KWENYE HARD COPY NATEMBEA NAYO PEMBENI NIMESHIKA GAZETI NIKIENDA HOTELINI NINACHO,POMBE NIMEIPELEKA LIKIZO IKIRUDI INANIKUTA NIMEBADILIKA NA HAITANIKUTA MAANA NITAKUWA NIMESHAHAMA
Natamani kuacha pombe lakini nimeshindwa.... tafadhali ushauri hapa unahusika....
 
Mkuu, sio kila kitu yafaa kubembeleza, kapewa maelezo, kuna gharama gani kuyafuata? ... apitie asome taratibu... naona hapo kajibu hakuna post iliyosema hvyo... kwa akil zake yeye.... yaaan comments zote hz, hakuna mtu alie uliza swali alilo uliza yeye
Shukran sana mkuu umenisaidia kuwajibu kirahisi....ila jibu kamili ni jamaa ni mvivu hajasoma comments angesoma asingeuliza swal kama hlo...ndio maana nikamwambia arudie kila neno ajue wap pa kufanyia na hatauliza tena
 
Kaka Umekianza Tayari, hata Naked trader kinasisitiza kutorely sana kwenye indicators

strategies kama Wommies na Moalahs, Big Shadow, Kandaroo tails zimekaa mkao mmoja hatari namalizia Naked kisha naanza kupractice sasa alafu natembea na AstroFX kisha the bibble mpaka Auust nitakua nimekaa sehemu moja amazing ya hata zaidi ya $100 kwa siku consistency
Kwakua umeanza na hivyo vingine, ukija kwenye bible utateleza.
 
Mbona Uzi umepoaa kama uji wa muhogo.... au mambo tight km mimi....?? Au watu wanapiga live ACCOUNT .. kushusha pips daily....
 
Nimekupa kiongozi kwa kutupatia maujanja ya maendeleo sio masiasa kila wakati pasipo kupata chakula,na mimi ni add kwenye hao mia tatu ili tuone tunafanyaje
 
Mbona Uzi umepoaa kama uji wa muhogo.... au mambo tight km mimi....?? Au watu wanapiga live ACCOUNT .. kushusha pips daily....
Kweli aisee
Uzi haukimbii tenaa...
Binafsi nemekwama kwenye trend line. Nlimuomba msaada mkuu BAVARIA naona kimyaa sijui ndo kanipotezea au majukumu yana mbanaa..
Bado nasubiri
 
Eti ndugu yangu darasa linaanza lini? Maana nilikua offline kwa muda kidogo n nmekuta uzi uko mbal sana, japo mwanzo kabsa nilishaomba nafasi
 
upload_2017-6-21_12-57-4.png

kuna mzigo wa video tutorials, recorded webinars pamoja na E-books kuhusu FOREX kama GB 32 ambazo zimenisaidia sana kujua strategies na techniques kibao za trading. ningependa kushare mzigo wote huu kwa yoyote atakayehitaji free, ishu nina upload vipi na wapi hizi GB32 ili atakayetaka aupate mzigo huu?? site nyingi nilizokua napakua mizigo hii zimepigwa chini sina link now! kama una idea usije inbox, carbon copy hapahapa wote tujadili!!
 
View attachment 528139

Cc Mwl RCT n mtaalamu wa haya mambo..
 
Mkuu ukimaliza ku-upload sehemu husika au mahali popote..naomba link mkuu
 
Habari wadau nilikuwa nifikatilia Uzi huu kwamuda mrefu ila nichotaka kujua how start dreding ni app ipi inafaa kufanyia dreding
Define the following terms as applied in forex.
1. Pip
2. Pipette
3. Point
4. Bull
6. Trendline
7. Bear
8. Cross currency
9. Pair of currency
10. Long and short

Ukiweza kuyajibu bila kugoogle basi tafuta app inaitwa mt4 au mt5 anza na demo! Kama umeshindwa kujibu walau terms 9 basi kaa mezani anza kusoma basics of forex!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom