Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu Ontario shukrani sana kwa elimu hii.
Pia nitoe shukrani kwa Mkuu Bavaria katika kutuongezea ujuzi juu ya jambo hili.

Binafsi ningependa kutoa my progress juu ya kitu hii, kwa lengo la kusahihishwa ikiwa ninakosea na kuelekezwa namna ya kufanya vyema zaidi.

Nilifungua demo account na EXNESS broker na ku-set deposit ya $50, niliunguza pesa yote mwanzoni. But I got a lesson.
Kisha nikafungua account nyingine JANA JIONI figure ikiwa the same, nikachagua leverage ya 1:2000, nifanyacho;
  • Nafanya scalping
  • Na-trade during the European session
  • Na-trade pairs tatu tu; ambazo ni EURUSD, USDJPY na GBPUSD
  • Natumia 5M as a time frame
  • Natumia Bollinger bands (katika uingiaji), na kimsingi hii indicator haijanisaliti bado (Nimeanza na $50, mpaka sasa niko na $83.24 na sijapoteza hata trade moja)
  • Natumia size ya 0.33
  • Najizuia sana ku-trade kama soko halisomeki
Naomba nisikie kutoka kwako Ontario, Bavaria and the likes, kama nifanyacho ni sahihi kwa UHAI WANGU katika hii FOREX.

Thanks
 
Kwenye kufuatilia haya mambo ya trade nimeona kuwa forex trading ni ngumu ukikompare to IQ Option.
IQ Option in platfrom broker for Binary Trdaing kama ilivyo Meta Trader,XM Traders for Forex Trading.
IQ Option is a Binary Trade broker.
 
THE FOREX BIBLE

Kitabu kizuri sana kinachofundisha Forex hatua kwa hatua.

Ongezeni hiki kitabu kwenye hifadhi yenu ya vitabu vya kusoma..

Kitawasaidia wale watu wasiojua Forex Kabisa. Ila kama umeshaanza kusoma kitumie kama njia ya kuongeza maarifa zaidi..

Hope this will help..

Complex Mwl.RCT and others.
thanxxx
 
kkkkk.PNG
 
Nipo kwenye mazoezi. Wadau hivi bar vinaoneka vingine imeelekea juu na vingine chini vinamaana gan? Plz mwenye kuvielewa maelezo...
 
Attachments

  • IQOption.fw.png
    IQOption.fw.png
    146.5 KB · Views: 86
Ndugu ni vyema naomba nikueleze hakuna system duniani isiyopoteza inabidi uwe na plan iliyokuwa tested na ambayo hata ukipata loss kumi in the row unajua kuwa utarecover. So kuna kitu kinaitwa Back testing na hapa asikuambie mtu wanafanya ni wachache maana is so manual kuangalia kila pattern labda kwa miaka 3 minnne mpaka mitano nyuma na kupima kwa asilimia ngapi plan yako imefanya vizuri (how is you plan doing) Ushauri wangu ukikuta kitu kinakupa zaidi ya 76% ni plan nzuri mno . Kitu kinachowauwa beginner wengi ni emotion trading na ukweli forex is so cold. Unatakiwa kujua unafanya nini na kwa wakati gani. Ni hayo machache Ahsante

Mkuu Ontario shukrani sana kwa elimu hii.
Pia nitoe shukrani kwa Mkuu Bavaria katika kutuongezea ujuzi juu ya jambo hili.

Binafsi ningependa kutoa my progress juu ya kitu hii, kwa lengo la kusahihishwa ikiwa ninakosea na kuelekezwa namna ya kufanya vyema zaidi.

Nilifungua demo account na EXNESS broker na ku-set deposit ya $50, niliunguza pesa yote mwanzoni. But I got a lesson.
Kisha nikafungua account nyingine JANA JIONI figure ikiwa the same, nikachagua leverage ya 1:2000, nifanyacho;
  • Nafanya scalping
  • Na-trade during the European session
  • Na-trade pairs tatu tu; ambazo ni EURUSD, USDJPY na GBPUSD
  • Natumia 5M as a time frame
  • Natumia Bollinger bands (katika uingiaji), na kimsingi hii indicator haijanisaliti bado (Nimeanza na $50, mpaka sasa niko na $83.24 na sijapoteza hata trade moja)
  • Natumia size ya 0.33
  • Najizuia sana ku-trade kama soko halisomeki
Naomba nisikie kutoka kwako Ontario, Bavaria and the likes, kama nifanyacho ni sahihi kwa UHAI WANGU katika hii FOREX.

Thanks
 
Habari wadau nilikuwa nifikatilia Uzi huu kwamuda mrefu ila nichotaka kujua how start dreding ni app ipi inafaa kufanyia dreding
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom