Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IQ Option in platfrom broker for Binary Trdaing kama ilivyo Meta Trader,XM Traders for Forex Trading.Kwenye kufuatilia haya mambo ya trade nimeona kuwa forex trading ni ngumu ukikompare to IQ Option.
thanxxxTHE FOREX BIBLE
Kitabu kizuri sana kinachofundisha Forex hatua kwa hatua.
Ongezeni hiki kitabu kwenye hifadhi yenu ya vitabu vya kusoma..
Kitawasaidia wale watu wasiojua Forex Kabisa. Ila kama umeshaanza kusoma kitumie kama njia ya kuongeza maarifa zaidi..
Hope this will help..
Complex Mwl.RCT and others.
Mkuu hebu rudi nyuma soma post zote utaona wapi darasa linafanyika na muda gani na pia unajiunga vipi....jitahd usiwe mviv wa kuzisoma zote alaf tatizo lako litakua solvednami niwemo kat ya hao mia 3 mkuu ontario
Mkuu Ontario shukrani sana kwa elimu hii.
Pia nitoe shukrani kwa Mkuu Bavaria katika kutuongezea ujuzi juu ya jambo hili.
Binafsi ningependa kutoa my progress juu ya kitu hii, kwa lengo la kusahihishwa ikiwa ninakosea na kuelekezwa namna ya kufanya vyema zaidi.
Nilifungua demo account na EXNESS broker na ku-set deposit ya $50, niliunguza pesa yote mwanzoni. But I got a lesson.
Kisha nikafungua account nyingine JANA JIONI figure ikiwa the same, nikachagua leverage ya 1:2000, nifanyacho;
Naomba nisikie kutoka kwako Ontario, Bavaria and the likes, kama nifanyacho ni sahihi kwa UHAI WANGU katika hii FOREX.
- Nafanya scalping
- Na-trade during the European session
- Na-trade pairs tatu tu; ambazo ni EURUSD, USDJPY na GBPUSD
- Natumia 5M as a time frame
- Natumia Bollinger bands (katika uingiaji), na kimsingi hii indicator haijanisaliti bado (Nimeanza na $50, mpaka sasa niko na $83.24 na sijapoteza hata trade moja)
- Natumia size ya 0.33
- Najizuia sana ku-trade kama soko halisomeki
Thanks
am in boss...not too late for me ku-subscribe
Boss hii mbona ni binary siyo forexNipo kwenye mazoezi. Wadau hivi bar vinaoneka vingine imeelekea juu na vingine chini vinamaana gan? Plz mwenye kuvielewa maelezo...
mmmmh, mkuu post namba ngapi imeeleza izo zoteMkuu hebu rudi nyuma soma post zote utaona wapi darasa linafanyika na muda gani na pia unajiunga vipi....jitahd usiwe mviv wa kuzisoma zote alaf tatizo lako litakua solved
Unajua maana ya Zote??mmmmh, mkuu post namba ngapi imeeleza izo zote