Manirabona
Member
- Jun 5, 2017
- 63
- 73
Morning wakuuu update tafadhariii pale panapo stahiliii kazin njema kwenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakuuliza hivi maana naona unampotosha mwenzio, hakuna post imeshasema kitu cha aina hiyo.Unajua maana ya Zote??
Ni Jibu lakn limekaa kikatillUnajua maana ya Zote??
Kaka Umekianza Tayari, hata Naked trader kinasisitiza kutorely sana kwenye indicators
Haya, hakunanakuuliza hivi maana naona unampotosha mwenzio, hakuna post imeshasema kitu cha aina hiyo.
Mkuu, sio kila kitu yafaa kubembeleza, kapewa maelezo, kuna gharama gani kuyafuata? ... apitie asome taratibu... naona hapo kajibu hakuna post iliyosema hvyo... kwa akil zake yeye.... yaaan comments zote hz, hakuna mtu alie uliza swali alilo uliza yeyeNi Jibu lakn limekaa kikatill
Natamani kuacha pombe lakini nimeshindwa.... tafadhali ushauri hapa unahusika....KIUKWELI HATUJAZOEA KUSOMA VITABU,NILISAFIRI NJE YA NCHI JIRANI TU HAPA KENYA NIKAKUTANA NA VITABU VIMETANDAZWA CHINI VINAUZWA KAMA MNADA WATU WENGI WALIKUWA WANAVICHAGUA MIMI NILIPITA KUSHOTO ILA KWENYE HUU UZI WA ONTARIO UMENIFANYA HADI NIMENDA MAKTABA KUTAFUTA VITABU DUH,WACHANGIAJI WA HUU UZI NI CHACHU YA KUWAFANYA WATU WENGINE WASOME,MIMI HAPA NIMEPRINT KABISA KWENYE HARD COPY NATEMBEA NAYO PEMBENI NIMESHIKA GAZETI NIKIENDA HOTELINI NINACHO,POMBE NIMEIPELEKA LIKIZO IKIRUDI INANIKUTA NIMEBADILIKA NA HAITANIKUTA MAANA NITAKUWA NIMESHAHAMA
Shukran sana mkuu umenisaidia kuwajibu kirahisi....ila jibu kamili ni jamaa ni mvivu hajasoma comments angesoma asingeuliza swal kama hlo...ndio maana nikamwambia arudie kila neno ajue wap pa kufanyia na hatauliza tenaMkuu, sio kila kitu yafaa kubembeleza, kapewa maelezo, kuna gharama gani kuyafuata? ... apitie asome taratibu... naona hapo kajibu hakuna post iliyosema hvyo... kwa akil zake yeye.... yaaan comments zote hz, hakuna mtu alie uliza swali alilo uliza yeye
Kwakua umeanza na hivyo vingine, ukija kwenye bible utateleza.Kaka Umekianza Tayari, hata Naked trader kinasisitiza kutorely sana kwenye indicators
strategies kama Wommies na Moalahs, Big Shadow, Kandaroo tails zimekaa mkao mmoja hatari namalizia Naked kisha naanza kupractice sasa alafu natembea na AstroFX kisha the bibble mpaka Auust nitakua nimekaa sehemu moja amazing ya hata zaidi ya $100 kwa siku consistency
Kweli aiseeMbona Uzi umepoaa kama uji wa muhogo.... au mambo tight km mimi....?? Au watu wanapiga live ACCOUNT .. kushusha pips daily....
Eti ndugu yangu darasa linaanza lini? Maana nilikua offline kwa muda kidogo n nmekuta uzi uko mbal sana, japo mwanzo kabsa nilishaomba nafasiKweli aisee
Uzi haukimbii tenaa...
Binafsi nemekwama kwenye trend line. Nlimuomba msaada mkuu BAVARIA naona kimyaa sijui ndo kanipotezea au majukumu yana mbanaa..
Bado nasubiri
Cc Mwl RCT n mtaalamu wa haya mambo..View attachment 528139
kuna mzigo wa video tutorials, recorded webinars pamoja na E-books kuhusu FOREX kama GB 32 ambazo zimenisaidia sana kujua strategies na techniques kibao za trading. ningependa kushare mzigo wote huu kwa yoyote atakayehitaji free, ishu nina upload vipi na wapi hizi GB32 ili atakayetaka aupate mzigo huu?? site nyingi nilizokua napakua mizigo hii zimepigwa chini sina link now! kama una idea usije inbox, carbon copy hapahapa wote tujadili!!
Mkuu ukimaliza ku-upload sehemu husika au mahali popote..naomba link mkuuView attachment 528139
kuna mzigo wa video tutorials, recorded webinars pamoja na E-books kuhusu FOREX kama GB 32 ambazo zimenisaidia sana kujua strategies na techniques kibao za trading. ningependa kushare mzigo wote huu kwa yoyote atakayehitaji free, ishu nina upload vipi na wapi hizi GB32 ili atakayetaka aupate mzigo huu?? site nyingi nilizokua napakua mizigo hii zimepigwa chini sina link now! kama una idea usije inbox, carbon copy hapahapa wote tujadili!!
Define the following terms as applied in forex.Habari wadau nilikuwa nifikatilia Uzi huu kwamuda mrefu ila nichotaka kujua how start dreding ni app ipi inafaa kufanyia dreding