Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
mimi nimekuelewa vizuri. YOU HAVE BEEN WARNED

Ahaha kweli kuna jamaa yangu ye alikua mtaalam wa kusoma hatua...kabla hajaingia ndani anajua kama kuna mgeni au nani karudi.

Well cha msingi hapa ni usipinge lile unaloliamini baada ya kufanya analysis na ku plan. All traders walitoka mbali na kuwa wataalam so tulia tunga plan yako.

NB. The only ishu ya kutokwenda against nayo ni trend. Trend is your friend.

Mfano kama trend inaonesha inapanda na kushuka then thats it or inapanda tu thats it ukijifanya umesoma sana kujua kwingi mzee una asilimia nyingi za kuchemsha.
 
Mimi kila nikimaliza kitabu kimoja najiona bado sijaelewa ndo nazidi kutamani kukamata kitabu kingne kiufupi hii mambo haihitaji kuipaparukia hongera sana kwa wale ambao wameanza na demo ila ninaimani bado wanahitaji kusoma zaidi kuliko kufurahi kwa kuona balance ya profit walizotengeneza kwenye demo.
Mimi binafsi nimejipa miezi sita nisome vizuri ili nijue a,b,c ya hii mambo, kitabu kwa kitabu na kupitia youtube kidogo naimani nitakuwa vyema zaidi all in all nitaendelea kumpigia salute mkuu, the boss ONTARIO kwa kunifanya ning'amue haya mambo japo bado nahitaji support yake kubwa zaidi ili nitimize ndoto zangu za kuwa professional investor.
Natamani sana nifikie hatua aliyopo sandile shezi akina MLU n.k lakini inahitaji umakini wa hali ya juu nafahamu kabisa hii kitu haihitaji kukurupuka unaweza ukalala tajiri ukaamuka fukara wa kutupwa....

By the way tunahitaji muda mwingi sana wa kujisomea na kupractice ili tukiingia sokoni tuwe na uelewa wa kutosha zaidi.
Much respect kwa wale wanaoleta mirejesho ili tushee idea akina Bavaria punje haradari Mpiga Nyoka jinimtu na wengine wengi sitoweza kuwataja lengo kila mmoja wetu apate mwanga acha mimi niingie chimbo nitakuwa nachungulia tu kuona mirejesho inayoletwa nalinganisha nami wapi nimefikia tuombeane uzima tu..
 
Hope this will help.






Don't be lazy, watch all of them.

Mkuu shukurani sana,

Tatizo suala la uvivu sinaga kabisa.

Namalizia catalyst kisha nireverse kidogo pamoja na demo na knowladge niliyopata japo market zinafungwa nyingi leo. Next week niaze Astro fx.

Be blessed
 
Guys this is all I can say - This has been my worst week ever in the past 2 decades, as far as napumua na nimeweza kutype hapa JF basi ni kheri kumshukuru Mungu for another chance in life see you soon bosses.
Pole sana boss....Mungu akufanyie wepesi, ikawe kheri kwako brother.
 
TODAY i will go to FNB BANK then i will drop to the building located by MR. For now we beg him to create a grup of whatsap so get us closer than how we are ryt now. 0783171750
Hamna cha WhatsApp alisema kila kitu hapa..
Whatsapp usumbufu wa notification [emoji35] [emoji35]
 
Nyota ,ila ngoja nijipe muda
 
S/L T/P zilinisumbua sana ila Leo ndio nimeweza kweli mazoezi yanaitajika kwa wingi..
Mkuu pole sana kwa yaliyo kupata
 
Kuna wajinga wajinga wanavibiashara vyao mjini,walikua wanaleta dharau.sasa ngoja na mimi nipige pesa kwenye forex hili ndio shamba langu.dadeki.Ngoja nipige practise za haja
 
Pongezi sana Mkuu. Nmekuwa nikihangaika sna kutafuta hii elimu. Naomba kujua darasa linaanza lini tafadhali?
Mkuu unaudhi sana unaquote uzi wote ili iweje acha nikutusi kimy kimy tu
 
Oooh again iam back, hapa ndo nimemalizia kusoma coments za huu uzi saa hii, baada ya kuona huu uzi nililazimika kukimblia shambani nikaweke miundombinu katika hali ya usalama ili ni deal na hii kitu perpendicular and am officially back

Kwanza niwapongeze sana ambao mmeshapiga hatua nyingi mbele kwenye hii kitu inatia hamasa sana pia shukrani nyingi kwako mkuu Bavaria maana kila swali nililokutana nalo nimekutana na majibu yako ubarikiwe sana mkuu

lastly naomba msaada wa utaratibu wa ku join library ya taifa kwa mwenye ufahamu ili niwe nashinda huko sasa kuyasaka maarifa lakini pia kama kuna mtu anajua library nyingine ambayo ni ipo sehemu tulivu kabisa hapa mjini anistue, Asanteni sana wawekezaji wenzangu
 
Hope this will help.






Don't be lazy, watch all of them.

Aisee hiyo video ya kwanza jamaa kamwaga booonge la pindi. Tena kwa live trade alikuwa anarekodi hilo indi. Bahati mbaya wakati naendelea kufurahia pindi Dakika ya 33 audio ikakatika. Ila so far, nimeongeza kitu kichwani.


Ngoja nianze kuangalia second video. Nimesubscribe kabisa na hiyo channel ya urbanfx.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…