Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Waoh. Fantastic

Nimefurahi sana kwa hatua hii. Big up ONTARIO boss. That's very big progress.
I hope to see you and my lovely traders in Dar sometime down the line if I will be amongst

Big up [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Salute to you Boss,

It was always going to be hard, but you kept on the fight, not just for you but for us all.

Thank you for that!!

Punje
 
So mr.Ontario. .ni jinsi gani mtu aweza jiunga kwa darasa lako..na ni wapi..afu ni lini..wish..nikawa among the first 100
 
Goodluck mtu wa nguvu Ontario. I have been equiping myself with knowledge since day one, finally here we come. Wont let you down in this.

Thanks
 
pamoja sana mkuu mapambano yanaendelea. kila la kheri
 
Ni mara ya kwanza kuuona uzi huu, ningependa kuwa pamoja na watu 150(naamini watakua wamejaa tayari) ili niweze kujifunza zaidi baada ya kujifunza mwenyewe ikiwa ni mwezi wa pili sasa, kwa lengo la kupanua mawazo, uwezo na pia kukutana na watu wenye passion ya forex trading, nikipata nafasi (nikawa mtu wa 151 katika wale watu) nitashukuru sana... Natanguliza shukrani, na uendelee na moyo huohuo!

From a 21yo boy with a passion in forex trading
 
Hawa wakina Ontario wanataka u broker ili watengeneze pesa kama false prophet Bushiri! Wewe waache wakasomeshe bure alafu hiyo bure itawatokea puani.
 
Hawa wakina Ontario wanataka u broker ili watengeneze pesa kama false prophet Bushiri! Wewe waache wakasomeshe bure alafu hiyo bure itawatokea puani.
Salam Mkuu.
Ni hivi its very and very simple decesion, kama wewe umeona hivyo na umeona ni hasara funga mdomo wako na macho yako unapoiona hii thread na utulize akili yako usitukaribie kabisa. Nimetumia busara iliyopitiliza kukujibu tu.
 
Mjomba wacha njaa kali, kafanye kazi site utapata pesa ya halali, wachana na shortcuts.
 
Salam Mkuu.
Ni hivi its very and very simple decesion, kama wewe umeona hivyo na umeona ni hasara funga mdomo wako na macho yako unapoiona hii thread na utulize akili yako usitukaribie kabisa. Nimetumia busara iliyopitiliza kukujibu tu.
Busara gani unataka shortcuts? Zitakuuwa hizo! Uishiye kifo cha mende! Hahaha!
 
Huyu broker umemtumia toka lini?

Reliability yake ipoje?
Hapo sasa! Kwahiyo broker anaweza hasiwe reliable? Na kwani muda wa kumtumia broker una matter?

Wewe nimekugundua ni kundi moja na Ontario ili kuibia watu... kazi yako kupiga chapuo pembeni kama vile humjui Ontario, kumbe wamoja! Janja ya nyani mimi kesha gundua bana!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nakuombea na kukutakia mafanikio ili ndoto hii njema itimie. Binafsi nakuhakikishia ushirikiano ukianza kuja mikoani. Wewe ni hazina ya taifa na nyota ya matumaini. Stay blessed.
 
Kiukweli kamwanga nimekapata ila nimejisajili kwenye forex.com na wamenipa dau kuwa la dollar 50,000 ila kiwango cha chini unachoweza kuzungusha ni dollar 1000,mwenye kujua forex yenye dau dogo la hata dollar 200 atupie hapa
FXCC NI Dolar mia....just google top ten brokers utaletewa waliozuri kulinga na feedback za watu....pia msome huyo broker uelewe sheria zake
 
Hawa wakina Ontario wanataka u broker ili watengeneze pesa kama false prophet Bushiri! Wewe waache wakasomeshe bure alafu hiyo bure itawatokea puani.
mkuu hapo mi sioni cha ajab, koz kwa wenzutu forex n fursa kubwa sana so wanaitumia kutengeneza faida kwa tutoria au kuanzisha mavyuo, so ontario nae anatumia fursa hiyo cha ajab n kwamba wabongo hatupendi kuona hata ndugu wa karib akifanikia xo n aina tuu ya wivu cshangai. dunia ya sasa n kucheza na fursa tuu kila ikija unaitumia effectively,
huyu ontario hataishia hapo nadhan lengo lake kubwa n kuanzisha chuo chaforex that is why unaona anajarib kutengeneza foundation taratibu. sasa kama ww umezoea kupiga pang'ang'a utaendelea ivoivo huku mwenzio akitengeneza pesa.
all in all tusipende kla cku tuu kukatishana tamaa, ukiwa na mazoea ya ivo utakua unajifunga hata we mwenyewe
 
Mkuu, much respect to you, hope you gonna make it.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…