Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hawa wakina Ontario wanataka u broker ili watengeneze pesa kama false prophet Bushiri! Wewe waache wakasomeshe bure alafu hiyo bure itawatokea puani.
Mwezi mtukufu huu bdo unatumia viroba??....badilika mkuu
 
Most of member here are grownup sidhani kama kuna mtu anaibiwa and kwan mtanzania mwenzetu akiwa broker na akapata hela kuna tatizo gani?huoni km on bigger picture atakuwa amekomboa vijana wengi sana on process?
 
Swali zuri sana mkuu!

Hapo wengi utakuta wanasema kabisa, na pia wanakuandikia hadi shirika lililo wa "regulate" au linalo waregulate!!

Pia kama ukiona wamelitaja hilo shirika, nenda kwenye web ya hilo shirika uhakikishe kama kweli wapo!!
Asante sana!
 
Hawa wakina Ontario wanataka u broker ili watengeneze pesa kama false prophet Bushiri! Wewe waache wakasomeshe bure alafu hiyo bure itawatokea puani.
So walioanzisha forex trade walitaka kumnufaisha Ontario?wanaofundisha Forex kwenye international finance wanataka kumnufaisha Ontario?je hakuna watu duniani na hata Tanzania wanaofanya forex trade,pitia vitabu vya forex,ielewe,kama hujaridhika nayo usiifanye kuliko kumtuhumu mtu kwa usicho na uhakika nacho.
 
Mkuu ONTARIO najua utafanikiwa kwa kila jambo ulilolipanga. Najua tutakutana mwanza next year ukija kufungua branch!!
 
Alipoianza safari walimtia moyo, alipoenesha mafanikio wakainua vikwazo, syo wote wafurahiao mafanikio yako, wewe songa mbele mkuu ontario. Hii jamii ya kiafrika tunahitaji maombi sana, watu wengine unaweza ukahisi hata n wachawi, wako tayari kushabikia kitu ambacho amefanya mzungu lakini kitu hichohicho akifanya Mtanzania mwenzetu wanasema n utapeli. Kama umeona atafaidi sana anza na wewe ili upige pesa.
 
Library ya taif ni Uwe na elfu 10 ada kwa mwaka unakua mwanachama unaweza kuingia muda wowote ilash 1000 kama sio mwanachama unavyoenda unaambatanisha na passport size moja
 
Library ya taif ni Uwe na elfu 10 ada kwa mwaka unakua mwanachama unaweza kuingia muda wowote ilash 1000 kama sio mwanachama unavyoenda unaambatanisha na passport size moja
Shukrani sana mkuu jumatatu mapema na asubuhi nitakuwa humo
 
Pamoja sana kamanda.. Mungu azidi kukutangulia katika kila hatua na siku moja dhamira yako ya dhati itatimia.. Mpakasasa tunaamini ushindi.. Ubarikiwe kiongozi.!
 
Huo wimbo by Bahati Bukuku

Msamehe bure
 
Hawa wakina Ontario wanataka u broker ili watengeneze pesa kama false prophet Bushiri! Wewe waache wakasomeshe bure alafu hiyo bure itawatokea puani.
Mkuu sipingi mawazo yako.. Coz kila mtu alipewa uwezo wake wakufikiri.. Na dio zawadi moja kubwa sana Mungu aliyotupa.. Kila mmoja kua na uwezo wakufikiriri kupapambanua mambo kwa kwakadiri awezavyo.. Hivyo bsi acha kila mtu atumie uwezo wake aliopewa na Mungu.. Akiona hili jambo linamanufaa kwake it's oke, hajaona ni sawa pia.
 
Mkuu mbona tunaibiwa Na wazungu hapa madini hata sijaona umepiga kelele humu jukwaani umemwona Ontario tu... Kingekuwa hiki kitu forex hakipo sawa kwa hyo hao broker WA nje we ndio unawaamini haaibi sio watu wangekuwa Na mawazo yako alibaba asingefika alipofika.
 
Mawazo yako uliyopewa na Mungu yanaweza kukutumbukiza kwenye shimo kuangamia. Mawazo yako hayako perfect ndiyo maana tunawapeni warning watu naive kama nyinyi mnaofikiria kuna shortcuts na easy money.
 
Guys this is all I can say - This has been my worst week ever in the past 2 decades, as far as napumua na nimeweza kutype hapa JF basi ni kheri kumshukuru Mungu for another chance in life see you soon bosses.

Mungu akutie nguvu mkuu..Psalm 23.
 
Wewe nawe member wa future broker unampigia chapuo nini? Yaani mume gang ili kuwatumbukiza watu na visenti vyao kwenye kuzimu!
Fursa nini mjombaaa! Ujanja ujanja tu wabongo, ngoja mliwe misingi yenu alafa mtanikumbuka wote humu vipofu. Eti fursa ya Forex TZ? Kuigaiga vitu msivo vijua ili kuibia watu mchana mchana!
 
My Analysis kwenye Gold expected price next week. Kwa msaada wa price action na top down analysis.

1. Nilichukua candlestick chart ya gold ya week kama inavyoonekana hapo chini.
2. Kutoka katika hii weekly time frame, nikagundua kwamba kuna bullish uptrend. Hivyo nikachora uptrend kama inavyoonekana.
3. Kisha nikagundua kuna divergence in price katika candles mbili za mwishoni, kwa maana kwa msaada wa stochastic oscillator utaona kwamba hizo dashed trend lines kuelekea chini zinakinzana na oscillator indication.
4. Pia kwa msaada wa concept ya ontario, Nikachora resistance level ( Hii resistance level inaonekana vizuri katika daily chart) Ila tukiwa hapa katika weekly chart na tukatumia same daily resistance line, utaona kwamba mwaka jana 2016 kulikuwa na breach katika hiyo resistance level



Weekly gold chart



Nilipomaliza kwa upande wa weekly, Kama top down analysis inavyotaka, nikaenda katika daily chart kama inavyoonekana hapa chini. Hapa napo nikaibuka na haya.

1. Iliniwezesha kupata resistance level ambayo nimeichora. na hii resistance level inahold sifa zote za kuwa resistance kama vile kuwa resistance/support in previous times/years na Kuna major bull breaches in past
2. Uptrend bado inaonekana vizuri na inahold true
3. Divergence line nilizozichora katika weekly chart bado hapa zinahold true ingawa hapa unatakiwa uwe na jicho kali kuona hiyo divergence as the difference is very small.




CONCLUSSION

Kutokana na analysis hizo hapo juu, Na kuzingatia price ya gold mwezi wa sita mwaka jana ilivyobreach resistance level (kitu ambacho inaonekana hata mawaka huu itabreach same resistance level) Nimefikia conclussion kwamba Next week tutegemee Bullish price move ya Gold. So kama wiki ijayo ningekuwa mnunuzi, ningenunua Gold kwa kutegemea bei yake itapanda.

Sijui kama nimeanalyse sawa ama nimekosea. Masahihisho please if any.

CC: Bavaria, Ontario.
 
Mawazo yako uliyopewa na Mungu yanaweza kukutumbukiza kwenye shimo kuangamia. Mawazo yako hayako perfect ndiyo maana tunawapeni warning watu naive kama nyinyi mnaofikiria kuna shortcuts na easy money.
Hahaha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…