Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nakuombea na kukutakia mafanikio ili ndoto hii njema itimie. Binafsi nakuhakikishia ushirikiano ukianza kuja mikoani. Wewe ni hazina ya taifa na nyota ya matumaini. Stay blessed.
Wewe muombee tu, utakapo filisiwa na huo mchezo wa Forex wa akina fake prophet Bushiri ndiyo utajua kumlaani. You people are a joke!
 
Waoh. Fantastic

Nimefurahi sana kwa hatua hii. Big up ONTARIO boss. That's very big progress.
I hope to see you and my lovely traders in Dar sometime down the line if I will be amongst

Big up [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Weweeee watch out! [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Join date; March 05

Ma Snitch hua hamkosekani unge kuja na ID yako ya siku zote tuku tumbue..

Pili pili usio ila yakuwashia nini??
 

A Very very nice idea mr Ontario.
Tena hapo kny top 5 kama vile najiona huyoo nimekidhi vigezo.
 
Eti analysis!? Matapeli wa mtandaoni...hahahahahaha
 
Eti analysis!? Matapeli wa mtandaoni...hahahahahaha
Elezea bas kwann unasema matapeli wa mtandao? Km ni risk kila kitu kinarisk ktk haya maisha so people are taking the risk kwaiyo acha kukatisha watu tamaa! Kuna vitabu vya forex ving inamana navyo ni utapeli au nn
 
Hawa wakina Ontario wanataka u broker ili watengeneze pesa kama false prophet Bushiri! Wewe waache wakasomeshe bure alafu hiyo bure itawatokea puani.

Utaendelea kucheza vibati hadi lini wewe...

I believe in fx trading ""they win, i win...we prosper"
 
Eti analysis!? Matapeli wa mtandaoni...hahahahahaha

Nadhani kinachofuata sasa ni kukutukana, Unaquote uzi wangu wa nini.? una maisha yako, endelea na maisha yako. Nina maisha yangu niache niendelee na maisha yangu, Tusipangiane maisha. Sijakuomba msaada wala sihitaji msaada wako, Pesa natumia yangu, na nitaitumia ninavyotaka. Pesa aliyoitafuta mwanaume mwenzie wewe inakuwasha nini katika matumizi yake.? Kama si tabia za kishoga ni nini.? Hata kama nikilose i am prepared to. So leave me alone, and get a life.

kama pesa yangu ninayotumia kwa mambo yangu inakuuma njoo nikupatie. Punguwani wahed wewe. Next time ni matusi ndo yatakayofuata
 
biashara itafanywa tu uwe unataka au hutaki wewe unayetaka kuharibu huu uzi
Hakuna kuharibika kitu lazima tukubali kuwa criticised constructively. Wale watakao kuwa pande yangu wataokoa visenti vyao na wale ambao watakuwa upande wa so called Forex trading, jehanam ya kupoteza pesa inawasubiri.
 
My story so far (Part 2!)

Baada ya kuunguza account mara mbili huu ndio mrejesho wangu...

Awali ya yote, niseme asante kwa wote mlionitia moyo kwa yaliyonitokea!! Nilipounguza account nilileta uzi hapa kushare nanyi yaliyonikuta(post namba 3357) pitia hii link...
FOREX: Biashara yenye utajiri mkubwa zaidi duniani ambayo hakuna benki itataka uijue!

Mara ya kwanza niliunguza kwa uzembe wangu sikujifunza nikafungua ingine nika trade bado nikachezea za kichwa!! mara ya pili ndio akili ikastuck na kukaa sawa nikaona isiwe shida nikae chini niandike makosa yangu yanayofanya kila siku naunguza account!!!

Niliyaandika na kufanyia kazi moja baada ya lingine!!! Na nna mshukuru Mungu baada ya kuunguza account, nilipokuja kupost mrejesho humu nikakutana na hiki kitabu cha hawa jamaa wanajiita astrofx!

Hili ndio somo nililojifunza...kutoka astrofx book!!



Hapa niliona mengi na mengi nilijifunza kwenye kitabu cha astro fx ambacho kipo humu!! makosa yangu ilikua ni kutumia leverage kubwa(500:1) na ku open positions nyingi zenye volume kubwa na zinazorun in loss kitu ambacho kilipelekea Margin, free margin, na margin level zote kushuka na mwisho wa siku nikawa nime tia moto account, asikwambie mtu...iliniuma balaa!!!

Sasa baada ya kugundua makosa yangu nikaanza tafakari wapi nitapata pesa baada ya kuunguza account! kumbuka mda huo nimshachezea za kichwa na pesa sina!! Baada ya kuwaza mda mrefu nikakumbuka nikiwa mwaka wa kwanza chuo nilinunuaga hisa za benk flani, basi bila hiyana nikafunua kabati kutafuta cheti changu cha hisa, nikaziuza!!

Baada ya kuuza nikatenga dola 100 kwa ajili ya ku-trade!!

This time nimekua makini kwenye positon sizes(nyingi zinachezea 0.01 mpaka 0.03) na leverage(1:100)!!

Sasa kwa siku moja i mean masaa 24, nimeweza kupata faida hiyo apoo kama unavoiona kwenye picha, ina weza ikawa sio kubwa ila am still grateful guys!!!



So kwa masaa 24 nimeweza kupata dola 26.02! ambayo ni sawa na 26.02*2250tsh = 58,545 Tsh!! hii ni ndani ya masaa 24!!

Lengo langu la kwanza lilikua kupata walau dola 15 per day nashukuru Mungu nimevuka lengo!!

Pia kama unafwatilia kuna habari ilitokea jana mida saa sita mpaka saa tisa huko Canada, hii ilipelekea dola ya canada kushuka ghafla, hahaha hapa paliniwezesha kupiga faida kwa kweli!!

Ushauri!!

Kuna huyu chalii wa sauzi anaitwa shezi kama sijakosea jina, katika moja ya video zake anadai kwamba "Don't wait, start, make mistakes and learn, dont wait to be perfect as you will never start if u want to be perfect" ... "most of people believe you gotta be perfect before you start, and if that is you're goal then you will never start" hayo ni maneno yake...

Nikiwa chuo mwaka wa kwanza tu nakumbuka tulipelekwa kwenda kufanya field practicals, kumbuka by that time hatukua mainjinia kamili lakini tulipewa mitambo kuiendesha na kupewa majukumu ya mainjinia bila kujali kwamba tulikua mwaka wa kwanza! My point is, practical ni muhimu, na kama alivyosema shezi dont wait to be perfect ndio uanze!! otherwise hata chuoni tusingepelekwa field kupewa majukumu ya wahandisi wakati sisi tulikuwa mwaka wa kwanza na hatukuhitimu mafunzo ya uhandisi!!

So to all those who we started together, take courage and start doing something, start small and make them mistakes!! dont wait to be perfect ndio uanze!! life is full of risks so even of you won't start then that's another risk!!!

Guys this thing is real! you can make loss or profits within very short period of time! but there's no way you can make it kama huwezi controll hisia zako (psychology) hasa unapopata loss, kusoma/kujifunza ni muhimu na haikwepeki, kufwatilia matukio yanayotokea huko majuu ni muhimu pia!!

Bottomline, In any business, Loss haikwepeki na hata ukiangalia kwenye screen shot kuna ka-loss(-0.24)! kuna saa utapata faida pia kunasaa utachoma account, dont give up that's the essence of business homie!! Na utapounguza account, usijilaumu wala kuumia maana japo umepoteza pesa ila umepata experience(Haya maneno ya ONTARIO)!!! Please do not invest money which you're not willing to lose!!!

Kama ilivyo mbegu iliyo jangwani ikingoja mvua inyeshe ili iote, nasi basi tusikate tamaa katika kuomba Mungu na kufanya kazi na kujifunza mapya kila siku, ili tuendelee kupambana na huyu adui anayejiita UMASKINI!!

Anyways, its weekend, na leo hamna market, acha niendelee kuweka mikakati na kujifunza kwa ajili ya soko jipya!!

One love, One God, One life...tuko pamoja wakuu!!

Wako katika kujifunza,

Lodrick Thomas (Eng.)
 
JF wataku ban ukituna. Kama una loose your mind like that. Je, ukiliwa hivyo visenti utakuwaje?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…