Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
JF wataku ban ukituna. Kama una loose your mind like that. Je, ukiliwa hivyo visenti utakuwaje?
Naamini kwa sasa taratiibu umeanza kukunjia mkia katikati ya miguu miwili ya nyuma......now what are you waiting...RUUUUUN!
 
Guys... huyu anaejiita Mberoya mwenye kazi ya kuchafua huu uzi na yeye anajifunza Forex...... anataka afaidike mwenyewe..

hawa ndo wale twawaita wabinafsi...
 
Naamini kwa sasa taratiibu umeanza kukunjia mkia katikati ya miguu miwili ya nyuma......now what are you waiting...RUUUUUN!
Weweeee uta run wewe kwenda jehanamu subiri tu, nenda pata training, ukimaliza visenti viliwe na broker. Hapo ndipo utajua kukunja mkia kama jibwa koko.
 
I am humbled to hear that my friend!!

Infact nilishaanza kuelezea aina ya brokers!!

Ngoja najiandaa kuandaa article itayoelezea hayo mambo, possibly kesho au next week nitaiweka humu!!

Pamoja!
Pamoja sana mkuu, usisahau kutuambia ni bank gani tunaweza kufungua ac kwaajili ya kuweka na kutoa hela, broker gani ni mzuri kwa kuanzia..kulingana na uzoefu wako. Nini tunatakiwa kujua tunapoenda bank kufungua ac Nk.. all da best kamanda.
 
Kwani ulitusaidia kutafuta hizi pesa au tuliomba ushauri kwako jinsi ya kutafuta?.kimbelembele cha nini sasa kujidai unatushauri jinsi ya kutumia pesa zetu.Sisi ni watu wazima na tumeamua kujifunza na kufanya forex trade , kaa kimya na mind your own business.
 
Thank you alot en God bless you bro
 
woo
waaaooooh, i like the update, unanizidishia munkari wakuendelea kuchimba like those time nlipokua natafuta A, au tuliita BANDA hahahaha,
kama najiona ndani ya ile top cream. pa1 wakuu
 
Samahani waungwana lugha kidogo isiwe kali ivo ili twende sawa maana naamini hii ni familia moja na lenho pia ni moja plz twende sawa maana ni viyu vya kusameheana na kusahau.

Achana na huyo, tunampa anachostahili. Muache avune alichopanda.
 
good sana mkuu,me pia sometimes hua nataman nijilipue ila hapa umeniiongeza nguvu ya kumake decision.
asante sanaaaaa teh teh
 
Wenye mawazo mabovu tutaanza kuwaremove vile vilee hapa kazii tuuuu utakuta ni boya mumojaa tuuuu apooo mzembe wa kusomaa
 
good sana mkuu,me pia sometimes hua nataman nijilipue ila hapa umeniiongeza nguvu ya kumake decision.
asante sanaaaaa teh teh
"You don't need to be perfect mkuu, start small and grow"!!

Infact huna haja ya kudeposit ndio uanze kuna brokers wanatoa bonuses so unaweza anza na hizo bonus huku ukipima upepo unaendaje!!

Pamoja arifu!
 
Safi sana kamanda, unatumia broker gani asee
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…