Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Lazima ukubali challenge siyo kulilia moderator. Sijatukana mtu hapa! Kwani unachoficha nini mpaka unataka nifungiwe. Hapa kweli tupu, niombeeeni msema kweli na muwazi.
 
kuna jamaa humu anatuattack by the way don't allow anyone to judge you by his or her measurement, the only person to judge you is yourself and your GOD, nilimusikiliza sherpherd Bushiri wa SA akifundisha waumini wake, how to be Rich within two months and he said invest in forex trading, na ana kitabu kinaitwa MAKE MILLIONS IN FOREX TRADING, so how comes mtu kama hyu ambaye hajui destination yake katka maisha atusumbue, let us kill him by making it happens, WE ARE NOT HERE TO FEAR THE FUTURE, WE ARE HERE TO SHAPE IT.
 
Jehanamu is coming for you..critical time hard to deal with. By then brokers will not want to know you...they woud be disappeared![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wala usihofu ndugu yangu!! Infact nimeona post zako, nimependa challenges unazotoa! Ila mi nadhani kuliko kukomalia "jehanam" its better tukaona mwisho unakuaje!! Maana si mimi wala wewe anayejua kesho ikoje!!

Kwangu challenge zako ni za muhimu sana bila kujali kwamba ni negative challenges!! We unaamini tunaenda jehanam hicho ndicho uaminicho na binafsi sitaki wala siwezi kukubadilisha mkuu!!

Sio vizuri kulazimishana kuamini ambacho hutaki kuamini!!

Lazima ifike mahali kila mtu aamini anachoamini!!

Mwisho wa siku tutaona kwa macho yetu ni nani aliamini kitu sahihi!!

Tuko pamoja mkuu!!
 
Mkuu sio kwa mzuka huu unaotupa.. Naenjoy kua mmoja wa utakao watapale kama asemavyo bwege mmoja hivi.. Kaka hata kama hatutapata nafasi ya kuja wote kwenye darasa.. Tupo tulioamua kuthubutu .. Kwa hihi knowledge ndogo tuliyoipata huku.. Tunaomba mwongozo wakufungua live ac jinsi yakuweka pesa nakutoa.. Hasara tuachie kwanza mpaka akili zikae sawa..
 
Nimesoma haraka haraka lkn nilipoona umesema umeongea na FNB Bank nimepata mashaka makubwa Sana.
FNB bank ni Kati ya bank mbaya kabisa kwa deal za pesa na sasa hivi iko chini ya uangalizi maalum wa BOT.
 
Hahahaha mkuu aina yako ya uandishi imenifuraisha sana. Kama vile nakuona na BMW yako nyiusi unaingia lounge . Wish tutakua pamoja kwenye lounge..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bavaria
 
Nimekuheshimu kwa kiwango cha juu, ni majibu ya mtu anayejitambua na aliyejaa hekima...
 

Mkuu nisamehe, nilikuwa mbali na PC na comment yako niliiona kwa kutumia simu na sikuiona vizuri..

Back to the topic,

You are improving exceptionally, i can't say or add anything more that what you have just said in your amazing analysis.

I see the last Impulse and the last correction, after hitting the upper resistance, it may proceed or trace back and break the support.

You are in a good track.
 
Nimekuheshimu kwa kiwango cha juu, ni majibu ya mtu anayejitambua na aliyejaa hekima...
Nashukuru sana!

Nimekumbuka kipindi flani rais wa philipins alikua unatusi live kabisa obama, rais wa n.korea naye alikua ana mshambulia obama!! Hata hapa kwetu kikwete alikua anatukanwa sana tu!!

Ila unadhan obama alishindwa kutuma majasusi wawa sambaratishe hao marais wa philipins na korea?? Jibu ni big NO!! Unadhan jk alishindwa waangamiza wanao mtusi?? Nop hakushindwa!!

Watu kama hao wapo! Na sio busara kuwalaumu maana sometimes binadamu tuna matatizo mengi sana!! Na mtu kama huyo wala usimlaumu, offcourse unaweza ukamu-attack ila jua utakua unamwaga mafuta kwenye moto na kupoteza muda!!

Sometimes unatulia na unampisha apite ili maisha yaendelee!!

Pamoja sana mkuu!!
 
Isije ikawa wamemfungia kweli huyu jamaa...
Ila nimemsifu ana moyo kweli kweli

Nilivyomsoma maandishi yakenimegundua,
1. kuna mambo ambayo dini yake imemuaminisha so hawezi kuwaza chochote zaidi ya hapo

2. Amekulia mazingira ya ugomvi tangu utotoni, either wazazi wake, au ndugu aliokaa nao au hata majirani au mtaani alipokuwa anaishi

3. Stress za kutokufanikiwa zinazopelekea wivu kwa watu wanaelekea kufanikiwa, au

4. Roho tu mbaya wanaitaga roho ya korosho...na mtu wa hivi ni either apate deliverance, au akae mazingira ya watu wastaarabu ili ajifunze na kubadilika taratibu..

Mtu mwenye nia nzuri, alitakiwa tu aandike mara moja kwa kuelezea kwanini hashauri watu kuingia katika hii business with fact, then aachie watu wachague wenyewe kula au kuliwa period..

Lakini kwa kitendo cha kujibizanana kila mtu tena kimpasho...ni agenti kutoka kuzimu tu ndo ana uwezo huo

Mberoya Mungu akusaidie kufungua macho yako ya rohoni ili uweze kujua shida yako iko wapi

Glory to yhwh
 
Tuendelee kwa amani katika uzi wetu huu, kile kirusi hakitokuja tena humu kuleta fujo. Dawa yake imeshapatikana.tuwe na amani, tuendelee kujadili yaliyokuwa yakilengwa katika uzi huu.
Safi sana mkuu
 

Good start.

Unanikumbusha mara ya kwanza naanza forex, nilikuwa sijui demo ni nini, wala stop loss inafananaje.

Nilianza na dola 150 ndo ikawa naifanyia majaribio..

Ile hela nili-blow baada ya kufanya kama trade 300 hivi..

Ila sikujutia. Nilijifunza mengi mno.

Tangu hapo nimekuwa nablow account hadi nikaachana na trading.

Nimeanza mwaka huu january baada ya kusoma serious ..

So far, it's a good start.
 

Unakuwa kama mtu aliesoma tuition halafu unaenda darasani kukazia zaidi..

I still insist, spend most of your time to read more and more.

Set like 30 minutes kufanya demo na kupractise ulichosoma..

Don't spend your time on demo, will slow your speed of reading.

You are still new, you should at least pack yourself with more tools to trade.

Ila so far, you are good to go..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…