Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mimi sio fan wa indicators mfano ni hiyo Moving Average.
Pia, umekosea kuweka hizo trend lines za kuonesha reistance and support.
(Ongeza mazoezi zaidi kwenye ku-identify support and resistance na jinsi ya kuchora hizo lines)
Then, kuna kitu kinaitwa Fibonacci, kinakusaidia kuangalia retrenchment level ya hiyo trend. Whether ipo kwenye consolidation na next move itaelekea wapi.
 
daah kitabu nimekipakua ila tatizo lugha!! wakuu mtanisaidiaje? demo account nimefungua ila nilichokikuta huko hata Sielewi chochote!
 
Watu wanataka wawe na pesa wao tu ili tuwanyenyekee
 
daah kitabu nimekipakua ila tatizo lugha!! wakuu mtanisaidiaje? demo account nimefungua ila nilichokikuta huko hata Sielewi chochote!
mkuu fanya mpango ujifunze kiingereza ,mtafute hata ras simba bila hivyo utapata sana tabu katika ulimwengu huu wa sasa.kujifunza ngeli haichukui zaidi ya miezi mitatu kama kichwa chako kiko shapu
 
Kwa wale wenzangu tunaoendelea kujifunza FIBONACCI RETRACEMENT kuna cute little trick nitashare na ninyi soon ila naomba kwanza wazoefu waitazame chart yangu kama ina mapungufu.
NB: This isn't an analysis brothers and sisters, Its my point of view/my speculation/ pseudo-analysis (whatever you may call it) for the sake of learning.
Also I have taken into account the fact that, there are many other factors that can affect price movement and cause it to move against my speculation.
Nimekaa na GBP/USD Daily chart nikagundua ipo kwenye uptrend (an idel criteria to apply fibbonacci retracement system) na nitai describe kama ifuatavyo.(REFER TO CHART AREAS WITH RED LETTERS)
A= SWING LOW
B=THE MOST RECENT SWING HIGH
C= (Fibbo support) PRICE Ime Retrace na kutest 0.382 fibbo ratio mara mbili na kushindwa ku penentrate.(Dalili kwamba trend inaweza ikarudi tena juu)
D= Profit target (Fibo 0.0%), kama price haitofanikiwa kutoboa .382(38.2%) basi ni obvious itaresume uptrend na kufikia 1.30472 or higher.
(see visual illustration below)

Cc ONTARIO, BAVARIA, COMPLEX,Vking, MWANA NGURUMO
 
Trade like Pro
Kama mtu alifatilia analysis niliyoweka wiki iliyopita, basi utagundua faida niliyopiga...[emoji14]

Hapa nimecheki EURGBP na hiki ndio nilikiona::

Kwanza kabisa price imeheshimu zones zangu, na naona wazi price imefika juu kabisa kwenye Ceiling/Resistance, baada ya kufika juu ikaform double top, hiyo kama 'M' unayoina. 1 kwa 1 ni ishara kua wiki ijayo itakua bearish kwa hii pea, so I will go short.

Lakini pia napata uhakika zaidi maana hii double top iliyoprintiwa ni kitu makini sana kinachoitwa moolah. Hii moolah inakua na hizi tabia:-

■Soko linagonga resistance mara 2 - kama tunavyoona kwenye hiyo screen shot.

■Second tounch inakua fupi kulinganisha na 1st touch - kama kutavyoona kwa screen shot.

■Katika hizo touch 2 kunabidi kuwe na candlestick zisizopungua 6. Na hapo tunaona kuna mishumaa ya kutosha.

■Baada ya touch ya 2 soko linaprint bearish candlestick - kama tunavyoona.

Hii pair nitaihold hadi hapo itakapogonga support yangu. Let the market prove me wrong!!

============================

Edited

Nimewapa vitabu musome ndani nje ili muielewe forex vizuri, mjue nini maana ya forex na nini si forex. Kuna jamaa kafungua uzi kuhusu kitu kinaitwa iMarkets. Kwa knowledge mlioyonayo mnaeza kuona jinsi gani forex inavyotumika kusafisha multilevel marketing schemes na Ponzi.

■Hakuna sehemu mliyosoma kwenye forex ambapo wameandika kua ktk forex kuna Chain recruitment. Hakuna trader ama investor yoyote kwenye forex anayelipwa kwa kufanya recruitment.

■Hakuna kitabu kikichosema kua forex kuna consistent profits, kwamba kila mwezi utapata tuseme mil 10. Forex depends on the market. Kuna siku utapata laki kuna siku utapata hata laki 5 kuna siku hupati kitu na kuna siku utapata loss.

■Forex hakuna sehemu kuna mambo ya classes among traders. Sijui platinum member, sijui Gold sijui copper. That is not forex.

■Forex is not a rich quick scheme. Forex unahitaji knowledge ya hali ya juu, unahitaji uwe na uelewa wa kutosha, uwe na concentration, uwe karibu na strong team ambapo mnashare knowledge tena zaidi ni muhimu kuwa na mentor mzoefu.

So please someni sana kujua which is black and which is white, ili hata ukiletwa kijivu uweze kua na maamuzi sahihi.
 
Edited

Nimewapa vitabu musome ndani nje ili muielewe forex vizuri, mjue nini maana ya forex na nini si forex. Kuna jamaa kafungua uzi kuhusu kitu kinaitwa iMarkets. Kwa knowledge mlioyonayo mnaeza kuona jinsi gani forex inavyotumika kusafisha multilevel marketing schemes na Ponzi.

■Hakuna sehemu mliyosoma kwenye forex ambapo wameandika kua ktk forex kuna Chain recruitment. Hakuna trader ama investor yoyote kwenye forex anayelipwa kwa kufanya recruitment.

■Hakuna kitabu kikichosema kua forex kuna consistent profits, kwamba kila mwezi utapata tuseme mil 10. Forex depends on the market. Kuna siku utapata laki kuna siku utapata hata laki 5 kuna siku hupati kitu na kuna siku utapata loss.

■Forex hakuna sehemu kuna mambo ya classes among traders. Sijui platinum member, sijui Gold sijui copper. That is not forex.

■Forex is not a rich quick scheme. Forex unahitaji knowledge ya hali ya juu, unahitaji uwe na uelewa wa kutosha, uwe na concentration, uwe karibu na strong team ambapo mnashare knowledge tena zaidi ni muhimu kuwa na mentor mzoefu.

PS: So please someni sana kujua which is black and which is white, ili hata ukiletewa kijivu uweze kua na maamuzi sahihi. Sikukatazi kuingia huko, lkn fanya investment ukiwa unafahamu final outcome.
 
Sawasawa mdogo wetu acha tule shule mdogo mdogo
 
Oh! I thought IML ni mentors company! Let's proceed with deep reading. Thanks for the info.
 
Ubarikiwe kaka
 
Ahsante sana kwanza nimeshangaa et kujiunga ni dola 195 laki tatu zaidi kwa hela ya bongo aisee huu sasa wizi.Lakini Mungu ni mkubwa ametupatia akili za kujua White and black
 
Safi sana kamanda, unatumia broker gani asee
Walishakujaa wengiii kutuvunjaa moyo wengine tuna waremove hadi watsap zetuuu ukuuu kwenye group wanahamia telegram tenaaa keshoo atakuwaa blocked tenaaa hatutakii wanafikiii wanataka kutuletea u forever living product bhanaaa waende ukooo
 
Tuendelee kwa amani katika uzi wetu huu, kile kirusi hakitokuja tena humu kuleta fujo. Dawa yake imeshapatikana.tuwe na amani, tuendelee kujadili yaliyokuwa yakilengwa katika uzi huu.
Mkuu Complex anaweza hasirudi hapa lkn kati wale 100 wa mwanzo akawepo kwa maana "we are talking behind our Keypads O keyboard"
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…