leyb
Senior Member
- Mar 23, 2013
- 111
- 64
Kuna njia ya kusoma candlesticks zinakusaidia when to buy or sellWadau kwa jinsi nilivyoona naona hiz indicators sio kbsaa... je n vitu gani mnatumia ku buy or sell.. cc Ontario na Bavaria...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna njia ya kusoma candlesticks zinakusaidia when to buy or sellWadau kwa jinsi nilivyoona naona hiz indicators sio kbsaa... je n vitu gani mnatumia ku buy or sell.. cc Ontario na Bavaria...
Thats why we say keep reading.Wadau kwa jinsi nilivyoona naona hiz indicators sio kbsaa... je n vitu gani mnatumia ku buy or sell.. cc Ontario na Bavaria...
Mimi sio fan wa indicators mfano ni hiyo Moving Average.GBPAUD pair analysis (My view)
View attachment 530282
GBPAUD weekly
1. Moving average line inaoonekana price katika last candle itapanda kidogo kwa hiyo kesho. Ukizingatia Australia wanawahi kuianza siku kabla ya UK, hivyo AUD itapata thamani kwa muda kabla ya GBP kupata nguvu tena baada ya hapo na kuforce bearish movement na kuobey hiyo blue inclined trend line mpaka katika support level. Hivyo kwa kuanza siku, unaweza nunua huku ukiwa aware kuwa price movement ya siku ya kwanza ya biashara inaweza kuwa fake.
2. Kuna support na resistance level ambayo imekuwepo toka july mwaka jana. na imekuwa ngumu kuivunja.
3. Trend inasema kwa sasa ni downtrend, na as our rule says " Never go against trend" hivyo kwa wale weekly traders naweza kuwashauri wauze kwani trend inaonesha hivyo.
View attachment 530284
GBPAUD daily.
Kilichoonekana katika weekly chart ndo kinaonekana katika daily chart. Moving average line hapa inaonekana vyema.
CC: Bavaria, ontario. Masahihisho please if any.
Watu wanataka wawe na pesa wao tu ili tuwanyenyekeeAise kweli WaTZ tumekua na roho mbaya yani kuna wadau wanafanya FOREX kimyakimya hapa Tanzania then ametokea Boss ONTARIO kutufumbua macho wanaona wivu kweli dunia inaelekea ukingoni huku wenzetu SA wanapeana madili ya kuingiza pesa kedekede sisi tunafichana ili tupate faida gani sijui lakini Muda umewadia na Sisi vijana wakitanzania kuinuka kiuchumi walipenda wawe wao tu muda umefika Tenda Muujiza Usiache Mungu Mwaka Huu Upite bila Kutenda Muujiza.Tuzidi kusoma na kujifunza mpaka kieleweke!!!!!
Hata mim mwanzo niliona nyota nyota ila sasa nimeanza kupata mwanga taratiiibu.ngoja nizidi kupiga shuledaah kitabu nimekipakua ila tatizo lugha!! wakuu mtanisaidiaje? demo account nimefungua ila nilichokikuta huko hata Sielewi chochote!
mkuu fanya mpango ujifunze kiingereza ,mtafute hata ras simba bila hivyo utapata sana tabu katika ulimwengu huu wa sasa.kujifunza ngeli haichukui zaidi ya miezi mitatu kama kichwa chako kiko shapudaah kitabu nimekipakua ila tatizo lugha!! wakuu mtanisaidiaje? demo account nimefungua ila nilichokikuta huko hata Sielewi chochote!
nikweli mkuu ngeri ina umhim wake kweli kbsmkuu fanya mpango ujifunze kiingereza ,mtafute hata ras simba bila hivyo utapata sana tabu katika ulimwengu huu wa sasa.kujifunza ngeli haichukui zaidi ya miezi mitatu kama kichwa chako kiko shapu
Ahahaa ivi kumbe wachawi wapo kwel humu dunianiUpingaji wa Kristo na kuengelea Forex trading wapi na wapi? Unafikiri Kristo atakuwapo kukusaidia ukiliwa visenti vyako kwenda jehanam.
Sawasawa mdogo wetu acha tule shule mdogo mdogoEdited
Nimewapa vitabu musome ndani nje ili muielewe forex vizuri, mjue nini maana ya forex na nini si forex. Kuna jamaa kafungua uzi kuhusu kitu kinaitwa iMarkets. Kwa knowledge mlioyonayo mnaeza kuona jinsi gani forex inavyotumika kusafisha multilevel marketing schemes na Ponzi.
■Hakuna sehemu mliyosoma kwenye forex ambapo wameandika kua ktk forex kuna Chain recruitment. Hakuna trader ama investor yoyote kwenye forex anayelipwa kwa kufanya recruitment.
■Hakuna kitabu kikichosema kua forex kuna consistent profits, kwamba kila mwezi utapata tuseme mil 10. Forex depends on the market. Kuna siku utapata laki kuna siku utapata hata laki 5 kuna siku hupati kitu na kuna siku utapata loss.
■Forex hakuna sehemu kuna mambo ya classes among traders. Sijui platinum member, sijui Gold sijui copper. That is not forex.
■Forex is not a rich quick scheme. Forex unahitaji knowledge ya hali ya juu, unahitaji uwe na uelewa wa kutosha, uwe na concentration, uwe karibu na strong team ambapo mnashare knowledge tena zaidi ni muhimu kuwa na mentor mzoefu.
PS: So please someni sana kujua which is black and which is white, ili hata ukiletewa kijivu uweze kua na maamuzi sahihi. Sikukatazi kuingia huko, lkn fanya investment ukiwa unafahamu final outcome.
Edited

Nimewapa vitabu musome ndani nje ili muielewe forex vizuri, mjue nini maana ya forex na nini si forex.
■Hakuna kitabu kikichosema kua forex kuna consistent profits, kwamba kila mwezi utapata tuseme mil 10. Forex depends on the market. Kuna siku utapata laki kuna siku utapata hata laki 5 kuna siku hupati kitu na kuna siku utapata loss.
■Forex hakuna sehemu kuna mambo ya classes among traders. Sijui platinum member, sijui Gold sijui copper. That is not forex.
■Forex is not a rich quick scheme. Forex unahitaji knowledge ya hali ya juu, unahitaji uwe na uelewa wa kutosha, uwe na concentration, uwe karibu na strong team ambapo mnashare knowledge tena zaidi ni muhimu kuwa na mentor mzoefu.
Ahsante sana kwanza nimeshangaa et kujiunga ni dola 195 laki tatu zaidi kwa hela ya bongo aisee huu sasa wizi.Lakini Mungu ni mkubwa ametupatia akili za kujua White and blackEdited
Nimewapa vitabu musome ndani nje ili muielewe forex vizuri, mjue nini maana ya forex na nini si forex. Kuna jamaa kafungua uzi kuhusu kitu kinaitwa iMarkets. Kwa knowledge mlioyonayo mnaeza kuona jinsi gani forex inavyotumika kusafisha multilevel marketing schemes na Ponzi.
■Hakuna sehemu mliyosoma kwenye forex ambapo wameandika kua ktk forex kuna Chain recruitment. Hakuna trader ama investor yoyote kwenye forex anayelipwa kwa kufanya recruitment.
■Hakuna kitabu kikichosema kua forex kuna consistent profits, kwamba kila mwezi utapata tuseme mil 10. Forex depends on the market. Kuna siku utapata laki kuna siku utapata hata laki 5 kuna siku hupati kitu na kuna siku utapata loss.
■Forex hakuna sehemu kuna mambo ya classes among traders. Sijui platinum member, sijui Gold sijui copper. That is not forex.
■Forex is not a rich quick scheme. Forex unahitaji knowledge ya hali ya juu, unahitaji uwe na uelewa wa kutosha, uwe na concentration, uwe karibu na strong team ambapo mnashare knowledge tena zaidi ni muhimu kuwa na mentor mzoefu.
PS: So please someni sana kujua which is black and which is white, ili hata ukiletewa kijivu uweze kua na maamuzi sahihi. Sikukatazi kuingia huko, lkn fanya investment ukiwa unafahamu final outcome.
Walishakujaa wengiii kutuvunjaa moyo wengine tuna waremove hadi watsap zetuuu ukuuu kwenye group wanahamia telegram tenaaa keshoo atakuwaa blocked tenaaa hatutakii wanafikiii wanataka kutuletea u forever living product bhanaaa waende ukoooSafi sana kamanda, unatumia broker gani asee
Mkuu Complex anaweza hasirudi hapa lkn kati wale 100 wa mwanzo akawepo kwa maana "we are talking behind our Keypads O keyboard"Tuendelee kwa amani katika uzi wetu huu, kile kirusi hakitokuja tena humu kuleta fujo. Dawa yake imeshapatikana.tuwe na amani, tuendelee kujadili yaliyokuwa yakilengwa katika uzi huu.