Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Be blessed boy after ten year's to come your will enjoy your success i mean utakuwaa kwenye nafasii nzuriii ya kuzungumzaa na viongozi watanzania uwashauriii kuhusuu maishaa

THE HERO'S ALWAYS ARE REWARDED.
 
Aisee hapo naona ni zaidi ya 400 pips to be exact. Kama ulitembea na position ya hata 5 USD per pip, it is a hell of money.
 
Walishakujaa wengiii kutuvunjaa moyo wengine tuna waremove hadi watsap zetuuu ukuuu kwenye group wanahamia telegram tenaaa keshoo atakuwaa blocked tenaaa hatutakii wanafikiii wanataka kutuletea u forever living product bhanaaa waende ukooo
Mkuu jinsi gani ya kujiunga kwenye wasap group
 
Manirabona Mkuu nimekuPm no# ya Yng niadd kwa grps
 
Ntaitumia kama SELL Signal.
 
Nimejaribu kufuatilia, nimeweza kuona kama market inaweza kutengeneza consolidation zone (Last kiss) kabla ya kubreakout na kuwa down trend especially kwa long term traders, sina vivid support zaidi ya hiyo consolidation zone ambayo ipo hapo.

All is well kesho nitakua napractice catalyst za naked trader ambazo nimesoma mojamoja, nazitafuta kwenye chart
 
Mkuu jinsi gani ya kujiunga kwenye wasap group
Kunaaa link ukipitia hujaiona ipoo humu humu Pitia posted za nyuma utakutanaa nayoo mkuu achaa uzembe kwenye vituu vya muhimuu kamaa hiviii pitia utaionaa tuuuu hiyo ndiyoo sirii moja wapo ya mafanikio kusomaa
 
Duh nimeusoma huu Uzi vizur nimevutiwa sana na hii biashara kiukweli ni bonge la business dunian kote forex ninaihitaji ktk harakat zang za kubadili maisha,aise brother ikiwa tayar usisite kunishitua na mm japo niwe miongoni mwa wale 300 wa mwanzo kabisa japo Niko mkoani
 
Sidhani kama umeusoma uzi wote
 
Ahsante kwa uzi mkuu ONTARIO , ngoja nile theory kwanza kwenye hiki kitabu. Naamini mambo yatajipa.

Wadau: Kwa ambao mmeshaingia kwa practical naomba msinichoke na maswali nitakayokua nayaleta ili mnieleweshe.
 
Tunasoma mkuu wewe chapa kazi sisi tunaendelea kusoma hawa wapotoshaji hawata ambulia kitu....mbele kwa mbele
 
Yaan unaquote uzi wote, why?
Mkuu nimefanya kosa gani?? Maana uzi huu ni mfupi tu!! Je umeiona hii yangu tu kati trend zooote???...mie nadhani let focus kwenye main issue tusimind vitu vidogo vidogo...kama nimekosea niambie umekosea hiki let move on
 
Wakuu leo nimekutana na hii challenge!!

Palikua na event moja huko ujerumani... Na katika forecast zao...na hasa katika actual result wali comment kwamba EURO itapanda (bullish)...embu soma hii picha...

Cheki na hii...

Lakini katika actual market EURO imeshuka sana...yaani EURUSD imekua so bearish!!

Maana kwenye hiyo pic actual value ni kubwa kuliko expected/forecast, ilitakiwa iwe bullish sasa nashangaa imekua bearish!!

Je ni mimi niliielewa vibaya hii "news"???

ONTARIO Bavaria na traders wengine wote!!!
 
Bro, tuombeane uzima ila SA lazima mkuu
Apa Ontario pale Mlu na ma trader wenzetu tunagonga glass na ku share ma idea kuhusu forex hahahaah
 
Mkuu mm bado mchanga kweli kwenye forex...ila kidogo kidogo naanza kuielewa lugha ya forex.

Naomba soma page no 14 ya ASTROFX....Fundamental Analysis/Economic data releases..nadhani ulichokishuhudia ndicho kimetolewa angalizo hapo.
 
Kote huko nimeshaangalia!

Ila kwa jinsi walivyotoa namba zao, wanadai EUR ingepanda! What i wonder ni kwamba mpaka sasa EURO iko chini na inazidi kushuka tofauti na matarajio!!

Hapo ndipo nilipo kwama mkuu!!
 
Duuu...hapo labda wakongwe watusaidie Mkuu.

Ila kama una trade live hii pair ya EUR/GBP naona imekaa poa sana....naona double bottoms na double tops zinapigana vikumbo.

Ukiwa mtu wa kuingia na kutoka unaweza piga mkwanja mrefu sana...mm nimekomaa nayo kwenye demo mpaka sasa Nina mshahara kama wa wabunge wawili wa TZ..

Sijui kama nipo sahihi lakn...mm bado mchanga...wakuu ONTARIO au Bavaria wanaweza kutia neno
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…