Proffesor
JF-Expert Member
- Aug 13, 2014
- 2,164
- 2,968
Mkuu nmesoma but sijaelewa.. nipe strategy unayo tumia mkuuuThats why we say keep reading.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nmesoma but sijaelewa.. nipe strategy unayo tumia mkuuuThats why we say keep reading.
Ushauri kwa ambao tunatumia demo accounts na ambao tunataka kuanza kutumia real/live account lakini tunakwama kwa kukosa uwezo!!
Habari wadau!!!
Ni vyema pia ukajua kwamba ku trade na real account .....................
Mfano kulingana na ushindani wa soko, kuna brokers wanatoa bonus ya dola 30 wengine mpaka dola 100
(huwezi withdraw hii bonus)!!
(huwezi withdraw hii bonus)!!
(huwezi withdraw hii bonus)!!
(huwezi withdraw hii bonus)!!
Lodrick Thomas (Eng.)
This is what we call development!! Kudos to you arifu!!
Kuna viwango wameset (japo wengi hawasemi unapotaka kujiunga)! na ukivifikisha unaweza kudraw profit uliyoipata kwenye bonus. Jua bonus huwezi ku withdraw!!Mkuu kwa utafiti uliofanya hii bonus nikiizungusha ikapanda hadi dollar 1000 nitaweza kuitoa? Au kwa maana ingine when the bonus become valid to be withdrawned?
Congrats Mkuu you realy made it.
Is this live account??
Mkuu ni brokers gani wanatoa hiyo 30 USDUshauri kwa ambao tunatumia demo accounts na ambao tunataka kuanza kutumia real/live account lakini tunakwama kwa kukosa uwezo!!
Habari wadau!!!
Leo nimeona si mbaya kama tukapeana hints ambazo kwa namna moja au nyingine zitatusaidia kutujenga hasa katika nyanja ya forex kwa ujumla wake!!
Kwanza ni lazima tufahamu demo account zina umuhimu mkubwa sana katika ku-implement kile ambacho tumejifunza kwa nadharia! Pia demo account ni kama test ya kutupima yale tuliyojifunza katika vitabu na videos!!
Lakini kwa mtazamo wangu (narudia tena, mtazamo wangu) demo account hazitupi uhalisia wa soko lilivyo, mind you sisemi kwamba ni mbaya la hasha ni nzuri tena sana tu!! Ila ni vyema tunapoanza kutumia demo account kuhakikisha kiasi tunacho-set kama capital kiwe kidogo chini na kiwe kina akisi uhalisia!!
Kufanya mazoezi kwa ktumia account yenye 1,000,000 USD si kwamba ni vibaya, ila haikupi uhalisia wa mambo yalivyo katika live account hasa kwa sisi tunaoanza (labda kama unataka kuanza kutrade kwa kutumia 1million dollas)!!!
Now what to do??
Hapa nna mawazo mawili ambayo nna uhakika unaweza yatumia yote au moja wapo!!
1. Wakati wa kufungua demo account ni vyema kuhakikisha tunaset amount iwe chini sio kuanza na demo yenye 1mil dola!!
2.Kufungua real account!!
Sasa hapa kwenye real account naomba nifafanue zaidi!!!
Kama tunavyojua kuna brokers wengi na kila broker ana sifa zake!! Naamini kama unapitia vitabu utakua ushaona au umejifunza aina ya brokers!!
Ni vyema pia ukajua kwamba ku trade na real account kwa baadhi ya brokers sio lazima uwe na cash, yaani sio lazima u-deposit pesa ndio uanze ku trade!!! Kuna brokers ambao wanatoa kitu kama bonus ambayo inakuwezesha wewe kama trader kuitumia katika ku trade (live na sio demo)!!
Mfano kulingana na ushindani wa soko, kuna brokers wanatoa bonus ya dola 30 wengine mpaka dola 100 (huwezi withdraw hii bonus)!! sasa unaweza tumia hii bonus katika ku trade nayo kabla hujaweka pesa (hasa kwa wale wenzangu ambao kiasi flani tunakwama kufungua live account kwa kukosa uwezo)!!! Trust me, hii itakupa nguvu sana hasa pale utapotaka kuweka pesa yako na kuanza ku trade!!!
Uzuri wa bonus ni kwamba unapewa free (kwa baadhi ya brokers) ukifungua live account na unaweza trade nayo ukapata faida pia ambayo utaku-boost ukija kuweka cash!!
My advice to you guys!!!
1. Anza na demo account ukiiweza hamia kwenye live account yenye bonus!! Sio lazima utumie bonus, pia unaweza kuweka kiasi kidogo cha pesa ukaanza nacho maana kuna brokers wana kubali kudeposit minimum amount kuanzia dola 5 wengine mpaka dola moja!
2. Na kama unataka kuanza kutrade live account, may be kidogo mambo hayako sawa au umetumia demo account mda mrefu na unataka challenges za live trading bila risk kubwa...to me, this is the best way!! Fungua live account then apply bonus then anza kutrade, suingoje uanze ku-trade ukipata pesa!!!
Belive me, ukiweza kuizungusha bonus account bila kuichoma (and even if ikitokea umeichoma maana sometimes inatokea), utakua umepiga bonge la hatuaaa!! na zaidi ya yote utakua umepata experience/uzoefu wa utamu na uchungu wa forex ambao kwenye demo pekee huwezi kuupata!!
Tutumie demo accounts, ikiwezekana tuset amount ndogo, ukiizoea demo na kama huna uwezo kifedha kutrade kwenye live, usisubiri mpaka uwe na uwezo! unaweza fungua live account kwa broker yeyote anayetoa bonus, then ukaitumia hiyo bonus kutrade mpaka hapo utapokua na uwezo au utapoona umeridhika kuweka pesa yako!!!
Tuendelee kujifunza, NAIMANI tutajifunza mengi zaidi ONTARIO akiweka mambo yake sawa!!
Wako katika kujifunza,
Lodrick Thomas (Eng.)
Thanx mkuu, tunazidi kujifunza. Niliunguza account yangu ya kwanza nikaumia sana, nikajitafakari kisha nikaanza upya.Congrats Mkuu you realy made it.
Yap mkuu, ndio maana nimeficha Identity kwenye hiyo graphIs this live account??
Mkuu ni brokers gani wanatoa hiyo 30 USD
Hongera sana mkuu. Amazing feeling, been there!
Pamoja sana mkuu.. Naweza kua na live acc bila kua na bank acc.!So far nnaowajua ni hawa...
Xm brokers(30usd)
OctaFx(sina kumbukumbu sana ila nao nadhani wanatoa 30usd)
Tickmill(30usd)
Fsb nadhani wanatoa zaidi ya dola 100!!
Roboforex (30usd)
Liteforex (hawa sina uhakika kama wanayo...ila unaweza wachek)
NB: Kabla hujajiunga na broker, make sure unajua ni broker wa aina gani! Ni Market marker au ECN/STP...
Wako wengi, pia unaweza ukawa-google na ukawapata wengine tofauti na hawa!
Karibu mkuu
Mambo muhimu ya kuwa nayo wakati wa kufungua live account ni yapi mkuu?So far nnaowajua ni hawa...
Xm brokers(30usd)
OctaFx(sina kumbukumbu sana ila nao nadhani wanatoa 30usd)
Tickmill(30usd)
Fsb nadhani wanatoa zaidi ya dola 100!!
Roboforex (30usd)
Liteforex (hawa sina uhakika kama wanayo...ila unaweza wachek)
NB: Kabla hujajiunga na broker, make sure unajua ni broker wa aina gani! Ni Market marker au ECN/STP...
Wako wengi, pia unaweza ukawa-google na ukawapata wengine tofauti na hawa!
Karibu mkuu
Kiasi mkuu, I thank GOD kwa kunifungua ufahamu japo naona bado ni hatua ya mwanzo sana wala sistahili pongezi.I know I have to study hard and practise more.Hongera sana mkuu. Amazing feeling, been there!
Duuuh acha kabisa mkuu...kuunguza inauma sana...ila taratib tupige hatua mkuu!!Thanx mkuu, tunazidi kujifunza. Niliunguza account yangu ya kwanza nikaumia sana, nikajitafakari kisha nikaanza upya.
Yap...it is possible...bank account utaitumia ukiwa unataka kuweka au kutoa pesa... Na kama huna kabisa jitahidi kufungua inayotumia visa au mastercard!!Pamoja sana mkuu.. Naweza kua na live acc bila kua na bank acc.!
Vitambulisho!!Mambo muhimu ya kuwa nayo wakati wa kufungua live account ni yapi mkuu?