Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Mkuu kwa utafiti uliofanya hii bonus nikiizungusha ikapanda hadi dollar 1000 nitaweza kuitoa? Au kwa maana ingine when the bonus become valid to be withdrawned?
 
Mkuu kwa utafiti uliofanya hii bonus nikiizungusha ikapanda hadi dollar 1000 nitaweza kuitoa? Au kwa maana ingine when the bonus become valid to be withdrawned?
Kuna viwango wameset (japo wengi hawasemi unapotaka kujiunga)! na ukivifikisha unaweza kudraw profit uliyoipata kwenye bonus. Jua bonus huwezi ku withdraw!!
 
Mkuu ni brokers gani wanatoa hiyo 30 USD
 
Mkuu ni brokers gani wanatoa hiyo 30 USD

So far nnaowajua ni hawa...

Xm brokers(30usd)

OctaFx(sina kumbukumbu sana ila nao nadhani wanatoa 30usd)

Tickmill(30usd)

Fsb nadhani wanatoa zaidi ya dola 100!!

Roboforex (30usd)

Liteforex (hawa sina uhakika kama wanayo...ila unaweza wachek)

NB: Kabla hujajiunga na broker, make sure unajua ni broker wa aina gani! Ni Market marker au ECN/STP...

Wako wengi, pia unaweza ukawa-google na ukawapata wengine tofauti na hawa!

Karibu mkuu
 
Pamoja sana mkuu.. Naweza kua na live acc bila kua na bank acc.!
 
Mambo muhimu ya kuwa nayo wakati wa kufungua live account ni yapi mkuu?
 
Pamoja sana mkuu.. Naweza kua na live acc bila kua na bank acc.!
Yap...it is possible...bank account utaitumia ukiwa unataka kuweka au kutoa pesa... Na kama huna kabisa jitahidi kufungua inayotumia visa au mastercard!!

Karibu!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…