Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ulikua una trade na Yen mda gani na ulifungua chart ya mda gani boss?
Jana mchana US ET USD / JPY > 112, kuna sehemu nilipost hapa. Usiku nilikuwa naya time masoko ya Tokyo na Japan haikupata moto wa kufika 112.

Bado nina positions very conservative za USD/ JPY > 112 (kama 10/100 in case the market swings low) right now it is at 60/100 on Nadex). My position expires 3 AM US ET. In 16 HRS 44 Min.

It's actually a "Good Til Cancelled" order, not a position. I doubt the market will swing that low, if it will and then most likely rebound back to 112 by 3 AM, MY $240 investment makes me $2160 overnight.

If the market does not swing that low nobody in their right mind buys my $240 order and the $240 remains in my account.

I could hardly lose.
 
Mazee kwa sasa nikupumua kidogo. Jana Yen ilinipaisha halafu ikaninyoa kisawasawa sina hamu nayo. Sasa hivi nina some very conservative positions mpaka Feds waseme.

Mimi kwa sasa kuna positions mbili zipo open moja ni EUR/USD nyingine ni USD/CHF. Zote zipo against mimi, ila sizifungi, acha akaunti iungue tuu. Ingawaje nimetumia bonus scheme ya USD 30 ya XM kupata faida ya USD 10 mpaka sasa, na nimeipandisha kwa tabu sana tena kwa scalping. Sometimes wahenga wa kizungu wanasema "WINNERS NEVER QUIT", So let me stay na niwe na roho ya paka.
 
Jana mchana US ET USD / JPY > 112, kuna sehemu nilipost hapa. Usiku nilikuwa naya time masoko ya Tokyo na Japan haikupata moto wa kufika 112.

Bado nina positions very conservative za USD/ JPY > 112 (kama 10/100 in case the market swings low) right now it is at 60/100 on Nadex). My position expires 3 AM US ET. In 16 HRS 44 Min.

Mhhh, Hii ni binary option ama.? Forex ina time ya kuexpire kwani.? mbona sijawahi ona kitu kama hicho.?
 
Mimi kwa sasa kuna positions mbili zipo open moja ni EUR/USD nyingine ni USD/CHF. Zote zipo against mimi, ila sizifungi, acha akaunti iungue tuu. Ingawaje nimeipandisha kwa tabu sana. Sometimes wahenga wa kizungu wanasema "WINNERS NEVER QUIT"
Mazee, ukishajiridhisha meli inazama usiing'ang'anie kwa sababu umetoka nayo mbali, utakufa maji.

You must know how to cut your losses ukiona position inaanguka.

He who fights and run away, lives to fight another day.

Look at it as an opportunity to stop bleeding money on this position and take a winning position.
 
Mkuu kitu kinachonipa ari ni kwamba nimeona kuna fundamentals zimesababisha haya. Maana kwa upande wa technical niliona green light kufanya trade niliyoifanya. Ila hayo mambo ya Yellen na Draghi yamenitenda. Maan hata ule muda ambao new yorkers wanakuwa wanaamka price ya USD iliendelea kuwa weak, So far naamini itaimarika na nitarudi katika faida baada ya taarifa ya Bi yellen hapo saa 1700GMT. So let me hold tight, Kwa hili let nature kick me out.
 
Mazee, kwa ushauri tu, ukianza na live account hakikisha unatumia hela ambayo uko tayari kuipoteza, ukiingia kichwakichwa kwa kutegemea faida tu utaweza kulia.

Nilishawahi kunyolewa USD 5,000 katikakipindi cha siku chache sana.

Pia kama unaweza kuanza kidogokidogo kuusoma mchezo ni vizuri zaidi. Nimekuja kugundua data za demo (not market data, market participation data) ziko a bit unrealistic kwa sababu watu wanatumia demo money, si hela zao, kwa hiyo demo ona kama unatumia kujifunza kutumia platform tu. Unaweza kushangaa account ya demo mambo yako yanakuendea vizuri sana wakati account live inabuma.
samahani mkuu hivi hizo pesa zinazokuwepo kwenye akaunti ya demo unaweza kuzitoa zikawa zakwako au kujifunzia tu
 
Mkuu kitu kinachonipa ari ni kwamba nimeona kuna fundamentals zimesababisha haya. Maana kwa upande wa technical niliona green light kufanya trade niliyoifanya. Ila hayo mambo ya Yellen na Draghi yamenitenda. Maan hata ule muda ambao new yorkers wanakuwa wanaamka price ya USD iliendelea kuwa weak, So far naamini itaimarika na nitarudi katika faida baada ya taarifa ya Bi yellen hapo saa 1700GMT. So let me hold tight, Kwa hili let nature kick me out.

Kwa kawaida wajanja huwa wanakuwa magutu sana kakwenye haya masoko siku ambayo Feds wanaongea,exception ni kama positions zime settle down sana ku anticipate something (interest rates etc) then as always, you buy low with anticipation to sell high.

Ukinunua hata kati halafu Yellen akachafua market vitu vikaanguka unakwenda na maji.
 
Yah, Ila sisi bado ni wanafunzi, Acha tukumbane nayo practically. Usipochafuka utajifunzaje.? Never abandon your winning strategy.
 
samahani mkuu hivi hizo pesa zinazokuwepo kwenye akaunti ya demo unaweza kuzitoa zikawa zakwako au kujifunzia tu
Hizo hata si pesa za kweli, ni namba wanaandika za kujifunzia tu.

Zingekuwa pesa za kweli ningewaandikisha ndugu zangu wote NADEX wapate $ 15,000 za kweli.

Ila ujinga mmoja nikwamba niki trade demo na kunyolewa huko, najisikia vibaya kama napoteza hela za kweli.

I guess it is like a game, losing insults your ability and intelligence whether the challenge is real (kutafuta hela za kununua chakula) or imagined ( trading account demo, mechi ya soka ya mchangani).
 
Aisee naona USD inaanza kujitutumua hapa. Naona inaanza kupata some value. Ngoja niendelee kusubiria.
 
Yah, Ila sisi bado ni wanafunzi, Acha tukumbane nayo practically. Usipochafuka utajifunzaje.? Never abandon your winning strategy.
Ukiongea na wajanja wenyewe wanakwambia hata wao wana ujanja kibao, lakini market kuitabiri ni kazi zaidi ya kutabiri hali ya hewa kwa uhakika.

Too many variables to follow sufficiently for a truly informed decision.

Although that does not mean one should not read the primary indicators and link events. If there is a coup in Ivory Coast, and Ivory Coast is the largest Cocoa producer, and cocoa is the main ingredient in Chocolates, if you are in commodity markets in Switzerland, a major chocolate producer, expect jitters. That may even feature in the price of the Swiss Franc.

Mimi nimejiwekea kanuni kwamba hela ninazoweka hukonina uwezowa kuzipoteza.

Investment za haya mambo ni as much money management as it is strategy.

I never throw in something I can't earn otherwise in a month.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom