Watu ni waongo sana au unapiga hela kwa wapi mjomba?Mkuu leo weekend soko limefungwa[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Benki zote zenye visa au mastercard. Au benk zote zinazo support online payment!!kwa bongo ni bank zipi na zipi??
Leo jumamosi mkuu!!Nimeanza leo Kupiga Hela. Asante ONTARIO
Benki zote zenye visa au mastercard. Au benk zote zinazo support online payment!!
Oil ipo nyingi sokoniEUR inaanguka sanaa Leo sijui kuna news gani mbaya.....
Forex demo account inahitaki email tuu na passwordm
msaada wako mkuu,nimefungua demo account kupitia XM na nikapata ID no ila kila nikijaribu kulog in inashindikana,naomba kujua sehemu nyingine ambayo naweza kufungua demo account bila usumbufu...nataka ni practice niliyokwisha yasoma.
Siyp benki zote zenye visa unaweza kuzitumia kupokelea malipo toka nje ya nchi kwa njia ya VISA/Master. Kuna benki nyingine ni vimeo haswa, wakiongozwa na NBC.
Hii ni kwa ajili yako mkuu sana Lodrick Thomas pamoja na infant traders wengine.Theoretically inatakiwa ziwe na huo uwezo. Ila baadhi ni kweli zinazingua na zina usumbufu!! Mfano mzuri ni hizi benki kongwe!!
Kaka Lody, this is a down to earth feedback, so emotional. Such an inspiration. Hivi unadhani mimi najisikiaje, kushare knowledge na watanzania wenzangu, kisha iyo knowledge inakua life changer?? Just kwa vitabu nilivyoshare na motivation imekufanya uweze kutengeneza elfu 60 in few hours, tuseme tu ukweli watu, ni wangapi wamenunua Toyota Carry kwa mil 10 na kwa siku hawapati nusu ya hiyo 60,000?? Fikiria kama ukija class na kupata knowledge zaidi. I just love the results bro... Hongera sana BOSS Let's make this journey real, tuwaaibishe wachawi.
Trust me huwezi kupata watu wenye moyo kama wa Bavaria, it's just tooooooo expensive. Nakwambia ukweli, watu wa kwanza kukuvunja moyo ni forex traders wakongwe wenye roho mbaya. Hata kwenye huu uzi kuna forex traders wamechukia sana. I know what I am saying. Personally nimesumbuliwa sana na traders ambao ninawaheshimu sana - mtu ananiuliza Sasa Jeff umefanya Upvmbavu gani kutangaza forex?. Mimi nasema usivunjike moyo boss.
Tutafika, the journey might be tough lkn tutafika tu. Sasa ona hii screen shot. (Huyu ni mmoja ya wanafunzi wa mentor wangu, ambae huyu mentor (south African) amekubali kuja Bongo kwajili ya kunisupport so atakua ktk team. Hongera tena boss.
Mtu anapiga 310,000 kutumia 280,000 tena ndani ya masaa kadhaa tu.
=============================
Ungeniuliza kuhusu broker ninayemtumia mimi, ukifanya deposit yoyote unapata bonus ya 25% ya pesa uliyoweka.
Mkuu kwani ni mimi au huyo jomba[emoji15] [emoji15] [emoji15]Watu ni waongo sana au unapiga hela kwa wapi mjomba?
Kwanza nimpe mkuu Lodrick Thomas Hongera kwa uthubutu kwan kupitia makosa yake madogo madogo tunajifunza mengi lakini Pia nizilete shukrani zangu kwako mkuu ONTARIO kwa kuendelea kua na sisi vijana wako wasumbufu kwa muda wote bila kuchoka ni moyo wakipekee sana ambao wengi wetu tunapaswa kujifunza kutoka kwako, Zaidi nakuombea kwa Mungu Lengo lako litimie na soon as possible Utualike Darasani, haya makosa madogo madogo yakina Lodrick Thomas na wengi huko utayamaliza. Thank you Much na Mungu awe pamoja nasi.Hii ni kwa ajili yako mkuu sana Lodrick Thomas pamoja na infant traders wengine.
Naona umeingia live, hongera sana kwa uthubutu uliochukua, so impressing. Lakini nashangaa unafanya makosa ambayo ni very obvious hutakiwa kufanya. As I said earlier, There's a very thin line separating forex and gambling, mstari unaotenganisha FX na betting ni mwembamba sana. Kuna picha (screen shot) ulishare, 1 kwa 1 niseme unachokifanya si financial trading bali ni gambling.
Edited: screen shot ya Lodrick
Kwenye fx, Ukifanya analysis unatoka na conclusion 1 tu; Either to buy or to sell or to stay away from the market... and the most important thing is ni kuanalyse entry point and exit point. Lazima utambue kuwa it takes the same skills and efforts to realise there isn't a trade as it takes to find a trade
Ulichokifanya kwenye hiyo screen shot ni indiscipline, utovu wa nidhamu. Haiwezekani same currency EURUSD ukasell na ukaBuy [emoji23] [emoji23] . Yani ni utovu wa hali ya juu sana in forex. Yani hapo maana yake ni liwalo na liwe - cha kufia nini (kama ulipita jeshi). Hapo ulipaswa ufunge trades za sell na kuacha za buy zirun or vise versa. Na kama haukua na uhakika bora ungelikimbia soko hadi opportunity ije.
FX ni kama biashara zingine boss, kama hakuna fursa basi hakuna haja ya kufanya biashara. Ni jambo la ajabu sana mtu akaenda Rorya vijijini huko kisha akafungua massage parlour, sawa na FX yani hauoni fursa lkn unalazimisha kutrade.
Kuuza na kununua currency pair 1 boss ni kosa litakuja kuunguza a/c yako kama ukiliendekeza. Yani ni jambo la ajabu sana unakuta mtu yupo kwenye Buy ya XAU/USD at the same time yupo kwenye sell ya AUDUSD. Au unakuta mtu anauza Aussie (AUDUSD) na muda huo huo ananunua kiwi (NZDUSD). Yani ni nidhamu ya kiwango cha standard gauge. Au unakuta mtu amebuy Brent oil (USOIL) at the same time yupo ktk buy ya USDCAD.
●●But usiwe na presha ndipo tulipotoka bro... Tutaelezeana mdogo mdogo - lkn ukiwa na haraka haraka, unaeza kujifunza kwa njia ngumu na ndefu sn.
Wiki iliyopita currencies zilikua hazijakaa poa sana, hasa pairs za USD. Kuna yule Kijana wangu mmoja akaingia buy USDCAD alivyonitumia screen shot, nikashtuka sana maana tyr alikua ana loss ya -60 USD. Nikamwambia funga positions zote, kisha nikamwambia nunua mafuta chap chap - Dogo akaingia sokoni akanunua mafuta, ndani ya muda wa km siku 2 akagonga zake $140 tukaifunga wiki kwa amani.
Edited: screen shot ya jamaa'ngu.
==============================
Edited:
Pia kwa lot size unayotumia eeishhh. Itakuchukua muda mfupi sana kutia kiberiti account yako. Kijana wangu alianza $150 (though sikukubaliana naye - hakukua na jinsi) mpk leo account yake ina balance ya 437... lkn anatumia lot za 0.01 mwisho kbs ni 0.02 kama nikimruhusu. Unachokifanya wewe kwa account ya $70 kutumia lot ya 0.23 ni uncalculated risk ama uroho. Boss forex ukiiletea uhoro inakuchambua kama karanga.
Hii ni kwa ajili yako mkuu sana Lodrick Thomas pamoja na infant traders wengine.

Hahahaha.. Nimecheka kwa sauti eti kufungua massage parlour rorya mfano halisi sana huu.. Me ndomana nahangaika sana kujua kufanya analysis maana kweli ctaki mambo yakuingia nakufanya gambling pair moja ioio una sell na kubuy ili ukikosa upande huu upate mwingne.. Kwangu naona kujua kufanya analysis is everything!! And am here patiently waitn for your class mkuu ONTARIO i believe in learning from the pro's!!Hii ni kwa ajili yako mkuu sana Lodrick Thomas pamoja na infant traders wengine.