Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,583
It takes much skill,practice and even losses to perfect the craft. Not that one can quite perfect the market.Damn. Profits looks too seductive. Let me finish with forex first! [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It takes much skill,practice and even losses to perfect the craft. Not that one can quite perfect the market.Damn. Profits looks too seductive. Let me finish with forex first! [emoji3]
Hiyo kwenye live account.
I am too cocky to stick to demo.
Nakupa motisha.Duuu tupe mzuka kwa screenshot mkuu tuone
Nakupa motisha.
Hii ni account baada ya kuondoa mingo za jana kuzirudisha katika bank account yangu nisije kula mtaji.
Hii ni kazi ya saa 3 tu za kuli time gurudumu la GBP/USD lilivyo kwenda.
Nimeweka kama $450 baada ya masaa matatu nimeibuka na 1457.50.
Ona screenshot
View attachment 533272
Haina noma.Polepole. Unaweza kuangalia Demo yao. Wanahitaji Visa/Mastercard ku register. Kama nakumbuka vizuri huhitaji kulipia ilikutumia demo.Umenipa hamasa ya kusonga mbele. Big Up mkuuu
![]()
Kesho nazipeleka First National Bank Kwa ajili ya forex trading,nitaanza kutrade baada ya ONTARIO kuniruhusu; ni ka $1000 nadhani katatosha Kwa kuanzia.
Nimejaribu kuchek demo sion tanzania kwenye choose country.Haina noma.Polepole. Unaweza kuangalia Demo yao. Wanahitaji Visa/Mastercard ku register. Kama nakumbuka vizuri huhitaji kulipia ilikutumia demo.
Nakupa motisha.
Hii ni account baada ya kuondoa mingo za jana kuzirudisha katika bank account yangu nisije kula mtaji.
Hii ni kazi ya saa 3 tu za kuli time gurudumu la GBP/USD lilivyo kwenda.
Nimeweka kama $450 baada ya masaa matatu nimeibuka na 1457.50.
Ona screenshot
View attachment 533272
Basi watakuwa hawajajifungua kufanya biashara Tanzania.Nimejaribu kuchek demo sion tanzania kwenye choose country.
Forex.com sijaitumia sana, lakini naona iko kwenye kununua na kuuza Forex. Unanunua Forex na kuuza unavyotakaHii unayotumia inatofauti gani na IQOption , ExpertOption na FOREX.com Naomba ufafanuzi tafadhali maana nais kama zinanichanganya.
Dont trade the money that you cant afford to lose.![]()
Kesho nazipeleka First National Bank Kwa ajili ya forex trading,nitaanza kutrade baada ya ONTARIO kuniruhusu; ni ka $1000 nadhani katatosha Kwa kuanzia.
Lazima hizo log in credentials uziweke kwenye MT4 utakayoidownload kupitia web ya XM.m
msaada wako mkuu,nimefungua demo account kupitia XM na nikapata ID no ila kila nikijaribu kulog in inashindikana,naomba kujua sehemu nyingine ambayo naweza kufungua demo account bila usumbufu...nataka ni practice niliyokwisha yasoma.