Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
63b5fdb2bb16806d834f420e805b2c6f.jpg

Kesho nazipeleka First National Bank Kwa ajili ya forex trading,nitaanza kutrade baada ya ONTARIO kuniruhusu; ni ka $1000 nadhani katatosha Kwa kuanzia.
 
Duuu tupe mzuka kwa screenshot mkuu tuone
Nakupa motisha.

Hii ni account baada ya kuondoa mingo za jana kuzirudisha katika bank account yangu nisije kula mtaji.

Hii ni kazi ya saa 3 tu za kuli time gurudumu la GBP/USD lilivyo kwenda.

Nimeweka kama $450 baada ya masaa matatu nimeibuka na 1457.50.

Ona screenshot

Nadex2.JPG
 
Nakupa motisha.

Hii ni account baada ya kuondoa mingo za jana kuzirudisha katika bank account yangu nisije kula mtaji.

Hii ni kazi ya saa 3 tu za kuli time gurudumu la GBP/USD lilivyo kwenda.

Nimeweka kama $450 baada ya masaa matatu nimeibuka na 1457.50.

Ona screenshot

View attachment 533272

Umenipa hamasa ya kusonga mbele. Big Up mkuuu
 
Haina noma.Polepole. Unaweza kuangalia Demo yao. Wanahitaji Visa/Mastercard ku register. Kama nakumbuka vizuri huhitaji kulipia ilikutumia demo.
Nimejaribu kuchek demo sion tanzania kwenye choose country.
 
Nakupa motisha.

Hii ni account baada ya kuondoa mingo za jana kuzirudisha katika bank account yangu nisije kula mtaji.

Hii ni kazi ya saa 3 tu za kuli time gurudumu la GBP/USD lilivyo kwenda.

Nimeweka kama $450 baada ya masaa matatu nimeibuka na 1457.50.

Ona screenshot

View attachment 533272

Hii unayotumia inatofauti gani na IQOption , ExpertOption na FOREX.com Naomba ufafanuzi tafadhali maana nais kama zinanichanganya.
 
Hii unayotumia inatofauti gani na IQOption , ExpertOption na FOREX.com Naomba ufafanuzi tafadhali maana nais kama zinanichanganya.
Forex.com sijaitumia sana, lakini naona iko kwenye kununua na kuuza Forex. Unanunua Forex na kuuza unavyotaka

Hii ni option trading, unaotea GBP/USD itakuwa wapi kwenye market in 3hrs, 6 hrs etc, ukipatia, kwa mujibu wa soko lilivyo, unakula bingo. Ukikosea, unaliwa. Hununui Forex, unabashiri mwendo wa Forex (au hata indices, commodities etc)

Kuna mtu kaandika vizuri advantages na disadvantages za Binary Options hapa, chekilink.

The Advantages & Disadvantages of Binary Options Trading
 
63b5fdb2bb16806d834f420e805b2c6f.jpg

Kesho nazipeleka First National Bank Kwa ajili ya forex trading,nitaanza kutrade baada ya ONTARIO kuniruhusu; ni ka $1000 nadhani katatosha Kwa kuanzia.
Dont trade the money that you cant afford to lose.
If you lose such amount lets say on first days will you be just normal and deposit the same again?

By the way goodluck mkuu na hongera kwa kuchukua hatua.
May pips be with us.
 
JE UNAUNGUZAJE ACCOUNT?

Kwanza nianze kwa kutoa pongezi kwa umoja wa nchi za ulaya maana this week shiling yao imefanya vizuri sana, pia nitoe pole kwa USA ambaye week hii shilingi yake imepitia wakati mgumu sana!!

Leo nimeona si mbaya tukijulisha ni vipi unaweza unguza account?? na je ni vipi unaweza jiepusha na kuunguza account??

Tuanze na hii interface ya MT4 kama inavyoonekana...



Screenshot_20170630-210927.png


Kutoka kwenye picha...

Balance.


Hii inaonyesha kiwango ulichoweka ukijumlisha na faida. Open positions hazina effect kwenye balance. Balance inabadilika ikiwa tu ume close position either kwa loss au faida!

Equity/Trading equity.

Hiki nikwango cha pesa utachobaki nacho ikiwa positions zote zimefungwa. Kwa lugha rahisi ni jumla inayobaki baada ya kutoa hasara na ukijumlisha faida katika kila position zinazo-run (unrealized profit and loss).

Equity = Balance – unrealized loss or profit.

So ukiwa huna running positions, Equity = Balance.

Kama ukiwa na open trades/position mara nyingi balance inakua kubwa kuliko equity.

Margin

Ni kiasi cha pesa kinachohitajika ili ku-open positions. Ukiwa na margin ndogo huwezi kufungua position au hutaweza kufungua trades! Hiki kiasi kinatolewa kwenye equity ili uweze ku-open new positions.

Margin Level

Hii ni ratio ya Equity na Margin

Margin level = (Equity/Margin) *100

Equity ikiwa kubwa margin level pia inakua kubwa, Margin ikiwa kubwa Equity inakua ndogo.

SASA NI VIPI UNAUNGUZA ACCOUNT?

Kabla sijasema ningependa niongeze maneno mawili ili twende pamoja!

Rejea hii formula…

Margin level = (Equity/Margin) *100

1. Margin call

Hii ni level ya margin level ambayo ikifikiwa tu, kwanza unapewa warning na broker wako kwamba hauna kiasi cha kutosha kufungua new positions au kuhimili positions zinazorun hasa zinazorun in loss!! Kila broker ana level yake ya marginal call, wengi ni 50% ila wengine mpaka 100% of marginal level!

Ikiwa equity ni ndogo kuliko margin, hapa ndio tatizo linapoanza. Na ikiwa kiwango cha equity ni nusu ya margin hapa utapewa warning na broker wako!!

Stop out level

Hii level inafikiwa ikiwa Equity level ni ndogo sana kuliko margin. Mfano margin level ikifika 20% (hii inategemea na brokers, inatofautiana) hapa ndio utaona moto unawake kwenye account yako! Wataanza kufunga position moja baada ya nyingine! Mara nyingi wanaanza na position yenye loss kubwa!!

Jua wakiwa wanafunga positions wanakata ile loss ya kila position mfano kama una loss ya -12 USD wataikata kwenye balance yako mpaka zote ziishe!!

Na ikifikia hii level jua ndio account imeungua!!

JUST A PIECE OF ADVICE!

Wakati unachagua broker usiangalie tu mwenye bonus jitahidi pia kuangalia broker mwenye margin call ndogo na Zaidi ya yote angalia broker mwenye margin stop out level ndogo kwa usalama wako!!

Na wakati una trade hakikisha marigin level haishuki chini ya 50%

Angalia leverage unayotumia isiwe kubwa sana(unaweza pia kuchagua kubwa ila uwe makini), pia kuwa makini unapofungua positions (zenye position size kubwa) nyingi zinazorun katika loss maana hizi mara nyingi ndio chanzo cha kuunguza account!!!

Tuko pamoja!!

Lodrick Thomas (Eng.)
 
m

msaada wako mkuu,nimefungua demo account kupitia XM na nikapata ID no ila kila nikijaribu kulog in inashindikana,naomba kujua sehemu nyingine ambayo naweza kufungua demo account bila usumbufu...nataka ni practice niliyokwisha yasoma.
Lazima hizo log in credentials uziweke kwenye MT4 utakayoidownload kupitia web ya XM.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom