Proffesor
JF-Expert Member
- Aug 13, 2014
- 2,164
- 2,968
Naona Eur inaanza kurud.. bila shaka hiz news za CPI zinaipanguvu EUR....!EUR inaanguka sanaa Leo sijui kuna news gani mbaya.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona Eur inaanza kurud.. bila shaka hiz news za CPI zinaipanguvu EUR....!EUR inaanguka sanaa Leo sijui kuna news gani mbaya.....
Hapo tatizo yawezekana ni server. Katika login position ya XM kuna server number uchague. Na katika email ya confirmation ukiisoma vizuri utakuta wamekwambia kuwa hiyo user id yako ipo valid na unaweza kulogin katika server gani. So rudi katika confirmation email na usome vizuri maelezo.hope utafanikiwa.
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dadadeki ndoto no ehida sanawadau mpo...
embu tufurai pamoja leo, kama vile bavaria alivyoota kua ipo cku tutagonga glasi pa1 kwe lounge ye2, hopefully 1 day yeeees.
Baada yakua nawaza sana haya mambo. na kua na hamu nayo kwa hamu huku nkijitaid sana kukaza msuli as if nina UE, leo ikanijia kwe njozi usiku,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Kwanza baada ya mkuu Ontario kutoa mualiko. Na mm mbio kufika eneo la tukio nmekuta watu kama 500 na ushehee wote wametokea kwe mualiko.
wale ma mentor wenyewe wakachoka hawaelew waanzie wap...
Huku na huku wakaamua wapitishe kama intro au watupige brash ili kila m2 anogewe baada ya hapo ndio ndio mchujo utembee.
basi hapo kila m2 anulizana huyo ontario ndio nani, mwenyewe yupo ndani tu hajatokeza nje.
basi wakachek ukumbi flani kwa pemben tukaamishiwa apo japo kwa kubanana maana ni nyomi balaaa.
tamko ni kua wale wanaojiamin wapo vzr upande huu wale wasiojiamin upande huu.
mara pindi likaanza pale jamaa anfundisha kwa live account, ile kufunga macho na kufumbua kagonga pound kama 2000 hivi,
akauliza rate ya pound to tshs akaambia kama 2840, ktk calculation katoa kama 5mill.
bas kuna dada alipiga ukunga kwa nyuma yangu kastua vby, kuja kustuka kumbe c dad wala nn ni nn basi. NI CM YANGU INAPIGA ALARM YAKUNIAMSHA SA11 ALFAJIRIIIII.
imenikata stimu vby nusura niipige kwe ukuta. hahahahahahhahahhaah
ni hayo tu yaliyonikuta usiku wa leoooo,
msinicheke sana japo kwa step teh teeh teh teh teeeeh.
tchaooooooo
Cha kwanza elimuNi vigezo gani vinatumiks sasa kuingia kwenye hii ishu
Kapicha hakahapaHata kapicha chief....
JPMWadau XM na JPM market wapi wazuri??
yani
kitabu cha astrofx kipo page namba ngapi humu?nikipakue,nisaidie mkuu
Umetisha mkuuKapicha hakahapa
GBPUSD FX Cross Rate - compare foreign exchange rates – FT.com
Zaidi ya hapo Magufuli anaweza kudai kodi halafu ikawa tabu.
Jana options za mchana nimekula, za kufunga saa tano usiku nimeliwa, nikakataa kushindwa, nikataka ku revenge kwa adabu.
Nimeweka USD 450 kwenye GBP/USD kuamka asubuhi nimekuta zime double karibu $ 900.
Naendeleza libeneke.Nusu naziacha, nusu nazirudisha katika mzunguko. Weekend inaanza vizuri.
Na sasa bado napiga GBP/USD kwenye binary option.
Au vipi?
my furendi fx trading unaambiwa don work for money work fo pip.Umetisha mkuu
Hahahaha,Umetisha mkuu
Bado uko DEMO AC$1457 profit on 3 hours work option trading GBP/USD on NADEX ( www.nadex.com).
The Pound has been good today.
Closed the trade at 93% to protect gains.One has to know where to enter and where to exit.Being too greedy can cause the gains to backslide.
Not a bad days work.
I do not want to jinx it. This weekend is starting well.
Have a good weekend y'all.
Damn. Profits looks too seductive. Let me finish with forex first! [emoji3]$1457 profit on 3 hours work option trading GBP/USD on NADEX ( www.nadex.com).
The Pound has been good today.
Closed the trade at 93% to protect gains.One has to know where to enter and where to exit.Being too greedy can cause the gains to backslide.
Not a bad days work.
I do not want to jinx it. This weekend is starting well.
Have a good weekend y'all.
Nadex mbona kama ni binary option mkuu$1457 profit on 3 hours work option trading GBP/USD on NADEX ( www.nadex.com).
The Pound has been good today.
Closed the trade at 93% to protect gains.One has to know where to enter and where to exit.Being too greedy can cause the gains to backslide.
Not a bad days work.
I do not want to jinx it. This weekend is starting well.
Have a good weekend y'all.
Hiyo kwenye live account.Bado uko DEMO AC
That's what I do.Nadex mbona kama ni binary option mkuu
Yaaa utulivu unahitajika .....soon tutakua nondoNaanza pata uelewa wa hii kitu taratibu sasa