Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
2c7a56381972dc26d05f422042487b8e.jpg
few hours of scalping,hii ni real acc nimeanza leo bandugu.
Mkuu umedeposit na bank gani
 
  • Thanks
Reactions: MC7
wakuu i salute you all
msaada wa jinsi ya kudownload Meta trader, kila nikidownload nashindwa kuiinstol, msaada wakuu, nifanye gan
 
m
Kwa beginer sishauri zaidi kutrade NEWS. Sio salama kwasababu huwezi jua market movers wana digest vipi hizo news.
msaada wako mkuu,nimefungua demo account kupitia XM na nikapata ID no ila kila nikijaribu kulog in inashindikana,naomba kujua sehemu nyingine ambayo naweza kufungua demo account bila usumbufu...nataka ni practice niliyokwisha yasoma.
 
Wadau XM na JPM market wapi wazuri??
 
Hi! Naomba ile list ya vitabu alivyoshauri ONTARIO, vya kuanza navyo au viko page gani wakuu.
Pia naomba bosses kwenye ile number ya 300 nisiachwe pls pls.
 
EUR/USD ikishuka chini ya 1.1400 katika masaa mawili nakula mpaka $9975 (kutegemea na soko), ikiwa juu ya 1.1400 naliwa $25 kwa position hii. Highly unlikely given the trend.

Not a bad bet,just in case something tanks unceremoniously.

Especially because, during the last minutes, if the market does not tank and people have not taken my position, I can withdraw and not lose even the $25.

Meanwhile kuna positions nyingine nimeweka EUR/USD ikiwa juu ya 1.1400 katika masaa mawili nakula mpaka $2,000.

Nimekaba kotekote.
Hata kapicha chief....
 
wadau mpo...
embu tufurai pamoja leo, kama vile bavaria alivyoota kua ipo cku tutagonga glasi pa1 kwe lounge ye2, hopefully 1 day yeeees.

Baada yakua nawaza sana haya mambo. na kua na hamu nayo kwa hamu huku nkijitaid sana kukaza msuli as if nina UE, leo ikanijia kwe njozi usiku,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Kwanza baada ya mkuu Ontario kutoa mualiko. Na mm mbio kufika eneo la tukio nmekuta watu kama 500 na ushehee wote wametokea kwe mualiko.
wale ma mentor wenyewe wakachoka hawaelew waanzie wap...
Huku na huku wakaamua wapitishe kama intro au watupige brash ili kila m2 anogewe baada ya hapo ndio ndio mchujo utembee.

basi hapo kila m2 anulizana huyo ontario ndio nani, mwenyewe yupo ndani tu hajatokeza nje.
basi wakachek ukumbi flani kwa pemben tukaamishiwa apo japo kwa kubanana maana ni nyomi balaaa.
tamko ni kua wale wanaojiamin wapo vzr upande huu wale wasiojiamin upande huu.

mara pindi likaanza pale jamaa anfundisha kwa live account, ile kufunga macho na kufumbua kagonga pound kama 2000 hivi,
akauliza rate ya pound to tshs akaambia kama 2840, ktk calculation katoa kama 5mill.

bas kuna dada alipiga ukunga kwa nyuma yangu kastua vby, kuja kustuka kumbe c dad wala nn ni nn basi. NI CM YANGU INAPIGA ALARM YAKUNIAMSHA SA11 ALFAJIRIIIII.
imenikata stimu vby nusura niipige kwe ukuta. hahahahahahhahahhaah

ni hayo tu yaliyonikuta usiku wa leoooo,
msinicheke sana japo kwa step teh teeh teh teh teeeeh.

tchaooooooo
 
upload_2017-6-30_11-15-49.png

Analyisis yangu kwenye EUR/JPY 15min chart inanionyesha Falling wedges pattern. Nitabuy trend yangu ikibreak upper line kwenye green arrow, Stop loss yangu itakuwa chini ya hiyo candle itakayobreak kwenye green arrow, na take profit yangu itakuwa sawa na distance ya blue dots. Niko sahihi bosses Bavaria na ONTARIO ?
 
m

msaada wako mkuu,nimefungua demo account kupitia XM na nikapata ID no ila kila nikijaribu kulog in inashindikana,naomba kujua sehemu nyingine ambayo naweza kufungua demo account bila usumbufu...nataka ni practice niliyokwisha yasoma.

Hapo tatizo yawezekana ni server. Katika login position ya XM kuna server number uchague. Na katika email ya confirmation ukiisoma vizuri utakuta wamekwambia kuwa hiyo user id yako ipo valid na unaweza kulogin katika server gani. So rudi katika confirmation email na usome vizuri maelezo.hope utafanikiwa.
 
View attachment 532904

Analyisis yangu kwenye EUR/JPY 15min chart inanionyesha Falling wedges pattern. Nitabuy trend yangu ikibreak upper line kwenye green arrow, Stop loss yangu itakuwa chini ya hiyo candle itakayobreak kwenye green arrow, na take profit yangu itakuwa sawa na distance ya blue dots. Niko sahihi bosses Bavaria na ONTARIO ?

Aisee hii trend line uliyoichora sidhani kama ipo perfect sababu imepita katika point chache na kuacha many colinear points ambazo zinaunganishwa na kupitiwa na trend line kwa wingi kuliko ulivyoichora wewe

Pia, na sijui uliichorea katika time frame gani hiyo line. Ila 15 minutes time frame is not suitable kuifanyia analysis na kurely final result kupitia 15 minutes analysis kwa sababu kunakuwa na noisy moves nyingi. Kupata final na clear picture ni vyema ukarely katika top downanalysis price action. Kama ni short term trade anza weekly anaysis, then daily, H4, H1.

Hivyo ni kwa jinsi nilivyosoma, kama kuna marekebisho our masters will hint em out.

CC : Ontario, Bavaria.
 
CC:Ontario, Bavaria.

Noted, ila kuna video niliangalia wanasema inatakiwa i touch at least mara tatu kwenye upper line na lower line kabla ya kubreak. na naona inaelekea kutimiza hiyo condition. ila ntatrade iwapo tu kama ita retest upper line.
 
Wakati nasoma undergraduate nilisoma hivi vitu darasani na nilivyopanda juu zaidi nikafundishwa tena kuhusu forex na nikaipenda sana na nikachukua jitihada za kujiendeleza zaidi kwa kusoma zaidi kuhusu forex na jinsi inafanya kazi na nikawa namfuatilia sana kijana bwana mdogo, Sandile Shezi, mwenye uthubutu mkubwa mwanzilishi wa Global Forex Institute wa huko S.A. Sasa najua where to start and what to do. Asante sana ONTARIO naamini nami nitapata nafasi ya kujifunza zaidi na kupanuka zaidi kwa elimu hii. Natamani kuwa Forex Investment Analyst mzuriiiiii mbobezi.
 
Noted, ila kuna video niliangalia wanasema inatakiwa i touch at least mara tatu kwenye upper line na lower line kabla ya kubreak. na naona inaelekea kutimiza hiyo condition. ila ntatrade iwapo tu kama ita retest upper line.

Cheki video za huyu jamaa. Ameelezea in and out how to draw support and resistance, What is true support and resistance, how to detrmine true support and resistance. Hope zitakupa mwanga.

Ni biashara inayohitaji uelewa wa hali ya juu aisee nadhani ungeweka link tuingie kati ya hao 300 ingekuwa bomba zaidi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom