Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Aisee hiyo pair ni pasua kichwa kwa nilivyoona. Though kama ningekuwa natrade ningeingia kuanza analysis kwa kuweka tahadhari kuwa most probable USD itapata nguvu kwa wiki hii, na Euro itapoteza nguvu kwa wiki hii.
GBP/USD leo lazima mtu uwe na uzoefu wa kubadili gia angani, ama sivyo unaua bendi hivi hivi.
 
When I win let's win together, when I lose let's make losses together

Eish hectic day but it's worth it.

Wazee msione nipo kimya. It's never easy starting something from scratch into a reputable corporate entity. It takes time and concentration - foundation is everything, sitaki nianze kitu niishie kati. So, msione Jeff labda anadelay or something. Kuna jamaa hapo juu ana avatar ya rangi ya blue naona ananikejeli - while hajui nini nafanya na nini kinaniconsume time zaidi.

Kuandaa syllabus ya FX si sawa na syllabus ya Jogi ya form 2. It takes time. But soon mambo yakiwa sawa, inshaallah tutanzaa. Mimi tayari nimeapa afe simba afe mmasai, afe beki afe kipa, we will take over. Sitaki kubahatisha - najua hata uelewa wetu unatofautiana sana, so lazima nifanye kitu ambacho kinaweza kua consumed and absorbed hata na form 4 re-seater.

My boy is winning big time, we are winning and losing together

That boy is going places, he trades what I trade and he learns through it, tunatofautiana tu lot size. Ukiachilia mbali currencies leo tumetrade utamu mwingine, achana na mafuta. Tumeingia soko la Frankfurt na kutrade Germany Stock Index (DE30 ama DAX) - hii inainclude makampuni 30 makubwa zaidi ya ujerumani yenye liquidity kubwa kama Adidas, BMW nk.

Dogo leo kapiga mshahara wa Lecturer (kama tukisema lecturer analipwa kwa siku 267,000). It makes me a happy man. The boy doing it again, jaza ujazwe!!

Guys!! Tuache papara, let's be ready to learn and acquire knowledge na skills - money will flow through. Watu kama huyo jamaa post no. 4632 ni aina ya watu ambao hata ufanyaje, he'll still come back and point a finger at you.
 
Mi ndo nazidi kua na uchu wa kusoma mkuu anaposema anapiga mishara ya watu wakubwa within hours... I hope soon tutakuja kuzungumza lugha moja ya hiyo mishahara. Bado tunasubiri
 
Mazee wengine tutoe kwenye mkumbohuo.

Mimi ni mtu ambaye sipendi kuanika mambo yangu personal, lakini kuna watu wameniomba mpaka portfolio yangu nimeweka screenshot hapa.

Na vitabu nimeweka.

Naomba uniondoe katika mkumbo huo.

Kumpa mtu kitabu ni nako msaada maana mtu hajui chochote kuhusu FOREX leo unampa kitabu akasome uon kama ndo umempoteza kabsa. Basi kama vitabu ni msaada tusingekuwa tunapelekwa shule kufundisha tungekuwa tunapewa vitabu tukasome nyumbani. Mpe mtu basic kuhusu FOREX na BROKER gani mzuri n.k. FOREX ni kama Programming language(kwa watu wa IT wanaelewa) lazima uwe na basic ya kufundisha kwanza ndo ukatafute material mengine. Kama humu JF hawezekani kufundisha weka mazingira rafik ata ya kulipia kwa bei rafik watu wasome .
 
Mbona yote watu washafanya sana humu.

Mbona wote tunajifunza hapa, kwani kuna guru wa forex hapa?

Kuna mtu kalalamika kapewa kitabu lugha hajui.

Sasa mtu hajui Kiingereza anatakakufanya Forex, turudi kuanza kumfundisha Kiingereza?

Mbona na mimi najifunza humo humo kwenye vitabu na online na nimepiga hela nzuri last week, wiki hii nimeanza kupigwa GBP/USD nikabadili gia angani AUD/JPY mpaka sasa napiga?

Hakuna mtu hata mmoja aliyenifundisha zaidi ya kusoma mambo mwenyewe tu.

Mtu kama hana ubishi na utashi wa kujua hata umfundishe vipi hataweza, na mwenye ubishi na utashi wa kutaka kujua hata ukimpa kitabu hajui Kiingereza ataenda kukisoma kwa kamusi ya Kiswahili na Kiingereza mpaka ajue.
 
mkuu usitufanyie hivo, tutajie jina la broker wako tafadhali , hapo umesema mambo ya germany stock index, ukitutajia na broker mwenye full vitu kama hivo itakuwa vizuri zaidi
 
funguka unahitaji nini maana unalalamika bila sababu , yani ushapewa chakula unataka na kutafuniwa, kwetu sisi wengine hii post tu ni elimu tosha,
 
Ndomana forex sio ya kila mtu.. Sasa wewe unataka mtu aanze kuambiwa tu broker flani ndo mzuri bila idea yoyote forex ni nini.. Ni sawa na mtoto asiejua kusoma wala kuandika af siku ya kwanza shuleni unaanza kumkremisha ile halo helena cjui beberu chinja na nini huko cjui..
Books ndo foundation yenyewe ya forex kwa mtu asiejua chochote about forex we kama ni mvivu kusoma ni wewe ila wengi hapa ambao tumeijua forex kupitia uzi huu vitabu ndio vimetumulikia njia na kututoa matongotongo nakushangaa sana wewe unaekosoa utumiaji wa vitabu unataka mtu akaanze kupigwa pindi moja kwa moja, na hapo ndo inakua rahic kudanganywa sabab huna knowledge yoyote iyosoma kutoka kwenye authentic source (vitabu).
Watch it..!![emoji121]
 
mkuu usitufanyie hivo, tutajie jina la broker wako tafadhali , hapo umesema mambo ya germany stock index, ukitutajia na broker mwenye full vitu kama hivo itakuwa vizuri zaidi
Boss niambie utatumiaje last kiss au busu la mwisho ili kuepuka fake-out kama PA trader soko likiwa kwenye drifting mood??

Watu kama nyinyi ndio wa kwanza kurusha matusi mkishachoma accounts zenu. Kama una haraka sana do what's best boss wala simkatazi myu. Forex bila patience ni sawa na kujitekenya tekenya, sasa kama unakosa patience ndogo utaweza kuhandle manyota nyota ya soko.
 

Halooo
 

Swali gumu sana hilo mbona. Kitendo cha kutojua broker wako mpaka sasa maana yake sio mtu makini maana ukifuatilia hii thread kwa makini atamjua tu broker wako wa sasa na wa awali uliyekuwa una mtumia
 
funguka unahitaji nini maana unalalamika bila sababu , yani ushapewa chakula unataka na kutafuniwa, kwetu sisi wengine hii post tu ni elimu tosha,
Mimi kawaida mtu akinipa kitabu nacheza nacho kama kuna sehemu sijaelewa nakwenda kumuuliza na swali specific.

Sasa unless mtu hajui lugha ya hicho kitabu, akilalamika bila specifics wakati kashapewa pa kuanzia, naweza kumuona legelege.

Na hili gwaride halitaki watu legelege. Inawezekana mara nyingine mtu akatakiwa kufanya research ya developing events kuhusu positions zilizo live. Federal Reserve Chair Yellen akikohoa huko kuhusu muelekeo wa interest rates markets zinaanguka na kupanda.

Unatakiwa ujue yote hayo na ku deal na situations kama hizo.

Sasa mtu ambaye kashindwa kusoma kitabu static akilalamika bila specifics kwangu mimi naweza kuona kama hayuko tayari kwa hizi habari.

Akishindwa kusoma kitabu kujua theory tu ataweza kufanya research wakati ana positions live ili ku mitigate losses?
 
Sasa huyu anataka kuambiwa broker fulani mzuri hata yeye mwenyewe hajui anachotaka nini.

Mzuri wa nini?
 
Hapo ni kweli,hii kitu haiitaji papara,inabidi mtu uinvest time kusoma.mim nipo mezani hapa.taratibu,mambo yanaeleweka.ni kupata mwongozo kidogo tu.mkuu usinisahau ktk training.niko napiga big shadow hapa.lets learn!...
Cc ontario
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…