Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,714
- 2,376
Hujaelewa my concern. Forex bussines imekuwepo out of reach kwa watanzania wengi kwa muda mrefu ilihali nje ya TZ imekuwepo kwa muda mrefu. Ni mwishoni mwa May mwaka huu wengi wa watanzania ndo tumeifahamu kama kuna kitu kama hicho.
Na nadiriki kusema wengi ambao hatukuwa na uelewa wa hii biashara ama tulikuwa na uelewa wa juujuu, na asilimia kubwa tumeifahamia hii biashara kupitia huu uzi na michango yake.
Sasa swali ni je, hao wanaonzisha page za kuhusu FX baada ya kuanzishwa hii thread katika mitandao mbalimbali ya kijamii, walikuwepo katika hii biashara kabla ya uzi huu kuzaliwa, walikuwa wapi siku zote kupromote hiki kitu.?, why wajitokeze recent, what is their motive.? Je tuwaweke katika kundi gani la maoputunists ama waalimu wa ukweli wenye nia ya kusaidia watu.
Maana ukiangalia wengi wa watanzania waliofungua na kuanzisha channels youtube, page facebook, instagram, wengi wao wameanza kujihusisha na haya mambo june ya mwaka huu ambapo hii thread tayari ilikuwa inaexist . Hiki kitu ukikifikiria katika 3D kinatia shaka kwa ustawi wa young traders na ameteurs kwani kuna hatari ya either kutapeliwa ama kupewa information ambazo si sahihi juu ya hii biashara kutokana na hao wanaoendesha hizo page integrity, commitment na dedication yao katika hiki kitu ni questionable.
Ninachokiona katika hili, kuna hatari ya ameteur traders ambao ni wajanjawajanja kujivika upro, na kuanza kuwafundisha ameteur traders wenzao ambao wana kiu ya kufahamu hiki kitu na kupata mafanikio.
Na kuhusu wakufunzi wapya wanaojitokeza kufundisha humu, naona haina shida kwani tayari humu kuna medium level traders ambao wanaweza kukosoa pale kitu cha uongo kinapotolewa kwa raia.
By the way huo ni mtazamo wangu na nimeliona hilo jambo katika angle hiyo na nimeongea hayo kwa kuwa posts nyingi za hao wanaojiita forex gurus kwa Tanzania zimeanza kuwepo mitandaoni baada ya mwezi may mwaka huu. Kitu ambacho ni very doubtful.
Wacha wafundishane, hayo ni madarasa tu, mwisho wa siku ni uelewa wa mtu na uwezo wake wa kufanya research sehem mbalimbali.