Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hujaelewa my concern. Forex bussines imekuwepo out of reach kwa watanzania wengi kwa muda mrefu ilihali nje ya TZ imekuwepo kwa muda mrefu. Ni mwishoni mwa May mwaka huu wengi wa watanzania ndo tumeifahamu kama kuna kitu kama hicho.

Na nadiriki kusema wengi ambao hatukuwa na uelewa wa hii biashara ama tulikuwa na uelewa wa juujuu, na asilimia kubwa tumeifahamia hii biashara kupitia huu uzi na michango yake.

Sasa swali ni je, hao wanaonzisha page za kuhusu FX baada ya kuanzishwa hii thread katika mitandao mbalimbali ya kijamii, walikuwepo katika hii biashara kabla ya uzi huu kuzaliwa, walikuwa wapi siku zote kupromote hiki kitu.?, why wajitokeze recent, what is their motive.? Je tuwaweke katika kundi gani la maoputunists ama waalimu wa ukweli wenye nia ya kusaidia watu.

Maana ukiangalia wengi wa watanzania waliofungua na kuanzisha channels youtube, page facebook, instagram, wengi wao wameanza kujihusisha na haya mambo june ya mwaka huu ambapo hii thread tayari ilikuwa inaexist . Hiki kitu ukikifikiria katika 3D kinatia shaka kwa ustawi wa young traders na ameteurs kwani kuna hatari ya either kutapeliwa ama kupewa information ambazo si sahihi juu ya hii biashara kutokana na hao wanaoendesha hizo page integrity, commitment na dedication yao katika hiki kitu ni questionable.

Ninachokiona katika hili, kuna hatari ya ameteur traders ambao ni wajanjawajanja kujivika upro, na kuanza kuwafundisha ameteur traders wenzao ambao wana kiu ya kufahamu hiki kitu na kupata mafanikio.

Na kuhusu wakufunzi wapya wanaojitokeza kufundisha humu, naona haina shida kwani tayari humu kuna medium level traders ambao wanaweza kukosoa pale kitu cha uongo kinapotolewa kwa raia.

By the way huo ni mtazamo wangu na nimeliona hilo jambo katika angle hiyo na nimeongea hayo kwa kuwa posts nyingi za hao wanaojiita forex gurus kwa Tanzania zimeanza kuwepo mitandaoni baada ya mwezi may mwaka huu. Kitu ambacho ni very doubtful.

Wacha wafundishane, hayo ni madarasa tu, mwisho wa siku ni uelewa wa mtu na uwezo wake wa kufanya research sehem mbalimbali.
 
Wana mnaniambiaje na GBP/USD leo? Ina rally past 1:30 ? Au inatuzingua tu itashuka?

Aisee hiyo pair ni pasua kichwa kwa nilivyoona. Though kama ningekuwa natrade ningeingia kuanza analysis kwa kuweka tahadhari kuwa most probable USD itapata nguvu kwa wiki hii, na Euro itapoteza nguvu kwa wiki hii.
 
Mkuu hukushare matokeo ya ile position uliyoweka ukasema liwalo na liwe, ilikuaje at the end.

Dah muda unakua finyu sana sisi wengine ku-concentrate
 
Wantanzania tulio weng tukigundua kitu kina maslai kukitoa public ni kazi sana itabak kupigwa chenga au mtu kukaa kimya. Ni bora ungekaa kimya toka awali kuliko kutupa mzuka na tukuacha tunaangaika na solution unayo. Ilo ndilo tatizo kulilo nalo watanzania.
 
Jamani broker gani ni mzuri, maana ukienda ETORO wanadai ni scam, ukija XM ni scam mara hatoi pesa.

Which is which friends.

Nani anatrade na Nani na je analipwa hela kwa Wakati. Kwamfano mm namtumia JPMarket kwa demo ila market watch yake iko hv na currency pair 5tu
c91c99b20806142ae24fa192c863be2c.jpg
 
Inachosha na si rafiki kwa wenye kipato cha chini..inataka wenye sound income to trade with such speculations. Thanks for the business idea.
 
Kwa watu walio mbeya town na tupo interested na hii kitu tunaweza kuwasiliana hata kukutana physically tukabadilishana experience, skills na pia kufanya mipango kwa pamoja tutahudhuria vp pindi za mkuu ontario
Mgekuwa Iringa tungeunda kikundi tupeane A,B,C na hata kumwalika siku moja akatupige msasa kisha tuendelee on our own
 
Jamani broker gani ni mzuri, maana ukienda ETORO wanadai ni scam, ukija XM ni scam mara hatoi pesa.

Which is which friends.

Nani anatrade na Nani na je analipwa hela kwa Wakati. Kwamfano mm namtumia JPMarket kwa demo ila market watch yake iko hv na currency pair 5tu
c91c99b20806142ae24fa192c863be2c.jpg
Right click kwenye izo pairs alaf kwenye options zitakazokuja chagua show all hapo pairs zitaongezeka
 
Wacha wafundishane, hayo ni madarasa tu, mwisho wa siku ni uelewa wa mtu na uwezo wake wa kufanya research sehem mbalimbali.
Hata mimi nashangaa mtu anavyoshikia bango nani kajua nini lini nakuanza kumfundisha nani nini wapi na lini.

Mtu kama huyo ana muda kweli.
 
Jamani broker gani ni mzuri, maana ukienda ETORO wanadai ni scam, ukija XM ni scam mara hatoi pesa.

Which is which friends.

Nani anatrade na Nani na je analipwa hela kwa Wakati. Kwamfano mm namtumia JPMarket kwa demo ila market watch yake iko hv na currency pair 5tu
c91c99b20806142ae24fa192c863be2c.jpg
check youtube jinsi ys kuongeza symbols.... currency pairs
 
Wantanzania tulio weng tukigundua kitu kina maslai kukitoa public ni kazi sana itabak kupigwa chenga au mtu kukaa kimya. Ni bora ungekaa kimya toka awali kuliko kutupa mzuka na tukuacha tunaangaika na solution unayo. Ilo ndilo tatizo kulilo nalo watanzania.
Mazee wengine tutoe kwenye mkumbohuo.

Mimi ni mtu ambaye sipendi kuanika mambo yangu personal, lakini kuna watu wameniomba mpaka portfolio yangu nimeweka screenshot hapa.

Na vitabu nimeweka.

Naomba uniondoe katika mkumbo huo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom