kiukweli Mimi huu Uzi nimeufatilia kwa umakini sana vitabu vyote nimedownload ila tatizo liko kwenye lugha, lugha jamani lugha!!!
Boss, Pita kushoto, Sio lazima utie mguu katika hili piaSwali gumu sana hilo mbona. Kitendo cha kutojua broker wako mpaka sasa maana yake sio mtu makini maana ukifuatilia hii thread kwa makini atamjua tu broker wako wa sasa na wa awali uliyekuwa una mtumia
mkuu usitufanyie hivo, tutajie jina la broker wako tafadhali , hapo umesema mambo ya germany stock index, ukitutajia na broker mwenye full vitu kama hivo itakuwa vizuri zaidi
Hongera kwa kujaribu mkuu.. Kwenye suala la spread uko sahihi kabisa broker analamba kwanza chake ndio unaanza kupata profit yako.Kwa mara ya kwanza na mimi nimejaribu kutrade through demo account kwa kuyumia pair ya GBPUSD na baadhi ya pair chache ambazo zinainvolve USD. Na hiki ndicho nilichokipata[emoji116]
[emoji117] Hizo loosing trade za juu ni kwasababu nilikuwa sijui when to buy and when to sale ndo maana trading nne zote za juu nikaingia loss
[emoji117] Pia katika siku yangu ya kwanza ya kutrade demo kuna vitu vichache nimejifunza... naomba wataalamu mnikosoe in case kama nitakiwa nimeenda wrong
Nimejua ni kwanini inashauriwa kuchagua broker ambaye ana spread ndogo kwa maana nilichokiona ni unapoexecute order whether uwe umebuy au umesell, the first thing ni kufill kwanza lile gap la spreap then ndio pips zianze kuwa counted.
Am still an amateur And I believe I can be a Pro... Nimekuwa inspired sana leo
cc Ontario Bavaria
wah gwaan [HASHTAG]#ontario[/HASHTAG]Boss niambie utatumiaje last kiss au busu la mwisho ili kuepuka fake-out kama PA trader soko likiwa kwenye drifting mood??
Watu kama nyinyi ndio wa kwanza kurusha matusi mkishachoma accounts zenu. Kama una haraka sana do what's best boss wala simkatazi myu. Forex bila patience ni sawa na kujitekenya tekenya, sasa kama unakosa patience ndogo utaweza kuhandle manyota nyota ya soko.
sasa hio hapo ni simu ama laptop..sijui nianzie wapi.hebu nisanue Chala'angu.Kama kawaida ya Forex, Patience is Everything! Kwa leo nimeanza na kufunga Gold(XAU/USD) nliokuwa nimei-short tokea ijumaa! Baada ya muda nikaona bado inazid kushuka na price action inaonesha kuwa itashuka mpaka key support ya chini, so nika-sell tena tokea asubuhi na mpaka jioni hii naona inaelekea kama nilivyotumaini
Kwa nyongeza, asubih niliona kuwa GBP/USD ipo kwenye uptrend lakin ilionesha dalili za kuretrace(kama kujirudi) kabla haijaendelea kupanda nikaamua kusell ili niweze pata faida japo kidogo kabla trend haijaendelea, kwa bahat nzuri nimewez ku-close kwa faida.
Pair nyingine niliyoweza kuingia ni USD/JPY ambayo mwanzo nilijua itashuka chini na kuvuka key level ya 111.8 lakini mpaka saa 4 asubuhi ilikuw juu ya 112.0 so nkaona itapanda mpaka karibu na key level ya 112.9 na ikizid inawez kwenda mpaka 114.2 ambayo n resistance, so nika-buy na kwel imewez kuvuka target ya kwanza (113.00) kwahiyo hapa nasubir kama itaniridhisha ni buy tena mpak 114.00 kama target ya polo.
Hizi ni screenshot za trade nilizofunga ikiwamo GBP/USD pamoja na USD/JPY (XAU/USD-Gold sijaifunga nasubiri take profit ifanye kazi yake).
NB: Natamani kuwa katika timu ya ontario, nitafurahi kama nitakua mwanafunzi wake, ontario popote ulipo naomba uyasikie maombi yangu!
Nawasilisha!
Mkuu tuko pamoja sana.. Zaidi nazidi kukuombea mambo yako yakamilike.. Ili darasa lianze.. Pia jaribu kufanya mambo yake vile we ulivyokusudia na kwa ubora unaoutarajia.. Ukisema nikufuatilia mawazo ya kila mtu huku.. Wengi tunasukumwa na munkari bila kujua uzote wa jambo.. So ni vema ukafanya jambo lako bila kutazama tunasema nn.. Muhimu nikuitunza heshima yako..!When I win let's win together, when I lose let's make losses together
Eish hectic day but it's worth it.
Wazee msione nipo kimya. It's never easy starting something from scratch into a reputable corporate entity. It takes time and concentration - foundation is everything, sitaki nianze kitu niishie kati. So, msione Jeff labda anadelay or something. Kuna jamaa hapo juu ana avatar ya rangi ya blue naona ananikejeli - while hajui nini nafanya na nini kinaniconsume time zaidi.
Kuandaa syllabus ya FX si sawa na syllabus ya Jogi ya form 2. It takes time. But soon mambo yakiwa sawa, inshaallah tutanzaa. Mimi tayari nimeapa afe simba afe mmasai, afe beki afe kipa, we will take over. Sitaki kubahatisha - najua hata uelewa wetu unatofautiana sana, so lazima nifanye kitu ambacho kinaweza kua consumed and absorbed hata na form 4 re-seater.
My boy is winning big time, we are winning and losing together
That boy is going places, he trades what I trade and he learns through it, tunatofautiana tu lot size. Ukiachilia mbali currencies leo tumetrade utamu mwingine, achana na mafuta. Tumeingia soko la Frankfurt na kutrade Germany Stock Index (DE30 ama DAX) - hii inainclude makampuni 30 makubwa zaidi ya ujerumani yenye liquidity kubwa kama Adidas, BMW nk.
Dogo leo kapiga mshahara wa Lecturer (kama tukisema lecturer analipwa kwa siku 267,000). It makes me a happy man.The boy doing it again, jaza ujazwe!!
Guys!! Tuache papara, let's be ready to learn and acquire knowledge na skills - money will flow through. Watu kama huyo jamaa post no. 4632 ni aina ya watu ambao hata ufanyaje, he'll still come back and point a finger at you.
Kwa watu walio mbeya town na tupo interested na hii kitu tunaweza kuwasiliana hata kukutana physically tukabadilishana experience, skills na pia kufanya mipango kwa pamoja tutahudhuria vp pindi za mkuu ontario
Sina haraka mkuu, i only wanted to do some research regarding huyo broker myself,as far as i know mabroker wazuri wanatoza some fees, bure ni gharama,, ila i understand why hawezi kumuanika hapa,Kwenye kampuni yoyote ile duniani kuna kitu kinaitwa trade secrets ni kitu ukijichanganya tu...wewe kama mwekezaji umeliwa mazima...
Sasa kny suala la kujua ni broker gani anayemtumia ontario we subiri upige shule ukishaiva utakutanishwa na broker husika otherwise kama huwezi subiri basi nenda tu kwa hao mwendo kasi...