Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
AKILI YANGU NAIJUA MWENYEWE,MIMI SIJACHORA CHOCHOTE ZAIDI YA KUSOMA NA KUWEZA KUWEKA LOSS PROFIT NA TAKE PROFIT SANA SANA NASUBIRIA KUTOKA KWA ONTARIO WAKATI ANATUFUNDISHA NAMNA YA KUCHORA KWA KUTUMIA PROJECTOR KWENYE MAFUNZO SIKU IKIWADIA
 
Ahah kwamba umepiga msuli mnene, umefuatilia comments humu na ushapiga mkwanja wa maana ila hujui benki gani ni nzuri kwa hii trade. Ooh sweet lord help us Tanzanian
 
uuuhhhhhh, kuna m2 kanipigia kua xul inaanza sunday duuuh, nmetoka jasho, nkadhan kuna post cjaiona.
asanteni kwa kuja
 
Reactions: MC7
duuuj hatimaye dummies kimeisha.... technical analysis still changamoto... ngoja nirudie tena kwenye vitabu vingine
 
Habarini waheshimiwa, katika pitapita zungu hapa JF leo, nimekutana na uzi, na nikajaribu kuusoma, nilichongudua ni kuona nimekosa mengi sana, maana uzi huu umekuwepo tangu mwezi May...Naamini penye nia pana njia, napenda kuungana nanyi katika kuyasaka mafanikio kwa kujifunza elimu hii ili baadae nichukue hatua. Mheshimiwa ONTARIO, NAOMBA KATIKA HAO WATU MIA 300 IKIWA WAMESHAFIKA 299, BASI MIMI NIWE WA MIA 300. Asanteni kwa kunipokea, na niaanza kusoma post zote.
 
Next time soma kwanza
 
Ingia pale kwenye pairs kisha click ile sehem ya juu yenye alama +(plus)... Pale nadhani unaweza ku add pair ya oil... Wengine wanaweza kusaidia
Kwenye mt4 hakuna oil
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…