duh mkuu hapa nishashindwa kuki download,wewe je vipi manake process inaleta mapichapichaNdo kusema file linaingia kwenye email au
like a financial analyst,siku za usoni natumaini tutakuwa na wachambuzi wetu wa masuala ya financial market kwenye TV stations za kibongo,mwanzo huoneakana hivi,good job mdauNi siku nyingine tena, BRENT OIL jana ilishindwa kusogea na inaonekana imekuwa ngumu kwa wote si buyers ama sellers walioweza kupata ushindi mkubwa. Hii inadhihirishwa na slight movement ya price na kiashirio kikubwa ni presence ya DOJI.
View attachment 535928
Leo nimeamua kuongeza signaling indicators zingine ili kujiridhisha zaidi na hii setup. Leo nimeongezea BOLINGER BANDS, na STOCHASTIC. Tukianza na Bolinger bands, inaonesha channel itakuwa loud hapa mwishoni kwani inaelekea kutanuka. Na pia band ya juu imeshaact kama resistance kwa price. hivyo kwa harakaharaka hii inaashiria price reversal.
Tukija katika Stochastic, tayari stochastic chart inaonesha price action imeshafika katika overbought region. Na kinachofuatia ni price reversal ndo kilichobaki.
Tukija katika candlestick formation, tayari katika closing day ya jana kumekuwa na DOJI, ambapo most of the time doji huashiria reversal in trend. since previous trend ilikuwa ni uptrend, hivyo tutarajie down trend any time future.
Tukija katika fibonacci, toka jana inaonesha price imekuwa resistant katika 50% level. Kiashiria kinachoonesha kuwa it is time for price reversal na hiyo 50% level will be our ceiling.
Hivyo kutokana na viashiria vyote hivyo. Still good setup ni kuuza na kukaa kusubiri. Ila tuu usitegemee sana faida kwa haraka since oil liquidity yake ni ndogo. Setup ukitegemea faida baada ya wiki hivi.
Lets set for our trap, and wait for a catch.
CC: Ontario, Bavaria.
Ni siku nyingine tena, BRENT OIL jana ilishindwa kusogea na inaonekana imekuwa ngumu kwa wote si buyers ama sellers walioweza kupata ushindi mkubwa. Hii inadhihirishwa na slight movement ya price na kiashirio kikubwa ni presence ya DOJI.
View attachment 535928
Leo nimeamua kuongeza signaling indicators zingine ili kujiridhisha zaidi na hii setup. Leo nimeongezea BOLINGER BANDS, na STOCHASTIC. Tukianza na Bolinger bands, Nilibadili seting ya timeframe ya bolinger na kuifanya 14 EMA badala ya 20 EMA ambayo ni default. Inaonesha channel itakuwa loud hapa mwishoni kwani inaelekea kutanuka. Na pia band ya juu imeshaact kama resistance kwa price. hivyo kwa harakaharaka hii inaashiria price reversal.
Tukija katika Stochastic, tayari stochastic chart inaonesha price action imeshafika katika overbought region. Na kinachofuatia ni price reversal ndo kitu pekee kilichobaki.
Tukija katika candlestick formation, tayari katika closing day ya jana kumekuwa na DOJI, ambapo most of the time doji huashiria reversal in trend. since previous trend ilikuwa ni uptrend, hivyo tutarajie down trend any time future.
Tukija katika fibonacci, toka jana inaonesha price imekuwa resistant katika 50% level. Kiashiria kinachoonesha kuwa it is time for price reversal na hiyo 50% level will be our ceiling.
Hivyo kutokana na viashiria vyote hivyo. Still good setup ni kuuza na kukaa kusubiri. Ila tuu usitegemee sana faida kwa haraka since oil liquidity yake ni ndogo. Setup ukitegemea faida baada ya wiki hivi to be exact huku kila mara ukisogeza stop loss yako.
Lets set for our trap, and wait for a catch.
CC: Ontario, Bavaria.
hapo mkuu ni analysis nzuri mm binafsi nimeelewa sana,ila nataka kujua kwa analysis hii does not consider time frame,so kama una press buy button there is no need to apply stop loss and take profit au itakuwaje,because once you have spoted the entry buy point it means unaweza ku face some retracement hapo but ushajua kuwa direction ni uptrend je hizo reversals haziwezi ku affect na kuleta loss kama huja apply SL and TP,ufafanuzi zaidi pleaseAgain GOLD analysis
View attachment 535965
katika harakati za kuangalia bei ya dhahabu, Kutoka katika chart ya juu, nimeona kwa takribani miezi mitatu, Gold imekuwa ikiitii hiyo channel ya support na resistance nilizozichora kwa dashed line. Na situation ya sasa ni kwamba imegota katika sakafu na as our rule says never go agaisnt trend, Hivyo kwa kuzingatia kanuni hii mimi ningenunua dhahabu.
Nikaongezea Fibonacci, Tunaona kabisa kwamba imetest fib line katika 23.6%, na kurudi chini, ila trend inaonesha ni uptrend na hiyo kugota katika 23.6 ni just sellers wanajitahidi kujitutumua kuendelea na monopoly. Ila kwa msaada wa stochastic inaniambia kwamba wanunuaji wameshanunua vya kutosha na wapo katika saturation zone. Hii inanipa picha kwamba next time price itabreak hiyo level ya 23.6% na kwenda juu zaidi.
View attachment 535963
Kuongezea sababu za kununua, Nikaongeza na bollinger bands katika hiyo chart ya juu. Inaonesha price imegusa band ya chini. Na kama moja wapo ya concepts za bolinge zinavyosema kwamba lower side band most of the time can act as a support yo the price action, Na nikicombine na kutoka katika stochastic inayoonesha sellers wameingia saturation zone, then hapa conclusion kwangu ni kununua na kukaa pembeni nikisubiri maamuzi ya soko.
CC: Bavaria, Ontario.
Benji nzuri ni FNB kama alivyosema Ontario hapo mwanzo.Heshima kwenu wakuu.
Nampa pongezi kubwa sana mkuu ONTARIO Kwa kutoa Siri nzito Sana ya mafanikio ambayo wengi wetu tuna roho za korosho na hatupendi wengine wapate.
MUNGU akubariki Sana ONTARIO na akuzidishie.
Baada ya mada ya mkuu ONTARIO, niliamua kuingia kazini na kusoma Kwa kina Sana kuhusu FOREX trading, Usiniulize nilitoa wapi kitabu au notice, ukiwa na nia ya kujua kitu ni lazima tu utaziona notice zilipo hata Kama ni chini ya bahari.
Wakati nikiwa nimejichimbia kusoma Niliendelea kusoma maoni ya ndugu zangu kwenye uzi wa ONTARIO, nikabaini kuwa ndugu zangu watanzania tuna safari ndefu Sana ya kufikia kwenye mafanikio.
Wengi sana wanaogopa kupoteza pesa, wanapenda mambo laini tu, nilishangaa Sana, a true soldier can't be upset of a single bullet, tangu lini askari wa kweli akahofia kupigwa risasi vitani, na tena risasi moja tu? Tena ya mguuni.
Anayeogopa Forex trading siyo mjasiriamali, ukweli ni kwamba, wanapoteza Forex ni wachache Sana na wanaopiga pesa ni wengi mno.
Twende kwenye mada.
Nashukuru Mungu tayari nimeshapiga pesa ya kutosha Kwa muda mfupi tu, sasa kinachonipa shida ni benki ya uhakika ya kuwa nachukulia pesa zangu maana benki nyingi ni Kama wana chuki ya asili na hii biashara.
Anayetambua ni benki ipi bora tujuzane tafadhali, maana Tatizo la ndugu yangu ONTARIO hajibu pm.
ha
hapo mkuu ni analysis nzuri mm binafsi nimeelewa sana,ila nataka kujua kwa analysis hii does not consider time frame,so kama una press buy button there is no need to apply stop loss and take profit au itakuwaje,because once you have spoted the entry buy point it means unaweza ku face some retracement hapo but ushajua kuwa direction ni uptrend je hizo reversals haziwezi ku affect na kuleta loss kama huja apply SL and TP,ufafanuzi zaidi please
BOOOOOOMMMMM...!!
Kwa wale scalpers tayari wangekuwa wameshaweka kibindoni pips kadhaa mpaka sasa. Na 50% mark kweli ina dalili za kuwa resistance level.
View attachment 535981
Na hiyo 300 Ni yangu labda ajaribu 301 kama inaruhusiwa.Sorry, hiyo ndio nafasi yangu, jaribu 300
mmi nime download na nimeipata kirahisi tuMkuu pangah asante kwa download link,,lakini haifunguki hii,nikifungua inanipeleka kwenye software ya kufungulia ambayo sina kwenye PC yangu,,mdau yeyote ambaye anaweza aka upload forex bible hapa ili tukipakue ambao hatujakipata
Habarini waheshimiwa, katika pitapita zungu hapa JF leo, nimekutana na uzi, na nikajaribu kuusoma, nilichongudua ni kuona nimekosa mengi sana, maana uzi huu umekuwepo tangu mwezi May...Naamini penye nia pana njia, napenda kuungana nanyi katika kuyasaka mafanikio kwa kujifunza elimu hii ili baadae nichukue hatua. Mheshimiwa ONTARIO, NAOMBA KATIKA HAO WATU MIA 300 IKIWA WAMESHAFIKA 299, BASI MIMI NIWE WA MIA 300. Asanteni kwa kunipokea, na niaanza kusoma post zote.
jamaan hao 300@ONTARIO naomba niwe wa 299
Sorry, hiyo ndio nafasi yangu, jaribu 300
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hizi nafasi mbili zimegeuka kua mcharo..Na hiyo 300 Ni yangu labda ajaribu 301 kama inaruhusiwa.
Ukitaka uwe na maisha marefu katika hii biashara, Stop loss ndo mkombozi wako, vinginevyo jiandae one day kufadhaika kusiko kifani. Kwa mimi, hapo ningetumia trailing stop loss, ambapo ningeweka initial stop los chini kidogo ya hiyo support level, na ningefanya hivyo kwa sababu, imekuwa takribani miezi mitatu price haijashuka chini ya hiyo support level.
Mkuu hongera kwa speed ya kusoma,na pongezi kwa kuchukua hatua,vitabu vyote recomended ninavyo kasoro hicho cha forex bible,msaada wa kukipata softcopy au kama kuna link ilitolewa humu sijaona naomba msaada nikipate