Utapeli upi mkuu??Baada ya kuchunguza sana na kutumia Demo account nikagundua huu ni utapeli. A total scam.
nimeipenda hiiiBaada ya kuanza kusoma vitabu vya Forex nimegundua dawa mujarabu kabisa, ukitendwa na bf au gf wako njoo usome Forex utamsahau ndani ya wiki tu,100% proved!!!!ha ha haaa
Pitia hapa, utapata muda na pia utaonyeshwa ni soko/masoko gani yako wazi ndani ya muda fulani...
Naomba Kueleweshwa hapo kulingana na Muda wetu hapa Tanzania tunatumia ipi kati ya EDT na GMT katika masaa halisi yakutrade
Baada ya kuanza kusoma vitabu vya Forex nimegundua dawa mujarabu kabisa, ukitendwa na bf au gf wako njoo usome Forex utamsahau ndani ya wiki tu,100% proved!!!!ha ha haaa
Sijapaelewa hapa mkuumastercard ambayo siyo ya benki! Bali ni zile prepaid mastercard za kuweka pesa zako mwenyewe
Alafu naona kuna Strong bearish engulfing candle ambayo ni proof kuwa 50% ni resistance level, malizia kuweka down trenda direction tuanze uzaBOOOOOOMMMMM...!!
Kwa wale scalpers tayari wangekuwa wameshaweka kibindoni pips kadhaa mpaka sasa. Na 50% mark kweli ina dalili za kuwa resistance level.
View attachment 535981
Well said piece of advice, Michael ballack. Aisee Forex ni seven ya kuinverst kupitia knowledge na series of trainings.Must see video from Pro footballer speaking about FOREX
Kuna mawil apa kama sio mvivu wa kusoma yawezekana umesoma vitabu Sana but hujaelewa chochote na kama ivo sivyo basi uchunguzi wako ni wakimakinikia zaid, wasalim uko. N.B Usiache kuja apa kuchek updates za wadauBaada ya kuchunguza sana na kutumia Demo account nikagundua huu ni utapeli. A total scam.
Na Mimi 0655707159Kwa walioanzisha group ya WhatsApp ,pia telegram naomba mniongeze 0712197776...nitashukuru sana aisee
Ntaitafuta hiyo movieKabisa. Jamaa mmoja wakuitwa Jordan Bellfort aliwapa hiyo strategy vijana wake wa sales katika movie ya The Wolf Of Wallstreet.
Mkuu hongera kwa speed ya kusoma,na pongezi kwa kuchukua hatua,vitabu vyote recomended ninavyo kasoro hicho cha forex bible,msaada wa kukipata softcopy au kama kuna link ilitolewa humu sijaona naomba msaada nikipate
embu tuoe ata screen shot tuoneNimeanza leo Kupiga Hela. Asante ONTARIO
na mm pia 0625826352Kwa walioanzisha group ya WhatsApp ,pia telegram naomba mniongeze 0712197776...nitashukuru sana aisee
Mbona kwangu inakuwa ngumu kudownload wadau?mkuu forex bible hyo hapo kama bado hujapata
Ni siku nyingine tena, BRENT OIL jana ilishindwa kusogea na inaonekana imekuwa ngumu kwa wote si buyers ama sellers walioweza kupata ushindi mkubwa. Hii inadhihirishwa na slight movement ya price na kiashirio kikubwa ni presence ya DOJI.
View attachment 535928
Leo nimeamua kuongeza signaling indicators zingine ili kujiridhisha zaidi na hii setup. Leo nimeongezea BOLINGER BANDS, na STOCHASTIC. Tukianza na Bolinger bands, Nilibadili seting ya timeframe ya bolinger na kuifanya 14 EMA badala ya 20 EMA ambayo ni default. Inaonesha channel itakuwa loud hapa mwishoni kwani inaelekea kutanuka. Na pia band ya juu imeshaact kama resistance kwa price. hivyo kwa harakaharaka hii inaashiria price reversal.
Tukija katika Stochastic, tayari stochastic chart inaonesha price action imeshafika katika overbought region. Na kinachofuatia ni price reversal ndo kitu pekee kilichobaki.
Tukija katika candlestick formation, tayari katika closing day ya jana kumekuwa na DOJI, ambapo most of the time doji huashiria reversal in trend. since previous trend ilikuwa ni uptrend, hivyo tutarajie down trend any time future.
Tukija katika fibonacci, toka jana inaonesha price imekuwa resistant katika 50% level. Kiashiria kinachoonesha kuwa it is time for price reversal na hiyo 50% level will be our ceiling.
Hivyo kutokana na viashiria vyote hivyo. Still good setup ni kuuza na kukaa kusubiri. Ila tuu usitegemee sana faida kwa haraka since oil liquidity yake ni ndogo. Setup ukitegemea faida baada ya wiki hivi to be exact huku kila mara ukisogeza stop loss yako.
Lets set for our trap, and wait for a catch.
CC: Ontario, Bavaria.