Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
57ab9e87e2184a34397ffe3fff5f9b55.jpg

Naomba Kueleweshwa hapo kulingana na Muda wetu hapa Tanzania tunatumia ipi kati ya EDT na GMT katika masaa halisi yakutrade
Pitia hapa, utapata muda na pia utaonyeshwa ni soko/masoko gani yako wazi ndani ya muda fulani...

Forex Market Hours - Forex Market Time Converter

NB: Hakikisha time format umeset kwenye Africa/Dar Es Salaam

Kila la heri mkuu!!
 
Baada ya kuanza kusoma vitabu vya Forex nimegundua dawa mujarabu kabisa, ukitendwa na bf au gf wako njoo usome Forex utamsahau ndani ya wiki tu,100% proved!!!!ha ha haaa

Kabisa. Jamaa mmoja wakuitwa Jordan Bellfort aliwapa hiyo strategy vijana wake wa sales katika movie ya The Wolf Of Wallstreet.
 
Baada ya kuchunguza sana na kutumia Demo account nikagundua huu ni utapeli. A total scam.
Kuna mawil apa kama sio mvivu wa kusoma yawezekana umesoma vitabu Sana but hujaelewa chochote na kama ivo sivyo basi uchunguzi wako ni wakimakinikia zaid, wasalim uko. N.B Usiache kuja apa kuchek updates za wadau
 
Mkuu hongera kwa speed ya kusoma,na pongezi kwa kuchukua hatua,vitabu vyote recomended ninavyo kasoro hicho cha forex bible,msaada wa kukipata softcopy au kama kuna link ilitolewa humu sijaona naomba msaada nikipate


mkuu forex bible hyo hapo kama bado hujapata
 

Attachments

Ni siku nyingine tena, BRENT OIL jana ilishindwa kusogea na inaonekana imekuwa ngumu kwa wote si buyers ama sellers walioweza kupata ushindi mkubwa. Hii inadhihirishwa na slight movement ya price na kiashirio kikubwa ni presence ya DOJI.

View attachment 535928

Leo nimeamua kuongeza signaling indicators zingine ili kujiridhisha zaidi na hii setup. Leo nimeongezea BOLINGER BANDS, na STOCHASTIC. Tukianza na Bolinger bands, Nilibadili seting ya timeframe ya bolinger na kuifanya 14 EMA badala ya 20 EMA ambayo ni default. Inaonesha channel itakuwa loud hapa mwishoni kwani inaelekea kutanuka. Na pia band ya juu imeshaact kama resistance kwa price. hivyo kwa harakaharaka hii inaashiria price reversal.

Tukija katika Stochastic, tayari stochastic chart inaonesha price action imeshafika katika overbought region. Na kinachofuatia ni price reversal ndo kitu pekee kilichobaki.

Tukija katika candlestick formation, tayari katika closing day ya jana kumekuwa na DOJI, ambapo most of the time doji huashiria reversal in trend. since previous trend ilikuwa ni uptrend, hivyo tutarajie down trend any time future.

Tukija katika fibonacci, toka jana inaonesha price imekuwa resistant katika 50% level. Kiashiria kinachoonesha kuwa it is time for price reversal na hiyo 50% level will be our ceiling.

Hivyo kutokana na viashiria vyote hivyo. Still good setup ni kuuza na kukaa kusubiri. Ila tuu usitegemee sana faida kwa haraka since oil liquidity yake ni ndogo. Setup ukitegemea faida baada ya wiki hivi to be exact huku kila mara ukisogeza stop loss yako.

Lets set for our trap, and wait for a catch.

CC: Ontario, Bavaria.

Booooom, Jana 0% level ilikubali kuwa kama support, na ilitii analysis yetu.


Gold daily..PNG


Booooom, Jana 0% level ilikubali kuwa kama support, na ilitii analysis yetu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom