Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
BWANA ONTARIO BARIKIWA SANA LEO NIMECHEZA NA DEMO BANA DAAH HADI RAHA,ILA HAPA NILIDEPOSIT DOLLAR 200 LEVERAGE 1:500 NIKALIVURUMISHA NYUTRO KAMA NASHUKA KWA SADALA YAANI AMEFANYA WATU WAWE BIZE KIASI KWAMBA HAKUNA MAISHA MAGUMU
 
BWANA ONTARIO BARIKIWA SANA LEO NIMECHEZA NA DEMO BANA DAAH HADI RAHA,ILA HAPA NILIDEPOSIT DOLLAR 200 LEVERAGE 1:500 NIKALIVURUMISHA NYUTRO KAMA NASHUKA KWA SADALA YAANI AMEFANYA WATU WAWE BIZE KIASI KWAMBA HAKUNA MAISHA MAGUMU



Mkuu hyo leverage ni Kubwa mnoooooooo....unajua unaweza kuona unafungua positions nyingi kwa leverage hyo na unapiga hela kwa vile soko liko upande wako...ila siku soko likienda kinyume na wewe...utalia na kusaga meno..yaani balance itakuwa inayeyuka kama barafu ndani ya maji machemu..
 
una uhakika na unachokiongea???... unajua maana ya scalping hapo nilifanya trade kwa muda tofauti....labda nikuulize chukulia saiv pair ya usdjpy ipo bullish si utanunua ? vipi baada ya kupita nusu saa ukaona ipo bearish hautouza??
Unalofanya ni kosa, na bahati mbaya huamini au hutaki kuamini kwamba ni kosa!

Nenda ka-google hili neno..."currency corellation" utaelewa!
 
Unalofanya ni kosa, na bahati mbaya huamini au hutaki kuamini kwamba ni kosa!

Nenda ka-google hili neno..."currency corellation" utaelewa!
Hiyo trade corellation inatokea endapo unatrade a currency pair simultaneous in opposite direction

Unaruhusiwa kunikosoa
 
Trades kwema,
Nimekuwa mfuasi mzuri sana wa huu uzi kimya kimya,
Nataka nitoe ushauri kidogo kwa wale newbie kama mimi hapa,
mkuu ONTORIO alishauri kitabu cha currency trading for dumies ndo kiwe kitabu cha kwanza kukisoma,
Incase unapata shida kukielewa kiweke pending utakisoma baadaye na nakushauri usome FOREX BIBLE,
Ni kitabu kizuri sna kwa tunaoanza yaani unakuwa unasoma kama unapigiwa story hivi halafu hakina lugha ngumu
 
Hivi nani ametengeneza ata $100 tangu muanze shabikia forex trading? Dahaa! Amakweli! Kweli Magufuli kabana wizi holelaholela watu wanakimbili kwenye Forex!
kuwa bank teller unajiona umefika sana sio
 
Huyu malware karudi?? Haya piga kelele ukichoka kojoa ulale
Is Forex Trading Legit?

Forex Trading

Is Forex Trading a Scam?

By John Russell
Updated April 27, 2017

Forex is not a scam, but there are plenty of scams associated with forex. Regulators have significantly caught up to the scammers over the years, making them increasingly rare.

Scams are a big problem faced by everyone in the forex industry. As with any new industry, there are plenty of people out there looking to take advantage of newcomers.

Forex itself is a legitimate endeavor. Forex trading is a real business that can be profitable, but it must be treated as such.

It is not a get rich overnight business, no matter what you may read elsewhere. However, it is possible to have a profitable legitimate forex business. Like any other real business, though, there is no free lunch.

Defining a Scam

A scam or fraud is an intentional deception in order to take unsuspecting money from a person. In this sense, scams are rare and are becoming increasingly so. There is a distinct difference between a poorly run brokerage and a fraudulent one. Even a poorly ran brokerage can run for a long time before something takes them out of the game.

Why Do People Believe It to Be a Scam?

Forex trading became available to retail traders in 1999. The first handful of years was wrought with overnight brokers that seem to shut up shop without notice. The common denominator was that these brokers were based and non-regulated countries. While some did take place the United States, the majority seem to happen overseas where all it took to set up a brokerage was a few thousand dollars in fees.

Since 2007, the occurrence of shops vanishing with clients funds has become very rare. Over the last few years, Forex brokers mainly have been acquired by others, or the shops of the shutdown have been futures brokers whose clients were also able to trade Forex futures but not spot Forex such as MF Global.

Due to the Swiss National Bank removal of the Swiss peg to the Euro, two brokerages went under. One broker in New Zealand and Alpari's UK division due to losses exceeding excess capital.

How to Avoid Being Scammed?

The first advice we could give you is to check where the brokerage is headquartered. Regulations have increased greatly in the last 5 to 10 years, and it has, rightfully so, become increasingly expensive to do business in highly regulated countries like the United States or the United Kingdom.

Outside of location, you can do diligence based on how willing the broker is to talk about execution and their books. In other words, you can ask them how long they've been in business and how many countries they are regulated in. The more the better.

The simple act of finding out who you should call if you feel that you've been scammed (before investing with a brokerage) can save you a lot of potential heartache down the road. If you can't find someone to call because the brokerage is located in a non-regulated jurisdiction, it's best to find alternatives who are regulated.

What to Do If You Feel You're Being Scammed?

Depending on your location, you should speak to your governing authority.

Most of the regulations that have passed have come from requests of clients at brokerages that have failed or if it clients feel they have been cheated. Therefore, you can have a role in cleaning up the FX market continually.

Keep Your Eyes Out for These Forex Trading Scams.
 

Mkuu hata usihaingike kutuletea hizo article zako hapa,

iiko hivi humu ndani kila mtu anaakili timamu kwa hiyo usitumie nguvu nyingi kutushawishi kile unachokiamini wewe basi na sisi tukiamin.

Watu tayari walikwisha amua wako upande upi,

hivi wakipoteza mikwanja au kutapeliwa si ni wao au?

Ulitoa ushauri kule mwanzo washakuelewa na kama hawajakuelewa basi kausha mzazi

kinachonisikitisha zaidi hata hicho ulicho C&P hapa hujakisoama na kukielewa


hebu kisome uone ulivyo ndilili(am sorry)
 
The idea of that article is to open your mind so you know the ups and down of forex trading, possibility of being swindled if misinformed and how scammers operate in unregulated countries. So obey, learn from the article and be happy[emoji4]
 
The idea of that article is to open your mind so you know the ups and down of forex trading, possibility of being swindled if misinformed and how scammers operate in unregulated countries. So obey, learn from the article and be happy[emoji4]
Ok mkuu tumeona tumeelewa tumefunguka akili pia kwa hiyo article ime add some things na tutafanyia kazi... Kwa niaba ya wote niseme asante sana.
 
Guys naomba mnisaidie kitu - tukiwa tunakamilisha kamilisha

Off topic, doesn't relate to FX - Nimeona nipost hapa coz hua sina WhatsApp group yoyote ya kibongo kuweza kupost, so here is the only place I could share this.

Nahitaji mtu anilink na transportation agent yoyote ambaye ataweza kupakua mizigo yangu kutoka Airport (JKN airport) hadi Victoria (DSM) zilipo ofisi zetu.

Roughly mzigo ni less than 1 tonne, portable goods, could be delivered with 1 trip. Kama kuna mtu yoyote unamfahamu please PM me. Au kama utaweza kushare kwa whatsapp group ili tupate info. Please guys help me on this ASAP. Kama tukipata taarifa kamili leo itakua rahisi zaidi.

Salute guys, and enjoy NFP coming ahead
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…