Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Matusi matusi matusi! Kwanini? Hamna mtu aliyekwita mwizi! Mbona unajishuku? Article ambayo imeandika kuhusu Forex scammers sikuandika mimi, aliyeandika ni John Russell!

Sasa leo unani accuse mimi wrongly kwamba nimekwita mwizi. Vipi mjomba mbona unapoteza mwelekeo wa kutokueleweka? Tunakueshimu kaka...unatakiwa ukubali constructive criticism na being challenged, siyo tukubaliane na wewe kila jambo sababu wewe ni somebody au business man! Hatuendi hivyo wacha kutukana kaka, calm down!
Babu vipimbona unafosi sana,unasumbuliwa na upweke au sociopathy?,wenzio washakwambia uwaache hata kama wanaibiwa sasa wewe mwenzangu nakuona upo tu shobo dundo,temana nao tu ukafanye shuhuli nyengine,wote watu wazima humu wanajua wanachokifanya.
 
Hahahaha uyu mberoya anafurahisha... He/she always thinks of negativity tu

Do ya thing meen. Wametaka forex waache wafanye . We umeshawaambia kama hawataki kuskia waache as long as umeshaplay your part.

Wakiliwa hela ni zao wewe tafuta zako kwa njia unayoona inafaa na halali kwako. Kila mtu anachagua maisha yake mkuu.

Wewe unaona forex ni scam, kaa nayo mbali hata huu uzi uone ni scam fanya mambo yako bro
 
Unaendelea na kusoma vitabu vilivyoorodheshwa humu lakini..? If not chukua vitabu uendelee kutoa tongotongo vilivyokuwa recomended uendelee kutoa tongotongo.
Wakuu ktk kutoa tongotongo tayari nimekipitia kitabu Currency Trading for Dummies, kama hamtojali naombeni kunijuza next nipitie kitabu kipi wakuu. Thanx.
 
Hii ni AVATRADE demo account yaani had I naogopa hivi pesa unaweza ukawa unapiga kirahisi rahisi namna hii
 
Attachments

  • Screenshot_2017-07-07-15-17-20.png
    Screenshot_2017-07-07-15-17-20.png
    39.3 KB · Views: 75
Welldone! Now you learning in the right way with humility and obedience, without throwing insults to people you don't know. Asante sana dogo!

Ila wewe Mberoya ushukuru unakuzwa jina kwa 'reply' wanazo fanya watu na hii sio sawa maana unatafuta kiki kwenye 'page' ya mtu mwingine ungefungua yako , huwezi kuwa unatoa ushauri hasi wakati wote, toka mwanzo wewe na 'forex' ni 'scam' or kutapeliwa n.k, wewe sio bure yawezekana unafanya 'trading' katika 'forex' hivyo kutokana na ubinafsi wako hutaki watu wengine wawe na uelewa nayo na kama ni hivyo nitashangaa sana maana soko lipo kubwa sana hata wa tz wote wakiingia hawawezi lisukuma popote.

'my take' wewe tuache sisi na wengine wanaotaka kujifunza , tujifunze hayo mengine ya kupoteza au kupata ni matokeo ambayo sio wewe unayetakiwa kutushauri ila mtu husika ndiye anayetakiwa kufanya 'analysis' zake mwenyewe katika kufanya kitu chochote chenye kuhusisha hela na isiyo husisha.
 
Kuna mtu humu amekwambia kuwa bank teller unajikuta umefiika.. Nahic amegusa penyewe ndomana umeogopa kumjibu!! Soon you will be naked into out eyes and you'll have nothing to cover you up!!
Hayo mambo yenu ya hisia na kubaatisha ndiyo yanawapeleka pabaya. I hope utajifunza vizuri forex trading bila kubahatisha ili either upoteze pesa au upate pesa kama unavyo fikiria kwamba ni rahisi sana!

Mimi sifanyi kazi ya u-bank teller. For your information, naweza kuishi bila kufanya kazi sababu i have properties ambazo zinaniingizia pesa bila stress! I'm not bragging to be rich but I'm content with the little i have! Nimesha tengeneza retirement tayari, for that reason I don't need to work that hard though I'm still working hard!

Mimi siku discourage wewe to try the forex trading venture. Wengi wanani misunderstand, ila najaribu kuwa muwazi juu ya hii biashara na ninao uhuru wa kutoa mawazo yangu hata kama baadhi yenu hampendi ukweli na uwazi! Kwa kweli tusameheane, that's me the real deal! Take it or leave it bro with a smile[emoji4]
 
Ila wewe Mberoya ushukuru unakuzwa jina kwa 'reply' wanazo fanya watu na hii sio sawa maana unatafuta kiki kwenye 'page' ya mtu mwingine ungefungua yako , huwezi kuwa unatoa ushauri hasi wakati wote, toka mwanzo wewe na 'forex' ni 'scam' or kutapeliwa n.k, wewe sio bure yawezekana unafanya 'trading' katika 'forex' hivyo kutokana na ubinafsi wako hutaki watu wengine wawe na uelewa nayo na kama ni hivyo nitashangaa sana maana soko lipo kubwa sana hata wa tz wote wakiingia hawawezi lisukuma popote.

'my take' wewe tuache sisi na wengine wanaotaka kujifunza , tujifunze hayo mengine ya kupoteza au kupata ni matokeo ambayo sio wewe unayetakiwa kutushauri ila mtu husika ndiye anayetakiwa kufanya 'analysis' zake mwenyewe katika kufanya kitu chochote chenye kuhusisha hela na isiyo husisha.
Hii page huyo mtu aliamua iwe public au private? Hayo maneno ya page ya mtu mwingine au kiki tupilia mbali kwenye jalala!
 
Pliz Ontario the big boss,your smart upstairs more than most of us,lakin naomba nkukumbushe vitu viwili
1.you are bigger than you think,you got million dollar worth of word hutakiwi kumjibu mtu kama mberoya,hold ur temper boss u let me down
2.try to not to prove wrong watu kama kina mberoya hao ni ma k...ma tu,acha muda uongee.
3,fanyia Kaz hayo over n over mkuu for the future,kina mberoya ni upepo tu wa ufukwen hauwez kuangusha mnaz
Ni hayo tu boss!!!!!
Waiting for the class anxiously
kuna wengine kitendo cha kujibiwa na ONTARIO wanaona rahaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] hapo anashangilia kama kashindo bingo
 
Hahahahaa! Kwani Ontaria Mungu wako mpaka umuone wa maana sana kunijibu mimi? Umeshakuwa brainwashed na blind. Huoni wala kusikia hata kama Ontario is not perfect, utasema yuko perfect. Wacha ushamba na udhaifu wa akili wewe!
 
MYOB.
Your advices are no longer needed in this thread.

Wewe ni mchokozi by nature.

Acha kuwa king'ang'anizi.

Yaani nikiona comments zako huwa linanifikaga HAPA.
Wilbald! Huna hoja ya maana unayoandika. What makes you think that your advices are needed or more important? That's where you are wrong, hypocritical, fake, full of wishful thinking and illogical not making sense at all! You are better off to keep your mouth or brain shut for God's sake!
 
Hayo mambo yenu ya hisia na kubaatisha ndiyo yanawapeleka pabaya. I hope utajifunza vizuri forex trading bila kubahatisha ili either upoteze pesa au upate pesa kama unavyo fikiria kwamba ni rahisi sana!

Mimi sifanyi kazi ya u-bank teller. For your information, naweza kuishi bila kufanya kazi sababu i have properties ambazo zinaniingizia pesa bila stress! I'm not bragging to be rich but I'm content with the little i have! Nimesha tengeneza retirement tayari, for that reason I don't need to work that hard though I'm still working hard!

Mimi siku discourage wewe to try the forex trading venture. Wengi wanani misunderstand, ila najaribu kuwa muwazi juu ya hii biashara na ninao uhuru wa kutoa mawazo yangu hata kama baadhi yenu hampendi ukweli na uwazi! Kwa kweli tusameheane, that's me the real deal! Take it or leave it bro with a smile[emoji4]
Hahaha
Hapa naona unatukomaza kisaikolojia mana hata kwenye training za FX tunatakiwa tuwe na instinct na psychology knowledge nzuri sana.

Sikushangai saana mana wapiga kelele kama wewe wapo wengi na tumewazoea.

Kama unaona watu wanatapeliwa, Kuwa MWANAUME waonyeshe njia sahihi ya kufanya ili watu watoke kimaisha sio kuja na hoja zisizojenga badala tu ni kubomoa.

Simama anzisha Uzi wako onyesha watu hzo property ulizonazo kwa namna gani watu wengine usiowajua wenye dreams na vision kubwa wanaweza kuzitumia na kubadili maisha yao. Sio kutumia Uzi wa watu wanaotaka kujaribu kugusa maisha ya watu. S. Africa forex inawatoa vijana big time hata wasiokua na elimu.
ONYESHA NJIA ACHA KELELE MINGI

**Ila Traders wote mtumieni huyu jamaa kama sehemu ya kukomaa Kisaikolojia kwenye FX mana hata soko nalo lipo kwa namna hyo sometime [emoji4] [emoji4] [emoji4] ***
 
4466a5f9cca4eb5b9baa4080f79fcb6b.jpg

Wewe bata utarudi hapa kuomba msamaha, afu kutuita watu wezi mama yako ndio mwizi na baba yako ndio tapeli, fala wewe... Acha tuanze, we all know forex is not an easy game, but we will get it done. Acha tuanze, results will speak not words. I spend few hours kuingiza pesa unayoingiza kwa mwaka. Convert $1,800 to Tsh rate ni 2235. Tulikubaliana tupeane muda, batch ya kwanza ikianza naomba unipe miezi mitatu...

Hapa bingwa ndo unapofeli...Refer my post couple of days back, jinsi ya ku handle psychologically na jamaa kama mberoya ni kukaa kimya tu, very simple. It's a perfect diplomatic strategy in conquering kinda situation. Kumjibu you'r showing weakness and it will cost you. Ukiona unashindwa kabisa bora uwaachie audience. Keep it low profile mzee, kula buyu kula box.

Sun-Tzu anakwambia ukimuona enemy anakufata kwa upole basi ni dhahiri atakushinda but ukimuona anakuja kwa matusi mixa maneno mengi ni dhahiri ata surender. Tafuta kitabu kinaitwa Art Of War kitakusaidia into making yur decisions. Wapo wanaokuitaji humu wajifunze kwa style yao na wapo wasiokutaka.

Pia refer maneno ya rais wako magufuli, anakwambia a great leader lazma aface criticism.

Pambana mzee. Kuwa Wolf Of BongoLand si mchezo. All the best
 
Wilbald! Huna hoja ya maana unayoandika. What makes you think that your advices are needed or more important? That's where you are wrong, hypocritical, fake, full of wishful thinking and illogical not making sense at all! You are better off to keep your mouth or brain shut for God's sake!
Everything about forex is there in the books, the details and anything we want and need to know about forex have been there for so long, people have spent so many years to write constructive ideas about this matter, of course we know where we came from and we know where we want to go, there is no anyone who doesn't know the risks involved in this business, everyone is aware of the obstacles ahead, but with clear knowledge we shall come up.
 
Wilbald! Huna hoja ya maana unayoandika. What makes you think that your advices are needed or more important? That's where you are wrong, hypocritical, fake, full of wishful thinking and illogical not making sense at all! You are better off to keep your mouth or brain shut for God's sake!
Eti sina hoja ya maana ninayoandika...zana za kukupiga zipo ila nachagua nikupige na ipi,kwa sababu gani na wakati gani...nikikupiga na kijiko usidhani sina uma au kisu ama sindano...we endelea tu hata anaesthesia utadungwa.
Wahenga husema ukicheza na mjinga utarudi mtoni kuoga mara ya pili.
 
Hapa bingwa ndo unapofeli...Refer my post couple of days back, jinsi ya ku handle psychologically na jamaa kama mberoya ni kukaa kimya tu, very simple. It's a perfect diplomatic strategy in conquering kinda situation. Kumjibu your showing weakness and it will cost you. Ukiona unashindwa kabisa bora uwaachie audience. Keep it low profile mzee, kula buyu kula box.

Sun-zi anakwambia ukimuona enemy anakufata kwa upole basi ni dhahiri atakushinda but ukimuona anakuja kwa matusi mixa maneno mengi ni dhahiri ata surender. Tafuta kitabu kinaitwa Art Of War kitakusaidia into making yur decisions. Wapo wanaokuitaji humu wajifunze kwa style yao na wapo wasiokutaka.

Pia refer maneno ya rais wako magufuli, anakwambia a great leader lazma aface criticism.

Pambana mzee. Kuwa Wolf Of BongoLand si mchezo. All the best
Wewe sio kamanda amata kweli??? Umenikumbusha mambo ya "art of war"[emoji4]
 
Umeona mbali sana boss!! Nadhani ushauri wako ontario ataufanyia kazi!! Psychology is not only in forex hata kwa watu kama hawa unabidi ujue jinsi ya ku deal nao!! Anyways ni binadam kama sisi naimani atajifunza!!

Japo magu sometimes anachemka ila naamini kuna mambo anataman kuweka hata mtu ndani au kumpoteza kabisa ila washauri wake wanamwambie "cool down mzee"...

Vitu vingine ni kukaa kimya na hata kama ni kumjibu basi mjibu in a positive way hapo utakua umemmaliza kabisa!!

One love!!
 
Hapa bingwa ndo unapofeli...Refer my post couple of days back, jinsi ya ku handle psychologically na jamaa kama mberoya ni kukaa kimya tu, very simple. It's a perfect diplomatic strategy in conquering kinda situation. Kumjibu your showing weakness and it will cost you. Ukiona unashindwa kabisa bora uwaachie audience. Keep it low profile mzee, kula buyu kula box.

Sun-zi anakwambia ukimuona enemy anakufata kwa upole basi ni dhahiri atakushinda but ukimuona anakuja kwa matusi mixa maneno mengi ni dhahiri ata surender. Tafuta kitabu kinaitwa Art Of War kitakusaidia into making yur decisions. Wapo wanaokuitaji humu wajifunze kwa style yao na wapo wasiokutaka.

Pia refer maneno ya rais wako magufuli, anakwambia a great leader lazma aface criticism.

Pambana mzee. Kuwa Wolf Of BongoLand si mchezo. All the best
Boss nijuze sio mr. Spark wewe TSA 1?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom