Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hahahahaa! Kwani Ontaria Mungu wako mpaka umuone wa maana sana kunijibu mimi? Umeshakuwa brainwashed na blind. Huoni wala kusikia hata kama Ontario is not perfect, utasema yuko perfect. Wacha ushamba na udhaifu wa akili wewe!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] utajua mwenyewee...ila limekuchomaaa..

awe Mungu awe shetani shauri yako...

niwe na brainwashed niwe bewitched utajijuu..

poleee weweee...usiejijua..usie na haya,usiejua vibayaaa...mkaanga sumu mkubwaa...

hovyoooooo...hebu hukooo!!!nitoleee shombo la ng'ombe la huko kijijini kwenu!
mjaaruta weeeeee!!!!
 
Hahaha
Hapa naona unatukomaza kisaikolojia mana hata kwenye training za FX tunatakiwa tuwe na instinct na psychology knowledge nzuri sana.

Sikushangai saana mana wapiga kelele kama wewe wapo wengi na tumewazoea.

Kama unaona watu wanatapeliwa, Kuwa MWANAUME waonyeshe njia sahihi ya kufanya ili watu watoke kimaisha sio kuja na hoja zisizojenga badala tu ni kubomoa.

Simama anzisha Uzi wako onyesha watu hzo property ulizonazo kwa namna gani watu wengine usiowajua wenye dreams na vision kubwa wanaweza kuzitumia na kubadili maisha yao. Sio kutumia Uzi wa watu wanaotaka kujaribu kugusa maisha ya watu. S. Africa forex inawatoa vijana big time hata wasiokua na elimu.
ONYESHA NJIA ACHA KELELE MINGI

**Ila Traders wote mtumieni huyu jamaa kama sehemu ya kukomaa Kisaikolojia kwenye FX mana hata soko nalo lipo kwa namna hyo sometime [emoji4] [emoji4] [emoji4] ***
be blessed!!!!
 
  • Thanks
Reactions: smy
Hapa bingwa ndo unapofeli...Refer my post couple of days back, jinsi ya ku handle psychologically na jamaa kama mberoya ni kukaa kimya tu, very simple. It's a perfect diplomatic strategy in conquering kinda situation. Kumjibu your showing weakness and it will cost you. Ukiona unashindwa kabisa bora uwaachie audience. Keep it low profile mzee, kula buyu kula box.

Sun-zi anakwambia ukimuona enemy anakufata kwa upole basi ni dhahiri atakushinda but ukimuona anakuja kwa matusi mixa maneno mengi ni dhahiri ata surender. Tafuta kitabu kinaitwa Art Of War kitakusaidia into making yur decisions. Wapo wanaokuitaji humu wajifunze kwa style yao na wapo wasiokutaka.

Pia refer maneno ya rais wako magufuli, anakwambia a great leader lazma aface criticism.

Pambana mzee. Kuwa Wolf Of BongoLand si mchezo. All the best
Kwa kuongezea tu... japo atakua na hicho kitabu ila si mbaya akapata na soft copy....

The Art of War
 
Jaman kuna mtu mtu mwenye back-testing sofware...I really need it [HASHTAG]#ontario[/HASHTAG]
 
Kuna tofauti kati kusoma na kuelewa(understanding)..wengi wetu tunasoma haraka ili kumaliza bila kujali deep understanding of the concepts and ideas...nimegundua hii bussines inahitaji uelewa wa hali ya juu sio kumeza kama periodic table ya form two...helo helena lile beberu... I thing I need to start new phase of reading and understanding..🙄🙄🙄
 
Wakuu Amani na iwe kwenu,

Pongezi kwa wakuu wote ambao mmekuwa mkishare nasi the inner side ya hii kitu na wote
ambao hii kitu imeanza kuimpact maisha yenu….!

Kwa mbali naona pia kuna baadhi ya wakuu wamejivijisha vazi la kutukatisha tamaa… Tufanyeje sasa..?
Tusiwabeze maana wanakamilisha mchanganyiko wa maisha… So nikuchukuliana nalo na kusonga mbele..!!

Kama kweli you have choosen this course..!! Fanya kweli maana kuna maisha ktk FOREX…!!

Gharama za muda, pesa(vocha), jitihada tunazoingia zisije kuwa sawa na bure…! Kwa sababu hiyo ustaarabu ni
muhimu katika maandalizi kwa kuendelea kusoma btn the lines (simba mwenda pole things) ili tuwe GURUS…
Maana, HATUCHELEWI KOKOTE NA HAKUNA TUNAKOWAHI…!

Ili kesho gharama tunazoingia zituturn into a WINNING machine not a LOOSING machine...!!

Pamoja katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku kupitia fursa adhimu ya FOREX..
 
hapo umenena ndugu,
cha msing kama mtu kashaamua kusuka na asuke kwa bidiii, huyu anae onesha kukatisha tamaa, cha msingi hapo ni kumpuuza tu mwisho wa siku nae atajipuuzaa,
teh teh tehh
 
Uko sawa, kuna rafiki yangu mmoja wa jf niliwai mwambia hapo awali kuwa "YOU CAN'T EXPECT THE WORLD WITHOUT SUCH PEOPLE".
 
hapo umenena ndugu,
cha msing kama mtu kashaamua kusuka na asuke kwa bidiii, huyu anae onesha kukatisha tamaa, cha msingi hapo ni kumpuuza tu mwisho wa siku nae atajipuuzaa,
teh teh tehh
Wewe wacha hizo husilete dhihaki. Kumbuka forex trading siyo free lunch! Una ma-hope kibao lakini hujui round the corner kuna shimo la moto aka jehanamu!
 
Uko sawa, kuna rafiki yangu mmoja wa jf niliwai mwambia hapo awali kuwa "YOU CAN'T EXPECT THE WORLD WITHOUT SUCH PEOPLE".
Jipeni hope tu na njaa zenu, Magufuli kakaza kamba mnahaha kama sungura.[emoji23] [emoji23]
 
f312961acb68a40512518f73bc159687.jpg
kaujumbe muhimu kwako bwana mberoya
 
4466a5f9cca4eb5b9baa4080f79fcb6b.jpg

Wewe bata utarudi hapa kuomba msamaha, afu kutuita watu wezi mama yako ndio mwizi na baba yako ndio tapeli, fala wewe... Acha tuanze, we all know forex is not an easy game, but we will get it done. Acha tuanze, results will speak not words. I spend few hours kuingiza pesa unayoingiza kwa mwaka. Convert $1,800 to Tsh rate ni 2235. Tulikubaliana tupeane muda, batch ya kwanza ikianza naomba unipe miezi mitatu...
Don't argue with foolish guys they will drag you to their level and beat you by experience
 
Katika kupitia kitabu cha naked

The last kiss:

Maswali yangu
1.zinatakiwa zifanyike retouch ngap kwenye consolidating zone ili nijue hii ni last kiss na ntajua vipi hii ndio ya mwisho
2.the strong candle itakayo print inatakiwa i print ndan au nje ya box na if it's bullish must be several bullish retouch previously?and so bearish?
3.buy stop+sell stop inawekwa juu ya last candle au baada ya candle mojawapo kushomoka na itakuwa na size ya pips ngap na naconsider nin tu calculate those pips
4.kuna sell stop aina 2 1. emergence stop loss nimeilewa ya pili sijaielewa
Ni hayo tuu wakuu
Cc Bavaria,Ontario
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom